Hafai kabisa😁😁Yule ukifungua page yake una mute kwa usalama wa masikio yako na ya majirani
Duh hatimaye wamempata😭Mwanaharakati, Maria Sarungi ametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa X usiku huu akidai kuwa Rachel Dangwa hajulikani alipo tangu Ijumaa huko nchini Japan.
Hii Serikali ya kimafia ikifanya uhalifu wake ndani ya ardhi ya Marekani ndio itajua haijui.Yule alikuwa mweu, afu alikuwa anajiachia kwenye ma club, elimu hana, ilikuwa rahisi kumdaka
Yule kichaa naye ni wa kumzungumzia? Atakuwa amekunywa sumu, yule ni kichaa kabisa hamna mtu paleMwanaharakati, Maria Sarungi ametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa X usiku huu akidai kuwa Rachel Dangwa hajulikani alipo tangu Ijumaa huko nchini Japan.
Lakini kale kadada kwa matusi duuuh.Mwanaharakati, Maria Sarungi ametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa X usiku huu akidai kuwa Rachel Dangwa hajulikani alipo tangu Ijumaa huko nchini Japan.
Bado Maria siku zake zahesabika, huwezi kushindana na dola yoyote hapa dunia ukashinda huo ndio mtindo wa utawala, dola haijui siasa zenu ila maslahi mapana ya nchiMwanaharakati, Maria Sarungi ametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa X usiku huu akidai kuwa Rachel Dangwa hajulikani alipo tangu Ijumaa huko nchini Japan.
Sio yeye tu. Na hata huko Marekani ni kujidanganya. Sirikale ikiamua wanasepa na kila wamtakaye.Duh hatimaye wamempata😭
Yaani yule ni mgonjwa kabisaYule mtu mwenyewe mwehu
Hakujua kutetea/ kupangilia hoja bila matusi. Kiasi cha mantiki kumezwa na lugha chachu/Kali.Yaani yule ni mgonjwa kabisa
YesHakujua kutetea/ kupangilia hoja bila matusi. Kiasi cha mantiki kumezwa na lugha chachu/Kali.
Maadili, malezi au makuzi yake huenda hayakukamilika au dini hakuizingatia.
Maslahi mapana ya nchi au mafisadi wa nchi?ila maslahi mapana ya nchi