Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

Kwa jinsi Israel alivuochapika hadi akamuomba basha wake USA amuombee amani sidhani kama anaweza kurusha hata jiwe kwa Iran, akijaribu safari hii Israel inageuka majivu
Maneno ya vijuweni. Iran soon itakuwa kama Iraq au Libya.
 
Iran ilipeleka MOTO mpaka muda wakusitisha Vita.

Vitu viko ewani Netanyahu akadai japo Iran imekiuka makubaliano lkn mm nitanyuti kufatana na makubaliano ya kusitisha Vita.

Kiburi kilimwisha Netanyahu.
Safari hii Ayatola hachomoki. Wapishi wanaompikia yasadikika nao ni Mossad.
 
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa
Regime change ilifeli mwanzo,je kufanikiwa safari hii?..
Trump alisifu wingi wa mafuta na madini ya lithium ndani ya iran
China, Korea na Russia wanakosea sana Wafia dini kama Iran wanaodai DINI nyingine ni mavi yakwako ndio DINI na yeyote asiyeifata anastahili kuuliwa hawapaswi kusaidiwa
 
China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Urusi yenyewe ipo hoi bin taabani na vita vya Ukraine, yenyewe haiwezi tu kujisaidia zaidi ya kurusha makombora hovyohovyo, Ukraine ,na kuua raia wasio na hatia!
 
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa
Regime change ilifeli mwanzo,je kufanikiwa safari hii?..
Trump alisifu wingi wa mafuta na madini ya lithium ndani ya iran
Mbona Merikani kwenyewe kuna mafuta na gesi ya kutosha, naona siku hizi Merikani wanakimbilia kirubuni Mataifa yenye madini adimu yanayo tumika kutengeneza vifaa/nyenzo za elektroniki na inapo bidi wako radhi kuhamasisha raia wa-revolt against their Govt the so called colour revolution na ndicho wanacho taka kitokee nchini Iran si kwa sababu us madini bali kuilinda Israel, walitaka vile vile itokee kwa Lukachenko ikashindikana baada ya Urusi kuingilia kati - sasa kama Urusi na Korea Kaskazini wanapeleka zana za vita na washauri wa kijeshi huko Iran, basi Kama Merikani na Israel watajitia kuishambulia Iran kwa mara nyingine tena basically naona mtifuano utakuwa pevu SANA SANA.
 
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa
Regime change ilifeli mwanzo,je kufanikiwa safari hii?..
Trump alisifu wingi wa mafuta na madini ya lithium ndani ya iran
Hizo ni Propaganda Uchwara hakuna ukweli wowote!!!
 
Urusi yenyewe ipo hoi bin taabani na vita vya Ukraine, yenyewe haiwezi tu kujisaidia zaidi ya kurusha makombora hovyohovyo, Ukraine ,na kuua raia wasio na hatia!
Eti "kurusha makombora hovyo hovyo" yaani unajitia hujui jeshi la Zelensky linafanya nini kusini mwa Ukraine ambako asili mia ya wakazi wake
wenye asili ya Urusi kwenyewe je,unajua drones ngapi zinarushwa na jeshi la Ukraine/Zelensky kwenda kuwashambulia raia na sio wanajeshi, Zelensky anavurumisha mpaka mizinga ya 155mm kubomoa nyumba za wakazi, Hospitoli kumbuka hayo yote ni makazi ya Raia sio wanajeshi wala kambi na vifaa vya kijeshi na Urusi ilisha sema siku nyingi kwamba jeshi lake halilengi makazi ya RAIA, unlike Zelensky's crooks and their western handlers.
 
Eti "kurusha makombora hovyo hovyo" yaani unajitia hujui jeshi la Zelensky linafanya nini kusini mwa Ukraine ambako asili mia ya wakazi wake
wenye asili ya Urusi kwenyewe je,unajua drones ngapi zinarushwa na jeshi la Ukraine/Zelensky kwenda kuwashambulia raia na sio wanajeshi, Zelensky anavurumisha mpaka mizinga ya 155mm kubomoa nyumba za wakazi, Hospitoli kumbuka hayo yote ni makazi ya Raia sio wanajeshi wala kambi ah vifaa vya kijeshi na Urusi ilisha sema siku nyingi kwamba jeshi lake halilengi makazi ya RAIA.
Hebu tuonyeshe hapa wapi Ukraine iliyopita maeneo ya kiraia!!!!!
 
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa
Regime change ilifeli mwanzo,je kufanikiwa safari hii?..
Trump alisifu wingi wa mafuta na madini ya lithium ndani ya iran
Hao jamaa ni sikio la kufa
 
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa
Regime change ilifeli mwanzo,je kufanikiwa safari hii?..
Trump alisifu wingi wa mafuta na madini ya lithium ndani ya iran
Hao jamaa ni sikio la kufa
 
Urusi yenyewe ipo hoi bin taabani na vita vya Ukraine, yenyewe haiwezi tu kujisaidia zaidi ya kurusha makombora hovyohovyo, Ukraine ,na kuua raia wasio na hatia!
Punguzeni kuongea kwa mihemko badala ya facts.
Urusi anazidi kukata maeneo huko Ukraine wewe unasema hawezi hata kujisaidia?
Hivi unajua ugumu wa kulinda maeneo uliyoteka huku ukizidi kusonga mbele na kuteka maeneo mapya?
Punguzeni kuropoka aisee mnaboa wakati mwingine.
 
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa
Regime change ilifeli mwanzo,je kufanikiwa safari hii?..
Trump alisifu wingi wa mafuta na madini ya lithium ndani ya iran
Huyo muajemi sio mwepesi aisee.
Kama kikinuka tena basi USA na Israel wategemee hasara kubwa sana kama ya 1980-1988.
Iran na yeye hajakaa kisenge, labda kama watashambulia tena kigaidi kama walivyoshambulia 12 days war.
Ila kama vita itazuka tena basi Israel naiona ikiteketea.
Maana Khoramshar-5 ndio kwanzaa zimetoka jikoni hazijatumika bado.
 
Mchina itakuwa anampa Iran silaha na msaada wa kijeshi. Kila siku tanker za mafuta za China zinazidi kuingia Iran kupakia mafuta, pia meli za general cargo za kichina zinaingia kushusha mizigo Iran
China wanadai 'usa hegemony is over'..tuna multipolar world hivi sasa,so ni lazima kuhakikisha USA anafeli mbanga zake
 
Urusi yenyewe ipo hoi bin taabani na vita vya Ukraine, yenyewe haiwezi tu kujisaidia zaidi ya kurusha makombora hovyohovyo, Ukraine ,na kuua raia wasio na hatia!
Israel ikiua raia wasio na hatia tena mostly wanawake na watoto ni sawa. Ila mwingine akijitetea akawaua wasio na hatia wa west anakuwa mbaya
 
Back
Top Bottom