Masauni Wizara ya Mambo ya Ndani haiwezi, soon atapambana kuwabadilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi waliopo aweke anaoweza kuwadhibiti

Kama agundua kuwa kuna viongozi wengi waso waadilifu kwanini asiwaondoe au kuwadhibiti?

Magereza ni moja ya vyombo ambavyo kuna upigaji hivyo mwache achape kazi aishughulikie.
✓Magereza wanazidi Traffic police kwa upigaji
 
Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani.

Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo amepewa full minister, hatuwezi kutegemea jipya zaidi ya kwenda kupambana Mhe. RAIS awafute kazi wakuu wa vyombo waliopo au wapangiwe KAZI nyingine then apendekeze watu wake.

Kwa ufupi Masauni ana ujana mwingi, dharau na ukubwa mwingi, tathimini hii nafanya wa kuangalia historia yake kwenye TV. Siamini kama ipo tofauti kati ya Masauni na Kangi Lugola. Wizara Hii wizara Ina madili mengi na haikupaswa kumweka mtu asiyefanya analysis before decion ataumiza watu. Otherwise Mhe. Masauni kachape kazi usipambane kuondoa watu ofisini maana ujui utakutana nao Wapi.
Acha kuwatetea mapolisi wakati wanamzunguka akiwa naibu hawakujua atarudi et eeeh wizara hii imejaa watu wa dhuluma sasa kaja asiependa dhuluma mtulie vibwengo vyenu vitaondoka
 
Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani.

Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo amepewa full minister, hatuwezi kutegemea jipya zaidi ya kwenda kupambana Mhe. RAIS awafute kazi wakuu wa vyombo waliopo au wapangiwe KAZI nyingine then apendekeze watu wake.

Kwa ufupi Masauni ana ujana mwingi, dharau na ukubwa mwingi, tathimini hii nafanya wa kuangalia historia yake kwenye TV. Siamini kama ipo tofauti kati ya Masauni na Kangi Lugola.

Wizara Hii wizara Ina madili mengi na haikupaswa kumweka mtu asiyefanya analysis before decion ataumiza watu. Otherwise Mhe. Masauni kachape kazi usipambane kuondoa watu ofisini maana ujui utakutana nao Wapi.
Aiseee !!
 
Masauni Wizara ya Mambo ya Ndani ni mzaliwa wa wapi?​

Back
Top Bottom