Marekani yajitoa rasmi Shirika la Afya Duniani WHO

Kipindi cha Hillary hizo polls zilikuwa against Trump
Tumeshaliongea hilo. Ni kweli Hillary alipata kura milion 2 zaid ya Trump, kwa hiyo siyo kuwa polls ziliongopa. Ila Hillary hakuangalia zile traditional democratic states za Pennyslavnaia, Wisconsin na Michigan;

Halafu Hillary alichukulia states hizo for granted na akawa hakumtumia Sanders kwenye kampeini. Scenery ya 2016 siyo iliyopo leo; Sanders atapiga kampeini ya nguvu sana mwaka huu, na wale wafuasi wa Sanders ambao hawakupiga kura mwaka huo watapiga sana mwaka huu.
 
Ndo tushakata mirija msubiri 2025
Naona Muhabesh Bado Tunae pale WHO

niliwahakikishia kwamba MUHABESH hawez toka kwa upuuzi wa Turampet nanikawaambieni Turampet Akili ndogo sana Hasa kwenye masuala mazima ya Diplomasia
 
Kwa hiyo wewe mzamiaji unajua ya Wamarekani kuliko Wamarekani wenyewe
Tumeshaliongea hilo. Ni kweli Hillary alipata kura milion 2 zaid ya Trump, kwa hiyo siyo kuwa polls ziliongopa. Ila Hillary hakuangalia zile traditional democratic states za Pennyslavnaia, Wisconsin na Michigan; halafu Hillary alichukulia states hizo for granted na akawa hakumtumia Sanders kwenye kampeini. Scenery ya 2016 siyo iliyopo leo; Sanders atapiga kampeini ya nguvu sana mwaka huu, na wale wafuasi wa Sanders ambao hawakupiga kura mwaka huo watapiga sana mwaka huu.
 
Ndo tushakata mirija msubiri 2025
Baada yakuona Muhabesh kagoma c wanajifanya ndio viranja wadunia nanyie mkaja nakampeni yenu ile kutaka jamaa asepe jamaa akagoma


US imekua nchi yakugomewa hata nawahabesh kweli hakuna marefu yasio namwisho
 
Kwa hiyo wewe mzamiaji unajua ya Wamarekani kuliko Wamarekani wenyewe
Nimeshakaa hapa miaka 25, probably kabla wewe hujazaliwa, kwa hiyo ninayajua mambo haya vizuri kuliko unavyodhani; watoto wangu watatu ni wamarekani kwa kuzaliwa kasoro mmoja aliyezaliwa Mwananyamala.

Nimefundisha sehemu kubwa ya wapiga kura wa leo, yaani wale waliozaliwa kuanzia mwaka mwaka 2002 na kurudi nyuma hadi mwaka 1995.
 
Basi elewa kuwa Trump anashinda 2020
Nimeshakaa hapa miaka 25, probably kabla wewe hujazaliwa, kwa hiyo ninayajua mambo haya vizuri kuliko unavyodhani; watoto wangu watatu ni wamarekani kwa kuzaliwa kasoro mmoja aliyezaliwa Mwananyamala. Nimefundisha sehemu kubwa ya wapiga kura wa leo, yaani wale waliozaliwa kuanzia mwaka mwaka 2002 na kurudi nyuma hadi mwaka 1995.
 


Endeleeni kuimba taarabu kwani mnashindwa kujiendesha wenyewe mpaka mtegemee misaada

Hao waajemi wanapitia mengi mpaka wanamua kupambana nakujikwamua wenyewe bila misaada nyie mnashindwia wapi ?!

Hao walokua sio wabaguzi ndio washa waacha solemba hapo mpambane nahali zenu

Kufa tutakufa tusipokufa kwa AIDS tutakufa kwamengine

Ndio mujue kama mazungu mauaji yanapelekeshana yenyewe kwayenyewe kule VENEZUELA halafu yaje yakuthamini wewe huko KAMPALA pole sana kijana ila MHABESH mwenzangu kanifurahisha Mnoooooooooooo

Mwanzo wamwisho wa US unapitia safari nyingi mnoooo ila utafika tuuu.....

Hapo sasa ndio umeanza kuongea cha maana, miafrika tuchape kazi na kuacha kuwalalamikia wazungu, wametusaidia sana ila ifike wakati tuamue kupambana na hali yetu, halafu hao waarabu hata mkivaa mikanzu yao, uote mindevu na kufuata dini yao hutaona wakija kukusidia, wanakubagua bila huruma, kwanza thubutu kuchumbia kwao, eti Msukuma na weusi wote huo itokee umempenda mwanamke wa kiarabu kisa wewe ni mvaa kanzu kama wao, utakoma ubishi.
 
Usiniambie hujui madhara ya US kujitoa WHO ambae ndio Donator mkubwa wa WHO? Sasa nikuambie hizi athari zitagusa mpaka jamii yetu kuna huduma nyingi za afya ni bure kama chanjo za measles na polio, Je unadhani hizo research za afya zinatoka wapi, Tedro alishaonesha incompetent angekaa tu pembeni
Halafu trump si alitoa Siku 30 kwa who ili wajirekebishe haswa Hao top officials wapishe kiti sasa zimefika kweli?
Let's see yawezekana hata hayo madhara yanayokupa wasiwasi yasiwe makubwa kihivyo
 
Uzembe wake anauhamishia kwa wengine. Nafikiri Wamarekani wanao uelewa wa kutosha kuuona uongo huu.
 
Back
Top Bottom