Hebu nitajie Kisiwa kimoja ambach unaruhusiwa kunuaua ardhi bila masharti yoyote? Nataka hoja yenye mashiko kutoka kwako, unaniele ni kisiwa gani na unatuwekea na sheria ya ya Ardhi ya nchi hio tujadili. Hujui usiseme.Hoja yako haina mashiko, unaenda visiwa vyovyote duniani na unanunua property na uraia wengine wanatoa ukiwekeza. Hoja yako ya Zanzibar kwani mtu kuuza ardhi analazimishwa? nchi ina sheria zake wapi unajenga wapi huruhusiwi akija mtu anataka kununua una hiyari ya kusema hapana siuzi. Huo utamaduni upi unaongelea? wao wamejazana huku kila sehemu na huo utamaduni wetu wanauchukuwa wenyewe kutoka huku.
Mimi najua vipo visiwa vingi unavyoruhusiwa kununua Property kwa mgeni na unapewa hio statu maalum . Na wingi wanaonunua hushindwa kulipa Kodi ya mwaka, kitu kinachopelekea kuuzwa kwa Property zao. Kwa kiswahili chepesi hivyo visiwa vyote unavyoruhusiwa kununua Property lengo ni kuwavutia matajiri ili wate Pesa zao hapo walipie Kodi ili kuwanufaisha wananchi wa Kawaidi. Nasi changu doa wa Manzese ananua Ardhi wala hana kodi anyolipia na hata akijenga hio nyumba miaka ishiri hana uwezo wa kuimaliza