TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,747
- 21,198
Mdau mkipewa uhuru wa kumiliki ardhi Zanzibar, wenyeji wote mtawahamisha, maana aridhi yao ni ndogo sana, hebu fikiria mkoa wa Dar Es Salaam kwa ukubwa wake linganisha na Zanzibar kisha oanisha wakaazi wa miji yote miwili.Kati mambo ya hovyo ambayo Mwl Nyerere alituachia ni huu muungano chawa.
Yaani Zanzibar ingejaa miaka 20 iliyopita na hata zile taka za mji mkongwe zisingekuwepo, maana wenye pesa wangefanya yao