Marekani yajitoa rasmi Shirika la Afya Duniani WHO

Marekani nawapongeza kwa hiyo kwa Sasa dawa zao hazitahitaji kibali Cha WHO

Na dawa watakazotumia toka nchi zingine hazitalazimika kupata kibali Cha WHO .Ni wakati wetu wa kuanza kuwauzia majani ya kujifukiza wamarekani.Fursa hiyo.WHO ilikuwa kikwazo

Ngoja nikatafute nifunge majanini ya kujifukiza kifurushi nikamiuzie Donald Trump
 
Kwa sisi tunafuatilia siasa za Marekani japo kwa uchache, Kwa uchaguzi ujao USA sioni wa kumtoa kilingeni Donald Trump, Si cha Joe Biden, Bernie Sanders au Gabbard ni Kama ilivyo hapa bongo sioni wa kumtoa kilingeni JPM
 
Hapo sasa ndio umeanza kuongea cha maana, miafrika tuchape kazi na kuacha kuwalalamikia wazungu, wametusaidia sana ila ifike wakati tuamue kupambana na hali yetu, halafu hao waarabu hata mkivaa mikanzu yao, uote mindevu na kufuata dini yao hutaona wakija kukusidia, wanakubagua bila huruma, kwanza thubutu kuchumbia kwao, eti Msukuma na weusi wote huo itokee umempenda mwanamke wa kiarabu kisa wewe ni mvaa kanzu kama wao, utakoma ubishi.
Kwahiyo wazungu wanatupenda sana waafrika?
 
Hahahahhah uzuri mkuu wewe hua huna hasira...nimekutania tu boss.

Ila nini mzee hapo lumumba kama kuna kazi hata ya kufagia nifanyie connectoon hali tete mtaani huku.
Ukale mavumbi ya kijani kabisaaaaa!
 
Rais wa Marekani alianza kusema muda mrefu kujitoa WHO, wengi walisema ni mchezo wa kuigiza. Kwamba Marekani inajua mchezo mzima. Sasa kajitoa tunajifunza Nini? Marekani kahisi Kuna mchezo wa kutaka kudhohofisha uchumi wake.
 
Back
Top Bottom