baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,897
- 18,511
Yule alikua kichaa matusi mengiPole yake pamoja na nonsense zake awe salama huko aliko
Yule alikua kichaa matusi mengiPole yake pamoja na nonsense zake awe salama huko aliko
Kutukana, matusi ya nguoni ni ugonjwa wa akili. Havihusiani na Siasa au ukosoaji.Kwa hiyo akina polepole na wengine wanachadema wanaoongea bila matusi waliotekwa na kuuawa nao tatizo lilikuwa ni nini ? ,Ninyi kvma mpo humu kwenye platform iliyofungiwa na hao vibaka wenu wa ccm wanaowatumia Kama condom. Mafala ninyi .Mnafanya nini humu ninyi condoms za ccm.
Hii lawlessness na ushenzi utawagusa tu hata ninyi ,ni suala la muda tu
Japan sio Nchi ya kuiamini kwenye masuala ya ulinzi na intelligence.
Kutukana, matusi ya nguoni ni ugonjwa wa akili. Havihusiani na Siasa au ukosoaji.
Tumekosoa, tumelaani na tutaendelea kulaani, mauaji, utekaji, kusingizia kesi, uporaji wa rasilimali, rushwa, nk lakini matusi hata kitabu cha DINI ,, Biblia imekataza, malezi yenye maadili mema uamekataza.
Kuna nchi za kukimbilia wanaharakati kama vile UK,CANADA NA USA uko wale wasiojulikana ata kuwaza kukupiga tu awawezi siyo kukuteka wala kukupoteza sababu wakifanya ivyo ndio itakuwa kiama chao wao na aliewatuma
Mbona Sheikh Mwaipopo anamiliki kundi la kigaidi hajadakwa?Bado Maria siku zake zahesabika, huwezi kushindana na dola yoyote hapa dunia ukashinda huo ndio mtindo wa utawala, dola haijui siasa zenu ila maslahi mapana ya nchi
Pole yakeYule alikua kichaa matusi mengi
Mkuu umechelewa kujua...Kama Washauri wa Samia, wamekaa wakaona Racheldangwa ni threat basi officially tuseme hatuna usalama wa taifa
Maria aliwahi kudakwa huko Nairobi Kenya baada ya kelele nyingi wakamuachia. Kilichomuokoa wakati anadakwa mashuhuda walikuwepo vyombo vya habari vikapiga kelele watekaji wakaogopa, wakamuachia.Bado Maria siku zake zahesabika, huwezi kushindana na dola yoyote hapa dunia ukashinda huo ndio mtindo wa utawala, dola haijui siasa zenu ila maslahi mapana ya nchi
Maria aliwahi kudakwa huko Nairobi Kenya baada ya kelele nyingi wakamuachia. Kilichomuokoa wakati anadakwa mashuhuda walikuwepo vyombo vya habari vikapiga kelele watekaji wakaogopa, wakamuachiaBado Maria siku zake zahesabika, huwezi kushindana na dola yoyote hapa dunia ukashinda huo ndio mtindo wa utawala, dola haijui siasa zenu ila maslahi mapana ya nchi
ACHA MASKHARA!Bora angekuwa hata Kenya! Japan jau sana, kuna miji kama Okinawa ni kama Tandale tuu! 😊
Tunakubaliana na ile drama ya Trump?Hakuna Nchi ambapo Kuna Ulinzi wa kutosha kama watu wanakuhitaji.
U.S.A yenyewe, Trump alikoswa koswa Risasi kati kati ya Ulinzi mkali.