Marekani yaifungua iPhone ya Mlipuaji

Titans

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,459
3,368
Hatimae FBI wameweza kuingia ndani ya simu ya gaidi bila kuwashirikisha Apple. Ikumbukwe kulikuwa na mtanange mahakamani serikali ikiitaka Apple itengeneze software mpya itakayoiwezesha FBI kuingia na kuacces data za hiyo simu, lakini Apple ilipinga ikidai kuwa itaharibu reputation and privacy ya customers

================
The top federal prosecutor in California, said investigators had received the help of "a third party"

May be The Israel company did this

Haya wale wote walionunua hizo iPhone wakidhani not crackable wajifikirie upya.

Source: BBC


FBI-Apple case: Investigators break into dead San Bernardino gunman's iPhone - BBC News
 
Wizara ya Sheria ya Marekani inasema imefanikiwa kuzisoma data zilizohifadhiwa kwenye Simu ya iPhone mali ya mmoja wa walipuaji katika tukio la mauaji la San Bernardino na kutangaza kuacha mpango wake wa kisheria dhidi ya Kampuni ya Apple.

160215124410_iphone_624x351_getty_nocredit.jpg


Wakili wa Marekani Eileen Decker alisema kuna mtu aliisaidia idara hiyo kuifungua Simu hiyo ya iPhone bila kuathiri data zilizohifadhiwa.

Kampuni ya Apple ilikataa kusaidia uchunguzi , kwa kusema ni kuweka ' historia mbaya.

Simu hiyo ni mali ya Rizwan Farook ambaye, pamoja na mke wake, waliuua watu kumi na wanne kusini mwa California Desemba mwaka jana.

Chanzo: BBC Swahili
 
160215124410_iphone_624x351_getty_nocredit.jpg


Wizara ya Sheria ya Marekani inasema imefanikiwa kuzisoma data zilizohifadhiwa kwenye Simu ya iPhone mali ya mmoja wa walipuaji katika tukio la mauaji la San Bernardino na kutangaza kuacha mpango wake wa kisheria dhidi ya Kampuni ya Apple.

Wakili wa Marekani Eileen Decker alisema kuna mtu aliisaidia idara hiyo kuifungua Simu hiyo ya iPhone bila kuathiri data zilizohifadhiwa.

Kampuni ya Apple ilikataa kusaidia uchunguzi , kwa kusema ni kuweka ' historia mbaya.

Simu hiyo ni mali ya Rizwan Farook ambaye, pamoja na mke wake, waliuua watu kumi na wanne kusini mwa California Desemba mwaka jana.


Chanzo: BBC Swahili
 
Wizara ya Sheria ya Marekani inasema
imefanikiwa kuzisoma data zilizohifadhiwa
kwenye Simu ya iPhone mali ya mmoja wa
walipuaji katika tukio la mauaji la San
Bernardino na kutangaza kuacha mpango wake
wa kisheria dhidi ya Kampuni ya Apple.
Wakili wa Marekani Eileen Decker alisema kuna
mtu aliisaidia idara hiyo kuifungua Simu hiyo ya
iPhone bila kuathiri data zilizohifadhiwa.
Kampuni ya Apple ilikataa kusaidia uchunguzi ,
kwa kusema ni kuweka ' historia mbaya.
Simu hiyo ni mali ya Rizwan Farook ambaye,
pamoja na mke wake, waliuua watu kumi na
wanne kusini mwa California Desemba mwaka
jana.
4877b21c2ca404153f2992e09f5deafb.jpg




Marekani yaifungua iPhone ya Mlipuaji - BBC Swahili
 
Serikali ya Marekani imetangaza imefanikiwa kufungua simu na kusoma data zilizohifadhiwa kwenye simu hiyo hivyo imeachana na mpango wake wa kisheria dhidi ya kampuni ya Apple.
Wakili wa Marekani Eileen Decker alisema kuna mtu alisaidia FBI kufungua simu hiyo tena bila kuathiri data zilizohifadhiwa. Itakumbukwa kampuni ya Apple ilikataa kusaidia uchunguzi wa simu hiyo inayomilikiwa na Rizwan Farook ambaye pamoja na mke wake waliua watu 14 kusini mwa California December mwaka jana.
 
Walichokuwa wanatafuta ni washirika waRizwan Farook na mke wake katika hilo tukio. Kwa kuwa jamaa baada ya tukio walihakikisha wanaharibu kila kitu chenye kuhifadhi kumbukumbu, kifaa pekee kilichosalia ni hiyo simu. Labda kuna watu waliokuwa wanawasiliana na marehemu wanaweza kupatikana.
 
Wajinga sana hao Apple. Miaka yote walikuwa wanazifungua safari hii wakajifanya kuzingua.
 
Hiyo ni janja tu ,huyu mtu atakua mamluki wa apple,wameamua kufanya hivyo ili kuto halibu biashara ya apple
Mkuu wala sio mamluki wao ila ni Waisrael ndio inasemekana wanaouwezo huo na tayari fununu zilishaanza kuenea kwamba Waisrael hao wataibutua simu hiyo kiulaini..na walivyoulizwa hawakubisha..walisema wanaweza
 
How does iPhone data encryption mechanism work to ensure almost perfect data security?
 
Wamegundua nini kwenye hiyo sim wanayoipigia kelele?
Kama ingekuwa ni simu ni ya mkewe Farook, Bi. Tashfeen Malik mambo yangekuwa mengine, kwa kuwa huyu mama ndiye aliyelipanga tukio zima. Huyo bwana Farook alikuwa hajui mambo meengi ya mkewe. Ingawa watapata baadhi ya taarifa zitakazoweza kuwapa fununu ya baadhi ya mambo.
 
Hao ni Apple wamefangulia,sasa naamini huu ni mchezo unaochezwa kati ya FBI na Apple kukuza soko la bidhaa zao.
Huyo mtu kama kweli kwanini asitajwe hadharani?
Nakubaliana na wewe kabisa, hiyo ni kutaka kuonyesha kuwa Apple ni wagumu kuliko maelezo, kuwa wako tayari kufungiwa au kuchukuliwa hatua yoyote kuliko kutoa siri za mteja wake

Hapo kulikuwa na mutual agreement ya Apple na hao FBI kuwa Apple watafungua simu lakini promo ya kuwainua Apple iwepo pia
 
iyo ilikua janja tuu ya serikali kufata sheria vijana wa kkoo tu wanafungua icloud ya apple eti wajifanye sijui mu izrael..jozi ndio utashangaa wanavyozichezea izo eti wao wanajifanya ooh sijui nini simu wanayo hawawezi kutoa data au walikua wanamaanisha nini..
 
Back
Top Bottom