Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,493
- 45,834
Hasira zitatufanya tuuvunje
Ila ndio mpango mzima
Washa moto mpaka kieleweke
Ila ndio mpango mzima
Washa moto mpaka kieleweke
subiri wamwachie mzee wa bapa ndo utaelewa
Lipo kwa sheria ipi au ya Uvamizi?unafikiri muungani ukivunjwa hilo jeshi hapo litafanya nini zaidi ya kurudi kwenye mipaka ya bara....lipo kwa sasa kisheria..
Kauli za kisiasa uhakika Karume alitaka Muungano WA miaka 10 tuuAsiyemlaumu Nyerere katika hili hana upeo wa historia. Kwa maneno yake mwenyewe, Nyerere alikataa ombi la Karume la kutaka iwe nchi moja na yeye awe rais- eti kwa sababu aliogopa asiambiwe ameimeza Zanzibar! Sikumwelewa kwa kweli. Nadhani zaidi aliogopa Uislamu wa Zanzibar.
Watanganyika WALIO ZANZIBAR NI wengi mno kuliko Wazanzibar walioko Tanganyika chengine ujuwe Wazanzibar walioko huko wanakuja kuekeza na kuongea kipato chenu cc mnatujazia wauza ugoro na "culture' upumbavu gani huuDuuu
sasa wapemba wote wakirudi kwao, zanzibar itakua overpopulated
Hivi Kwa nini Tanganyika isiwe Mkoa tuondoe huu ujinga??Hivi kwanini zanzibar isiwe mkoa tuuu wa tanganyika ili tuondoe huuu ujinga?
Nyinyi NI mazuzuu ujanja mwingi mbele kizaNakuunga mkono kwani Rais anayetawala bara ni wa wapi ? Mbona watu wa bara wanabaguliwa Zenji ila huku bara hadi wanapata Urais. This is not fair
🤬sielewi kwanini watanganyika tunanyimwa kuwa na ardhi zenji ilihali wao wana aardhi hapa wamemiliki sijui tatizo liko wapi jamani
🥺🥺GOD FORBID!!!Hilo lisikupe pressure, cha msingi chukua tahadhari, never invest there. Nina hakika kuna siku kitanuka.
AKA UAMSHO
WATANGANYIKA MLIKUA MNAJITOA UFAHAMU SHERIA ZA UMILIKI WA ARDHI ZIKO PALE PALE, KWAIO AKANUSHE KITU GANI HAPO🤬
Mie nahisi wewe umeelewa kidogo! Yaani mie mpaka nikahisi kwamba kesho atakuja na tamko la kukanusha na kusema kua alinikuliwa vibaya hakumaanisha hivyo!!
Yamekuwa hayo?! 🤔WATANGANYIKA MLIKUA MNAJITOA UFAHAMU SHERIA ZA UMILIKI WA ARDHI ZIKO PALE PALE, KWAIO AKANUSHE KITU GANI HAPO
Aliyeanzisha muungano abakie huko aliko asirudi"Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi.
View attachment 2028001
Hili la kuvunja Muungano binafsi nakubaliana nalo kwa asilimia 100%Hili la Rais Mwinyi ni la kuanza kupigiwa kelele na kila Mtanzania mbara anayejielewa, kifupi tuanze harakati mpya za kuuvunja muungano na kila mtu abaki kwao....Mzanzibar awe na passport yake na mbara awe na paasport, Zanzibar kuingia na kutoka ni Viza kama kawaida....Biashara kufanya waruhusiwe kwa utaratibu kama wa wageni wengine ikiwa pamoja na kuwawekea masharti magumu ya wao kuja kufungua biashara huku....
We favoured them, but they are fucked us hardly.....we should wake up and start to screw them....
Mkuuu sasa zanzibar si inaongozwa na bara?.Hivi Kwa nini Tanganyika isiwe Mkoa tuondoe huu ujinga??
Yaani huu ni upuuzi uliopitiliza viongozi wetu sijui wanafikiri kwa kutumia nini?Kati mambo ya hovyo ambayo Mwl Nyerere alituachia ni huu muungano chawa.