ikhatibu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 2,491
- 2,477
Ipo mkuu.Vipi ipo playstore?
Ipo mkuu.Vipi ipo playstore?
k.koo android tu zinawapa shidaAcha kutangaza biashara zako za kitapeli hapa kiujanja ujanja ili watu waingie kingi uwatapeli na hao matapeli wenzako wa Sijui k/koo. Niletee hata simu moja hapa ambayo mmeishaitoa icloud hapo k/koo?
Haa naona wamefurahia tu mafanikio ya ku accesa hizo data bila kusema ni taarifa zipi wamepata!!!Wamegundua nini kwenye hiyo sim wanayoipigia kelele?
Mkuu mbona covert operation nying tu zinapigwa na watu tunajua ingawa mamlaka husika hazijawah comment? hata china wandukua american firms daily lakin hawasemi?ulitegemea FBI waje hazaran waseme hivyo? kitu unachotaka ww kwe issue za ki intelligent km hcho hakiwez tokea lakin watu tunasoma habari kupitia third part...yaan unachotaka wewe chombo cha habari kitangaze kwamba iran imesema inahusika kulipua waisrael pale ujeruma wakati wa olimpic? au iran kulipua wayahudi kule argentina?haiwezekan mkuuNaam, hivyo ndivyo nijuavyo.
Watakuwa wapumbavu wa mwisho kabisa kuutajia ulimwengu au watu waliowafungulia hiyo simu.
Lakini pia, wewe hii kauli yako hapo chini chanzo chake ni kipi? Manake umesema kabisa, tena bila qualification yoyote ile kuwa "ni muisrael ndo aliowasaidia kufungua".
Nilipokuomba unipe chanzo au vyanzo vya ulipoitoa, ukanipa chanzo kimoja ambacho hata hakisemi ulichokisema wewe hapo chini.
Sasa unaandika kushukuru mimi kwa kujijibu mwenyewe, kwa hiyo unakiri kuwa umechemsha ulichokiandika hapa chini?
Bado hujanipa chanzo kinachosema hicho ulichokidai wewe.
mimi siweziKwani unaweza ku-track mawasiliano ya mtu kwenye whatsapp?
iyo ilikua janja tuu ya serikali kufata sheria vijana wa kkoo tu wanafungua icloud ya apple eti wajifanye sijui mu izrael..jozi ndio utashangaa wanavyozichezea izo eti wao wanajifanya ooh sijui nini simu wanayo hawawezi kutoa data au walikua wanamaanisha nini..
Mkuu mbona covert operation nying tu zinapigwa na watu tunajua ingawa mamlaka husika hazijawah comment? hata china wandukua american firms daily lakin hawasemi?ulitegemea FBI waje hazaran waseme hivyo? kitu unachotaka ww kwe issue za ki intelligent km hcho hakiwez tokea lakin watu tunasoma habari kupitia third part...yaan unachotaka wewe chombo cha habari kitangaze kwamba iran imesema inahusika kulipua waisrael pale ujeruma wakati wa olimpic? au iran kulipua wayahudi kule argentina?haiwezekan mkuu
dah mkuu kama na hapo juu hujanielewa ntakua nmeshndwa hoja yako mkuu...but kuna vitu mkuu mamlaka husika haziwez comment hata cku moja....usitegemee kuwa iran watakiri kuwapa silaha waasi wa houth yemen...usitegemee mamlaka za russia zitasema kuwa russia inawapa silaha waasi wa ukraine wanaisumbua serikali ya ukraine lakin vtu hivi vipo na watu wanajua kuwa vinatokea..lakin sasa ukisema upewe source ya mamlaka husika inayothibitisha haya mkuu hutapataBasi jifunze ku qualify kauli zako.
Huwezi kutumia declarative statementkuelezea speculations zako na za wengine.
Hakuna, mpaka sasa, yeyote yule mwenye mamlaka aliyesema kuwa Muisrael ndo kaifungua hiyo simu.
Bali, kilichopo ni speculation tu.
dah mkuu kama na hapo juu hujanielewa ntakua nmeshndwa hoja yako mkuu...but kuna vitu mkuu mamlaka husika haziwez comment hata cku moja....usitegemee kuwa iran watakiri kuwapa silaha waasi wa houth yemen...usitegemee mamlaka za russia zitasema kuwa russia inawapa silaha waasi wa ukraine wanaisumbua serikali ya ukraine lakin vtu hivi vipo na watu wanajua kuwa vinatokea..lakin sasa ukisema upewe source ya mamlaka husika inayothibitisha haya mkuu hutapata
hahahaa nna wasiwasi ushakuwa brainwashed sana mkuu kama kila kitu huwa unasubiri official statement, maana hata ZEC walituambia uchaguzi wa marudio ulikua fresh coz ulishirikisha vyama vyote na wananchi wakamchagua muheshimiwa kwa asilimia tisini na........Sasa kama mamlaka husika hawawezi kusema, wewe mamlaka ya kutoa declarative statementunayatoa wapi?
Hivi unajua hata maana ya declarative statement ni nini?
Unajua kwa nini, kwa mfano, hata kile chanzo ulichonipa hakikusema moja kwa moja kuwa Muisrael ndo kaifungua?
Wewe kubali tu kuwa, kilichopo ni speculation kuwa huenda kampuni ya Kiisrael ndo inasadikiwa ilihusika katika ufunguaji huo.
Unajua maana ya speculation ni nini? Maana nisije kuwa natumia misamiati ambayo labda hata huijui au huielewi!
hahahaa nna wasiwasi ushakuwa brainwashed sana mkuu kama kila kitu huwa unasubiri official statement, maana hata ZEC walituambia uchaguzi wa marudio ulikua fresh coz ulishirikisha vyama vyote na wananchi wakamchagua muheshimiwa kwa asilimia tisini na........
fresh mkuu,we had a good conversation sema bahati mbaya tumetofautiana mawazo ni kitu cha kawaida brooKama unadhani nimekuwa brainwashed [sijui hata na nini], basi unakosea sana.
Kwangu ni suala la umakini tu.
Umakini wa kutambua mambo au vitu kama vilivyo na si visivyo.
Kama ni tetesi, basi acha na ziwe tetesi.
Lakini si kuzifanya tetesi ziwe ukweli.
Hivi unaelewa hata tofauti ya tetesi na ukweli?
Tetesi zilizoko ni FBI walishirikiana na engineer kutoka Jeshi la Israel wakafungua hyo simu.
FBI wamejidharirisha sana! Kweli wanashindwa kutengeneza software za ku-track hizo iphone! Haikua ishu ya kuwasumbua apple hii! Naanza kutowaamini hawa jamaa kwenye ushushu wa kitecnokojia. Kuna hila hapa.
WAWADANGANYE WAJINGA !Hatimae FBI wameweza kuingia ndani ya simu ya gaidi bila kuwashirikisha Apple. Ikumbukwe kulikuwa na mtanange mahakamani serikali ikiitaka Apple itengeneze software mpya itakayoiwezesha FBI kuingia na kuacces data za hiyo simu, lakini Apple ilipinga ikidai kuwa itaharibu reputation and privacy ya customers
================
The top federal prosecutor in California, said investigators had received the help of "a third party"
May be The Israel company did this
Haya wale wote walionunua hizo iPhone wakidhani not crackable wajifikirie upya.
Source: BBC
FBI-Apple case: Investigators break into dead San Bernardino gunman's iPhone - BBC News
Ha ha ha...sio kila kitu cha ku comment bibie...we endelea kufuatilia habari za mtoto wa diamond na makalio ya wema huko ndo uko vizuri...hivi vitu technical tuachie tulioenda shule na kufaulu
umenifurahisha sana mkuu, eti endelea kufuatilia habari za mtt wa daimond na msambwanda wa sepenga huko ndo yuko vizuri,

hapo mwisho kwenye issue ya usalama ndo penye point kuu, ila mwanzo ulianza kwa porojo za kiswazi.My dear,jaribu kusoma upya point yangu utaelewa nilikuwa na maana gani.
Ila ukikurupuka namna hii huwezi kuelewa nilimaanisha nini.
Ngoja nikufafanulie kidogo,nimesema huu ni mchezo wa FBI na Apple ili kukuza mauzo ya bidhaa za Apple.
Kama ingekuwa imefunguliwa na mtu mwingine kwanini wasimtaje huyo mtu?
Point kuu hapo ni kuongeza mauzo ya hizo bidhaa za Apple ndio maana hajatajwa huyo 'MTU'.
Au lah,huenda sababu za kiusalama zimetumika kutokumtaja huyo mfunguaji.
ndio maana nilisema ni tetesi,sikutaka kujiaminisha wala kumuaminisha mtu.Asante kwa maelezo yako.Mkuu, usipende kushabikia tetesi maana hutakuja kuelimika.
Suala la uchunguzi wa kisayansi au forensic investigation ni la kawaida nchini Marekani, Ulaya, Australia, na baadhi ya nchi za kiarabu kama Saudia na Kuwait.
Sasa hivi katika uliwengu wa teknolojia, kuna masuala kama ya usalama na nyenzo za kusaidia uimarishaji wa usalama huo au utenguaji.
Kuna wahitimu wengi tu wenye shahada ya forensic and criminal investigations na polisi wa nchi nilizozitaja hapo juu wanawategemea watu hawa katika uchunguzi wao.
Siku hizi kuna kampuni ambazo zinaingia mikataba na polisi wa nchi hizo katika uchunguzi wa kesi za mauaji, utekaji watoto wa kike na wanawake ambao baadae wanauawa, makosa ya mitandao na mwisho udondoaji wa data kutpka kwenye vyombo kama simu za mkononi na tablets.
Moja ya kampuni hizo ni ya waisraeli inaitwa Cellebrite ambayo ndio wamewasaidia FBI kufungua simu ya Farouk.
Hii ni kampuni maarufu sana kwa kuwa na teknolojia ya kufungua simu za mkononi kwa kutumia advanced tools and technology.
Tarehe 19-20 mwezi wa 4 kutakuwa na maonyesho ya bidhaa za usalama na mitandao mjini London nchini Uingereza, maonyesho yanaitwa Forensic Euro Expo.
Lakini kabla ya hapo kutakuwa na maonyesho mjini Zagreb nchini Croatia tarehe 5/4/16 yanayoitwa DATA FOCUS 2016- Intrnational Conference On Digital Evidence.
Halafu tarehe 12-14 April 2016 maonyesho yatakuwa mjini Rio de Janeiro nchini Brazil.
Hivyo ndivyo mambo yanavyoendelea.