Marekani yaifungua iPhone ya Mlipuaji

Marekani yaifungua iPhone ya Mlipuaji

That's the truth bredren/sistren mimi tangu mwanzo nilikuwa najiuliza unaweza ibishia au igomea serikali hasa katika jambo la usalama Wa taifa?

Naam, kwa Marekani inawezekana kabisa kwa sababu wenzetu wanafuata utawala wa sheria na wanazingatia kabisa kanuni ya mgawanyo wa madaraka na ndo maana kuna watu washawahi kuishitaki serikali ya Marekani kwenye mahakama kuu ya Marekani na kushinda.
 
Back
Top Bottom