Marekani yajitoa rasmi Shirika la Afya Duniani WHO

Wewe Bufa, inaonesha hujui vizuri historia ya dunia na uhusiano uliopo kati ya Marekani na Ufilipino. Mimi sitakwambia jibu ila litafute mwenyewe maana umetoa hoja yako kwa kujiamini sana. Kwa kuwa msingi wa hoja yako ni batili (hii ya China, Marekani na Ufilipino) ina maana hata hoja yako haina mashiko. Namalizia kwa kukushauri pia ufuatilie muelekeo wa uhusiano baina ya Ufilipino na China, na Ufilipino na Marekani kwa miaka ya hivi karibuni tangu Rais mpya wa Ufilipino aingie madarakani.

I guess that went over your head. Ufilipino ni mfano tu, niambie ni nchi gani China alienda kutoa humanitarian aid let alone kuwa wakwanza kufika. Nchi ngapi zinakumbwa na majanga USA inaenda kutoa misaada ila china mnayoishabikia inapiga mute kama haipo vile.
 
Urusi hana cha kufanya kwa sababu ni nchi masikini.

China ni selfish country. Kaitumia WHO kwa faida yake kisha akaisaidia Dollar 30M ambayo hata Tanzania ingeweza kutoa.

Trp alishasema wamejenga uchumi sa nchi nyingi sana Duniani sasa ni wakati wa kujenga uchumi wao.

China anaendelea kuibana kwa vikwazo. Kazi bado nzito kwao.

Hakumu Mfawidhi, kwa hoja hizi ulizotoa kuhusu Urusi na China nimegundua kuna mambo mengi sana huenda hukuyasema kwa maksudi au huyafahamu kuhusu (spheres of global political and military influence). Nadhani ukipata muda fanya utafiti zaidi upate kujua dunia yetu leo inazunguka vipi.
 
Hapo kwenye "yajitoa rasmi" kuna mkanganyiko.

Trump ana mamlaka ya kuiondoa Marekani kutoka WHO lakini kwa notisi ya miezi 12 na si ghafla kiasi hicho.

Sheria zinambana kufanya hivyo kwa sasa otherwise hakukusudia "kujitoa rasmi" bali mmemnukuu vibaya.

Kisheria, bado Marekani ni mwanachama halali wa WHO kwa sasa.
 
Pigeni kazi!! Hao waacheni na mambo yao wenyewe
Usiniambie hujui madhara ya US kujitoa WHO ambae ndio Donator mkubwa wa WHO? Sasa nikuambie hizi athari zitagusa mpaka jamii yetu kuna huduma nyingi za afya ni bure kama chanjo za measles na polio,

Je, unadhani hizo research za afya zinatoka wapi, Tedro alishaonesha incompetent angekaa tu pembeni. Halafu trump si alitoa Siku 30 kwa who ili wajirekebishe haswa Hao top officials wapishe kiti sasa zimefika kweli?
 
I guess that went over your head. Ufilipino ni mfano tu, niambie ni nchi gani China alienda kutoa humanitarian aid let alone kuwa wakwanza kufika. Nchi ngapi zinakumbwa na majanga USA inaenda kutoa misaada ila china mnayoishabikia inapiga mute kama haipo vile.

Mimi nisingependa kuendeleza mabishano yasiyo kikomo. Lakini nitajie wapi au nchi gani palitokea majanga USA wakaenda na China ikapiga mute kama unavyodai? Halafu suala zito la global domination unataka kuliangalia kwenye dirisha moja tu la majanga (disaster response)?
 
Huyu Trump anapenda sana lawama. Wakati jjanga limeikumba china yeye hakuchukua hatua wala hakujiandaa na hakutegeme kama lingeikuta nchi yake. Alikuwa anakenua hadi waziri wake akathubutu sema kuwa ni fursa kwao ya kibiashara.

Wananchi hawanabudi kumlaumu yeye kwani naye kama raisi alilichukulia poa hakuchukua hatua stahiki hadi linafika hawakuwa na utayari wa kukaliana nalo.

Trump kila baya anataka alisukumie kwa watu, mara Chhina, mara Urusi sasa WHO.
 
Wewe chekelea ilhali ndugu zako huko kwa mtongole ndio wataumia, maana huyo muajemi na mwarabu ambao huwa unawashobokea kisa dini hamna siku hata moja watakusaidia wewe au ndugu zako, wale ni wagumu na wabaguzi kupita maaelezo, huyu Marekani unapenda kumponda na kula kutoka kwenye sahani yake kwa wakati mmoja.


Endeleeni kuimba taarabu kwani mnashindwa kujiendesha wenyewe mpaka mtegemee misaada

Hao waajemi wanapitia mengi mpaka wanamua kupambana nakujikwamua wenyewe bila misaada nyie mnashindwia wapi ?!

Hao walokua sio wabaguzi ndio washa waacha solemba hapo mpambane nahali zenu

Kufa tutakufa tusipokufa kwa AIDS tutakufa kwamengine

Ndio mujue kama mazungu mauaji yanapelekeshana yenyewe kwayenyewe kule VENEZUELA halafu yaje yakuthamini wewe huko KAMPALA pole sana kijana ila MHABESH mwenzangu kanifurahisha Mnoooooooooooo

Mwanzo wamwisho wa US unapitia safari nyingi mnoooo ila utafika tuuu.....
 
Kwa watu wanaofuatilia mienendo ya siasa za dunia, maamuzi haya ya utawala wa Trump yanaiweka Marekani umwali na kuipunguzia uwezo au nguvu ya ushawishi duniani. Uamuzi huo ni msiba kwa ‘dunia ya Magharibi’ na kicheko kikubwa kwa China na Urusi. Rais Trump ataingia katika kitabu cha historia ya Marekani kama kiongozi aliyeidhoofisha Marekani na kuiondolea heshima ya kile kijulikanacho kama ‘kiongozi wa dunia huru’.
Hakika

Maamuzi haya yanaipunguzia sana Nguvu US kunawatu hapa ukiwaambia Turamp akili zake fupi wanajifanya hawamuoni

Yaani Turampet nirais wahovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya US na DUNIA kwaujumla...
 
Afadhali umesema la maana; kipenga cha mwisho ni November 2020. Tangu Trump achaguliwe, chama chake kimekuwa kinapukutika pole pole. Trump akichaguliwa tena nitaacha kabisa kutumia computer, badala yake nitakuwa natumia Olivetti typewriter na calculator hizi. Inawezekana wengine hamzijui Olivetti
View attachment 1463107
View attachment 1463108
Naona mnarudia tena kupiga ramli Kama 2016, sasa hivi kama hujui Trump amejipanga zaidi Kuliko 2016. Nimekuwa nikifuatilia timu yake ya kampeni nadhani mwezi wa 11 itakuwa ni massacre kwa Biden na ambavyo hawezi kuunganisha sentensi yatatokea mauaji Kwenye midahalo yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mnarudia tena kupiga ramli Kama 2016, sasa hivi kama hujui Trump amejipanga zaidi Kuliko 2016. Nimekuwa nikifuatilia timu yake ya kampeni nadhani mwezi wa 11 itakuwa ni massacre kwa Biden na ambavyo hawezi kuunganisha sentensi yatatokea mauaji Kwenye midahalo yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unarudia wakati tumekubaliana kuwa tusubiri November? Kama kuwa na hela na za kampeini na timu kubwa ya uchaguzi ndiyo ingekuwa njia ya ushindi basi Bloomberg angekuwa ni nominee wa democrats sasa hivi, au Hilary ndiye angekuwa rais mwaka 2016.

Usi=hindi unatokana na ni wangapi watakupigia kura, si watu wanaokufanyia kazi. Niliwahi kuchukuliwa na watu wa kampeini ya chama fulani kwenda kumpigia kura mtu wao kura kwenye local politics lakini nilipofika nikampigia Msomali fulani ingawa hakushinda.
 
Hili lilitabiriwa kutokea hasa baada ya mvutano baina ya US na China kuhusu mlipuko wa COVID19.

Ngoja tuone kama China itaweza kubeba majukumu ya kuwa mchangiaji mkubwa baada ya US kujitoa.

Though tutakaoumia ni sisi Tanzania pamoja na majirani zetu manake vifaa tiba na madawa mengi hasa ya ArVs, Malaria, TB na Kifua kikuu tunapata kwao.😥
 
Kipindi cha Hillary hizo polls zilikuwa against Trump
Trump ni rais mnyonge sana kiakili kiasi kuwa anadhani vitisho, kulaumu na kujitoa kwenye medani za kimataifa ndiyo kuonyesha ubabe. Akishajitoa katika medani kadhaa, nchi itaanza kukose influence, jambo ambalo ndilo ilikuwa silah kubwa ya Marekani. Hata hivyo urais wake bado uko hatihati sana; angalia hii kutoka RCP
View attachment 1463075
 
Jidanganye. Walikuwa wapi kutoa zamani
Naona Muhabesh Bado Tunae pale WHO

niliwahakikishia kwamba MUHABESH hawez toka kwa upuuzi wa Turampet nanikawaambieni Turampet Akili ndogo sana Hasa kwenye masuala mazima ya Diplomasia
 
Back
Top Bottom