Ni bora hivyo kuliko wangekubali kufungua wenyewe. Na wangeendelea na kesi nina uhakika asilimia mia serikali ya marekani ingeshinda na simu ingefunguliwa na wao wenyewe Apple. Maana hapo ishaingia ishu ya Ugaidi, Ushaingiza usalama wa taifa na raia wake. Come it may, kwa serikali makini, hiyo simu ingefunguliwa tuu.
Ukizingatia Apple ni nembo ya serikali na taifa la marekani, mimi naona hichi walochofanya FBI na Apple ni WinWin situation, Hapa tutegemee apple watakuja na excuse kuwa wataupgrade Os kuziba hizo flaws. Hakuna machine yenye 100% efficiency perfomance.
Na isitoshe, hata hao wateja wa apple wakisema kuwa apple siyo secure, ni wapi na kwenye OS platform gani watakwenda wapate security kuzidi hii wanayoipata kwa sasa wakiwa na iOs.? So hawana opion. Wataona ni bora wabaki iOs ambapo watakuwa wanadukuliwa kwa mbinde.
So katika 3D, ni kwamba wamewaongezea biashara apple.