Marekani yaifungua iPhone ya Mlipuaji

Marekani yaifungua iPhone ya Mlipuaji

Hakuna mkuu kwa sababu karibu robo ya wafanyakazi wa apple ni waisrael na Wagiriki,likely huyo ni mamluki,apple kafanya hivyo indirectly ili kutunza reputation ya kampuni yao.
Yah inawezekana pia...japo wao Apple wanaamini kutotoa taarifa za mteja wao ndio kutunza reputation yao
 
Pia Taarifa hiyo imetaja Model moja tuu ya iPhone 5c yenye iOS 9 tuu hawajasema kuwa Model zote walizokua nazo FBI Zimekua Unlocked inaaminika kuwa FBI wana rundo la simu za Apple ambazo zipo Locked.
 
Mimi nakuambia hii kitu hata wangempa chizi wa Kariakoo angeweza kuing'oa,apple wameruka kijanja kwa sababu kama wangeendelea kung'ang'ania kuto toa wangepata mashala makubwa kibiashara
 
Nfo maana vibaka hawaziibi hzi simu aisee, mqana haifunguki hata uje na sotfwere gani
 
Nfo maana vibaka hawaziibi hzi simu aisee, mqana haifunguki hata uje na sotfwere gani
Kinachosumbua sio kufungua pale simu ikiibiwa ,shida ni mifumo ya GPS iliyowekwa ndani ya hizo simu ambazo zina uwezo wa kutrack location punde ikiibiwa
 
kwani fundamental systems za computer na smartphone ni nani katengeneza kama sio muisrael?
 
Game ndio kwanza inaanza. Apple lazima watataka kujua hio flaw ipo wapi, ili wafanyie device zao upgrade.
 
mbona ili lilikuwa linawezekana tu...sema wenzetu wanafata sheria ndo maana waliomba Apple ifanye yenyewe...but iwezo wa kuufungua walikuwa nao na walishaifungua kitambo hii gia ya mtu wa karibu wa mwenye Iphone kawasaidia ni koringi tu ili wasiharibu biashara ya Apple!
 
Acha uongo
FBI walihack iCloud password ila sio device yenyewe.
Walikuwa wanaweza kufungua sema kwa risk kubwa na pia swala la muda.
 
Labda iphone wameifungua hiyo simu kisiri ili kumaliza ili zengwe

Au FBI wamewazidi ujanja iphone kitu ambacho iphone hawatakubali kulinda biashara yao
 
Acha uongo
FBI walihack iCloud password ila sio device yenyewe.
Walikuwa wanaweza kufungua sema kwa risk kubwa na pia swala la muda.
ndo maana nimesema FBI sio kwamba wanashindwa kuifungua mkuu...hakuna kitu wanashindwa fanya kw National Security bro..ilikuwa ni bra bra tu za kufata sheria but wanaweza na wamewezaa...how sure kwamba walikuwa hawajafunguaaa coz hiyo habari yenyew ya kufungua wametoa wao...Inasemekana hiyo simu walishafungua na kwa sababu za.kiusalama na kisheria ilibaki siri kwanza...
 
scofied upo sahihi unachosema Fbi wapo juu sana nakubaliana na wewe washindwe kusoma data katika simu? wenzetu wapo mbali sana
 
Hao ni Apple wamewafungulia,sasa naamini huu ni mchezo unaochezwa kati ya FBI na Apple kukuza soko la bidhaa zao.
Huyo mtu kama kweli kwanini asitajwe hadharani?
Nakubaliana na wewe kabisa, hiyo ni kutaka kuonyesha kuwa Apple ni wagumu kuliko maelezo, kuwa wako tayari kufungiwa au kuchukuliwa hatua yoyote kuliko kutoa siri za mteja wake

Hapo kulikuwa na mutual agreement ya Apple na hao FBI kuwa Apple watafungua simu lakini promo ya kuwainua Apple iwepo pia
sio kila kitu lazima kutia ujuaji wa kiswahili
 
Nakubaliana na wewe kabisa, hiyo ni kutaka kuonyesha kuwa Apple ni wagumu kuliko maelezo, kuwa wako tayari kufungiwa au kuchukuliwa hatua yoyote kuliko kutoa siri za mteja wake

Hapo kulikuwa na mutual agreement ya Apple na hao FBI kuwa Apple watafungua simu lakini promo ya kuwainua Apple iwepo pia
mhuuuuu hakuna kitu kama hicho
 
Hao ni Apple wamewafungulia,sasa naamini huu ni mchezo unaochezwa kati ya FBI na Apple kukuza soko la bidhaa zao.
Huyo mtu kama kweli kwanini asitajwe hadharani?
Ha ha ha...sio kila kitu cha ku comment bibie...we endelea kufuatilia habari za mtoto wa diamond na makalio ya wema huko ndo uko vizuri...hivi vitu technical tuachie tulioenda shule na kufaulu
 
Back
Top Bottom