How does iPhone data encryption mechanism work to ensure almost perfect data security?
sasa kumbe unajua hawawez kusem hadharan mkuu..nashkuru kwa kujijibu.....
ni muisrael ndo aliowasaidia kufungua lakini kusema kama myahudi au nan inakuwa ngumu..maana kuna waisrael waarabu na warusi wengi tu,webgbe waisrael wamarekani na vitu kama hvyo
Kuhangaika kote huko mwisho wanaaweza hata wasipate data za kuwasaidia sana ndani ya hiyo simu....
Jamani jamani kuna watu wana uwezo sana, Kuna mtu anaitwa chronic devo ni hatari, wapo wengi tu kutoka nchi ya romania ni wabaya sana katika software, kuna mtu alikuwa akiwafanyia mchezo wa kuzifungua wakamshitaki akaacha wakammnunua sasa hivi ni mfanyakazi wao, wapo wengi wataalam lakini FBI haikutangaza tenda ya kuifungua apple.Mkuu wala sio mamluki wao ila ni Waisrael ndio inasemekana wanaouwezo huo na tayari fununu zilishaanza kuenea kwamba Waisrael hao wataibutua simu hiyo kiulaini..na walivyoulizwa hawakubisha..walisema wanaweza
Ndicho kilichokuja mawazoni kwangu. Itakuwa ni apple wenyewe lkn wamefanya kisiri ili kulinda reputation yao. Case na publicity ilikuwa ni kutengeneza mazingira ya kuaminikaHiyo ni janja tu ,huyu mtu atakua mamluki wa apple,wameamua kufanya hivyo ili kuto halibu biashara ya apple
Muyaudikwani fundamental systems za computer na smartphone ni nani katengeneza kama sio muisrael?
Ndicho kilichokuja mawazoni kwangu. Itakuwa ni apple wenyewe lkn wamefanya kisiri ili kulinda reputation yao. Case na publicity ilikuwa ni kutengeneza mazingira ya kuaminika
Umekuja kusaidia..ha ha ha....mwanaume kwa udhaifu bna...so unadhani utatunukiwa au
Unless you know the ultimate and technical truth on this matter, ambayo sidhani kama ndio hii inayoletwa kwenye media, basi ukae kimya.
We unajua? Manake we mwenyewe umeshindwa kukaa kimya...
Au ulimaanisha nini?
Are you serious???Nafikiri wachina na Wagiriki
Ha ha ha...sio kila kitu cha ku comment bibie...we endelea kufuatilia habari za mtoto wa diamond na makalio ya wema huko ndo uko vizuri...hivi vitu technical tuachie tulioenda shule na kufaulu
Kwani unaweza ku-track mawasiliano ya mtu kwenye whatsapp?ni kwa upande wa encryption mkuu,yaan huwez kutrack mawasiliano ya watu..
Telegram unweza tuma file la format yoyote. WhatsApp sasahivi ndio wameboresha unaweza tuna PDF file.Telegram ina nini cha ziada kuishinda WhatsApp?
Vipi ipo playstore?Telegram unweza tuma file la format yoyote. WhatsApp sasahivi ndio wameboresha unaweza tuna PDF file.
Telegram unaweza Tuma hadi file la Gb 1.5