Marekani iliunda kundi la kigaidi la ISIS (Daesh)

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Mwanasiasa mwingine akiri: Marekani iliunda kundi la kigaidi la ISIS (Daesh)

Apr 21, 2023 08:22 UTC

[https://media]

Mwanasiasa wa Marekani ambaye ametangaza nia yake ya kugombea katika uchaguzi wa urais mwaka ujao, amekiri kwamba nchi hiyo ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).

Robert F. Kennedy Jr mwenye umri wa miaka 69, mpwa wa rais wa zamani wa Marekani, John F. Kennedy , amesema kwamba: "Polisi wa nchi hii ni wafisadi, tulitengeneza kundi la kigaidi la ISIS na tumetuma wakimbizi milioni 2 Ulaya na kuyumbisha demokrasia barani humo, hali iliyosababisha Brexit na kujiondoa Uingereza katika umoja wa Ulaya."

Mwanasiasa huyo wa chama cha Democratic na mpinzani wa Joe Biden ameongeza kuwa, hii ni sehemu ya gharama za vita vya Iraq vilivyotumia jumla ya dola trilioni 24.

[https://media]Robert F. Kennedy

Kennedy amesisitiza kuwa, gharama hizo hazikuwa na faida yoyote isipokuwa uharibifu kwa tabaka la kati la Marekani na kuna ulazima wa kukomeshwa hali hii.

Mwanasiasa huyo wa Marekani amekosoa sera ya kigeni ya nchi hiyo akakiri kwamba mkakati wa Marekani siku zote umekuwa kutumia silaha za kijeshi kwa ajili ya kutunisha misuli duniani kote.

Zaidi ya miaka ishirini iliyopita, Machi 20, 2003, George W. Bush, rais wa zamani wa Marekani, aliamuru mashambulizi dhidi ya Iraq bila idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kinyume cha sheria kwa ushirikiano Waziri Mkuu wa Uingereza, Tony Blair.

Mashambulizi na uvamizi wa Marekani na Uingereza dhidi ya Iraq ulipelekea kuuawa malaki ya raia wasio na hatia wa nchi hiyo.

Itakumbukwa kuwa awali aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump pia alikiri kuwa nchi hiyo ndiyo iliyounda na kuazisha kundi la kigaidi la Daesh lililofanya mauaji ya kutisha na jinai zisizo na mfano katika nchi kama Iraq na Syria.
 
Hii ni mbinu feki inayotumiwa na wale wanaunga mkono ✋ uislamu kujitetea kwa tuhuma za waumini wao kuhusika kufanya vitendo viovu duniani.

Marekani ataundaje genge la kigaidi halafu yeye huyo huyo ndiye awe mhanga mkuu wa huo ugaidi na kwa nini Marekani huyo huyo tena ndiye ahusike katika kuwauwa hao magaidi?

Kwa nini waislamu ndio wakubali kutumika katika vikundi hivyo vya kigaidi karibu kote duniani kwa nini wasiwakatalie wamarekani...???

Mnajaribu bila mafanikio kuutenganisha uislamu na ugaidi kwa sababu piga ua magenge yote ya kigaidi lazima utakuta wafuasi wake ni wa imani ile ile na cha ajabu wenyewe hawajawahi kusema kwamba wanaitumikia taifa la Marekani bali wanadai kumpigania mungu wao mnyonge asiyeweza kujitetea eti mpaka apiganiwe na hao magaidi. Bure kabisa.
 
Hii ni mbinu feki inayotumiwa na wale wanaunga mkono uislamu kujitetea kwa tuhuma za waumini wao kuhusika kufanya vitendo viovu duniani.

Hapa umemaliza Kila kitu. Hapa umewaziba mdomo wavaa kobazi aisee.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni mbinu feki inayotumiwa na wale wanaunga mkono ✋ uislamu kujitetea kwa tuhuma za waumini wao kuhusika kufanya vitendo viovu duniani.

Marekani ataundaje genge la kigaidi halafu yeye huyo huyo ndiye awe mhanga mkuu wa huo ugaidi na kwa nini Marekani huyo huyo tena ndiye ahusike katika kuwauwa hao magaidi?

Kwa nini waislamu ndio wakubali kutumika katika vikundi hivyo vya kigaidi karibu kote duniani kwa nini wasiwakatalie wamarekani...???

Mnajaribu bila mafanikio kuutenganisha uislamu na ugaidi kwa sababu piga ua magenge yote ya kigaidi lazima utakuta wafuasi wake ni wa imani ile ile na cha ajabu wenyewe hawajawahi kusema kwamba wanaitumikia taifa la Marekani bali wanadai kumpigania mungu wao mnyonge asiyeweza kujitetea eti mpaka apiganiwe na hao magaidi. Bure kabisa.
Sidhani kama ubongo wako unafanya kazi sawa sawa , kwa mujibu wa habari ya mtoa mada aliyeongea hiayo ni mtu ambaye Hana uhusiano na uislamu ni mwanasiasa ambaye hajaongea labda kutafuta kuungwa mkono na waislamu ili kutimiza jambo lake.

Tukiangalia kwa upande mwingine marekani anahisika kwa uwepo wa ISIS kwa kule kuzivamia nichi na kuangusha utawala , Origin ya ISIS ni wanamgambo walikuwa wanaunga mkono serikali iliyoangushw, kwa mfano Iraq IS ilitokana na wanajeshi wa Saddam waliofukuzwa kazi pamoja na wananchi walikuwa na hasira na utawala vamizi wa marekani
 
Hii ni mbinu feki inayotumiwa na wale wanaunga mkono uislamu kujitetea kwa tuhuma za waumini wao kuhusika kufanya vitendo viovu duniani.

Marekani ataundaje genge la kigaidi halafu yeye huyo huyo ndiye awe mhanga mkuu wa huo ugaidi na kwa nini Marekani huyo huyo tena ndiye ahusike katika kuwauwa hao magaidi?

Kwa nini waislamu ndio wakubali kutumika katika vikundi hivyo vya kigaidi karibu kote duniani kwa nini wasiwakatalie wamarekani...???

Mnajaribu bila mafanikio kuutenganisha uislamu na ugaidi kwa sababu piga ua magenge yote ya kigaidi lazima utakuta wafuasi wake ni wa imani ile ile na cha ajabu wenyewe hawajawahi kusema kwamba wanaitumikia taifa la Marekani bali wanadai kumpigania mungu wao mnyonge asiyeweza kujitetea eti mpaka apiganiwe na hao magaidi. Bure kabisa.
Sasa huyo alieongea hvyo ni muislam mbona watu wa LGBTQ mnakuwa na akili za hovyo unaambiwa anaetoa matamshi hayo mgombea urais wa usa ww unaongea unachojua ww kuwa mbinu ya kujitetea wa islam au huyo kenedy nae muislam?punguza chuki zisizo na mpango
 
Swala nyeti hivyo kiongoz haez ongea kwenye media kizembe hivyo , hapo anawapiga siass wamarekan wenye asili ya kiarab wampigie kura tu
 
kwanza unajua jamii zinazounda nchi ya marekan ? Marekan inaundwa na kila jamii so huyo anatafita huruma tu ili aungwe mkono na wajinga ya kiarabu yenyr uraia wa marekan
 
Ni vitu virahisi sana ila utashangaa majitu mazima na ndevu zao hayaelewi.
 
Hii ni mbinu feki inayotumiwa na wale wanaunga mkono ✋ uislamu kujitetea kwa tuhuma za waumini wao kuhusika kufanya vitendo viovu duniani.

Marekani ataundaje genge la kigaidi halafu yeye huyo huyo ndiye awe mhanga mkuu wa huo ugaidi na kwa nini Marekani huyo huyo tena ndiye ahusike katika kuwauwa hao magaidi?

Kwa nini waislamu ndio wakubali kutumika katika vikundi hivyo vya kigaidi karibu kote duniani kwa nini wasiwakatalie wamarekani...???

Mnajaribu bila mafanikio kuutenganisha uislamu na ugaidi kwa sababu piga ua magenge yote ya kigaidi lazima utakuta wafuasi wake ni wa imani ile ile na cha ajabu wenyewe hawajawahi kusema kwamba wanaitumikia taifa la Marekani bali wanadai kumpigania mungu wao mnyonge asiyeweza kujitetea eti mpaka apiganiwe na hao magaidi. Bure kabisa.
Waislamu wanakufa Iraq kwa kupigana na Isis, zaidi ya Asilimia 90 ya Casualties za Isis ni kwa waisilamu

Makampuni kibao ya west yamekubali ama data kuleak wanawalipa pesa Isis

Sasa wewe huku unalia kabisa kujifanya unajua kuliko West wenyewe

Hii Ericson

Hii ni mbinu feki inayotumiwa na wale wanaunga mkono uislamu kujitetea kwa tuhuma za waumini wao kuhusika kufanya vitendo viovu duniani.

Marekani ataundaje genge la kigaidi halafu yeye huyo huyo ndiye awe mhanga mkuu wa huo ugaidi na kwa nini Marekani huyo huyo tena ndiye ahusike katika kuwauwa hao magaidi?

Kwa nini waislamu ndio wakubali kutumika katika vikundi hivyo vya kigaidi karibu kote duniani kwa nini wasiwakatalie wamarekani...???

Mnajaribu bila mafanikio kuutenganisha uislamu na ugaidi kwa sababu piga ua magenge yote ya kigaidi lazima utakuta wafuasi wake ni wa imani ile ile na cha ajabu wenyewe hawajawahi kusema kwamba wanaitumikia taifa la Marekani bali wanadai kumpigania mungu wao mnyonge asiyeweza kujitetea eti mpaka apiganiwe na hao magaidi. Bure kabisa.

Naona umeamua kujitoa ufaham kwa chuki zako inasikitisha sana,,, Get well soon!!!
 
Hii ni mbinu feki inayotumiwa na wale wanaunga mkono uislamu kujitetea kwa tuhuma za waumini wao kuhusika kufanya vitendo viovu duniani.

Marekani ataundaje genge la kigaidi halafu yeye huyo huyo ndiye awe mhanga mkuu wa huo ugaidi na kwa nini Marekani huyo huyo tena ndiye ahusike katika kuwauwa hao magaidi?

Kwa nini waislamu ndio wakubali kutumika katika vikundi hivyo vya kigaidi karibu kote duniani kwa nini wasiwakatalie wamarekani...???

Mnajaribu bila mafanikio kuutenganisha uislamu na ugaidi kwa sababu piga ua magenge yote ya kigaidi lazima utakuta wafuasi wake ni wa imani ile ile na cha ajabu wenyewe hawajawahi kusema kwamba wanaitumikia taifa la Marekani bali wanadai kumpigania mungu wao mnyonge asiyeweza kujitetea eti mpaka apiganiwe na hao magaidi. Bure kabisa.
Aliyesema ni mmarekani,sio muislamu.Sasa wewe wasema ni mbinu feki.Soma vizuri uzi uuelewe.
 
Sasa huyo alieongea hvyo ni muislam mbona watu wa LGBTQ mnakuwa na akili za hovyo unaambiwa anaetoa matamshi hayo mgombea urais wa usa ww unaongea unachojua ww kuwa mbinu ya kujitetea wa islam au huyo kenedy nae muislam?punguza chuki zisizo na mpango
Huu ndio ukweli.Hawasomi uzi,wanavamia kujibu,sasa hapo muislamu anahuhusika nini,wakati aliyesema ni mmarekani,mvaa kamba ya mbuzi,shingoni.
 
Swala nyeti hivyo kiongoz haez ongea kwenye media kizembe hivyo , hapo anawapiga siass wamarekan wenye asili ya kiarab wampigie kura tu
Hao waarabu walioko marekani ni asilimia 0.00001,atapata kura ngapi mpaka wamuunge mkono.
 
Tatizo ni hili dubuwasha CIA lililojikita duñia mzima na halijulikani lini litaliwasha na ataliwasha wap!!
 
Back
Top Bottom