Marafiki Wa JF & Regia Kukutana Ijumaa Hii 27-01-2012

Wana JF;

Waliothibitisha kushiriki kwa nja ya Skype Video/Voice Conference ni:

1. Nyani Ngabu - skype
2. AfroDenzi - Skype
3. Mrembo by Nature - Skype
4. Pretty - Skype
5. Lizzy - Skype
6. Duduwasha - Skype
7. StraaKasyembe - Skype
8. Mbimbinho - Skype
9. Clemy - Skype
10. Ritz - Skype
11. Barubaru - Skype
12. Mkatofa - Skype
13. Smilling Saint - Skype
14. Tiba - Sype
15. Zion Daughter - Skype
16. Gango2 - Skype
17. Yo Yo - Skype
18. Mbimbinho - Skype
19. Mwanakijiji - Skype
20. Peter Rabachi - Skype
21. Filipo na JF Arusha - Skype
22. Otis
23. Pretty
24. Michelle

Maoni ya kuboresha yanakaribishwa. Pia wanaopenda kuthibitisha kushiriki kwa kufika British Council au katika Skype wanakaribishwa kufanya hivyo katika thread hii.

ID ya Skype kama utapenda kui-add ni: jamiiforums

25. Balantanda

Sanctus:......Umenisahau kwa bahati mbaya ama makusudi?...........Lol!

Bala.
 
Mimi na wazo kwenye hii gharama....wakuu kuna ulazima wa kutumia gharama kubwa kiasi hicho kwa ukumbi tu? formal meeting nyingine tunafanyia kwenye bar/uwanja nzuri tu na hakuna gharama yoyote zaidi ya wahudhuriaji kununua vinywaji.....laki 6 NI nyingi ukizingatiwa ni gharama ambazo zinaweza kuepukika.....

Ninasema hivi maana najua kuchanhishana usawa huu itakuwa tunashikana ugomvi na hata mtu akitoa ni kwa manung'uniko.....unaweza kuona huo mchango ni mdogo kwako lakini ni fedha nyingi tu wakuu....

Mkuu Yoyo asante sana kwa wazo zuri lenye changamoto.

Vigezo vilivyotumika kupata ukumbi ni hivi:
  1. Iwe sehemu ambayo wana JF wengi wanaweza kufika kirahisi
  2. Mahali penye usalama wa magari
  3. Mahali ambapo ni central na kuna uwezekano wa wengi kutokea hapo
  4. mahali ambapo ukumbi una hadhi ya kati ambapo hata watu muhimu wakiamua kufika wanaweza
  5. Mahali ambapo pana facilities kama Projectors nk
  6. Mahali ambapo watu wanaweza kununua vinywaji au chakula kwa haraka
  7. Mahali ambapo bei yake ni nafuu ukilinganisha na ubora wa ukumbi
  8. nk
Kuhusu kuchanga, kutoa ni moyo Mkuu na hakuna mtu atakushika shati. JF siku zote inaendeshwa kwa michango ya hiari na hakuna mtu amewahi kufungiwa kwa kukosa kutoa mchango, same kwenye hili.

Tukumbuke kuwa hili ni suala na marafiki na kila mtu hana budi kujipima na kufanya anachoweza bila kutegemea chochote.

Hata hivyo kama una venue mbadala ambayo ina meet vigezo hivyo tutashukuru tukishauriana kwa siku zijazo. Ila thread hii haijawekwa leo hapa. na pia mpaka hapa tulipofikia at the background watu wamefanya kazi kubwa sana ya kutafiti na kufikia maauzi.

Tusaidie ili kusiwe na ugomvi wala manung'uniko wala hatutarajii yawepo.

Respect sana Mkuu Yo Yo
 
kweeeri kabsaa lakini ni bora nisionane nae ili kufanikisha shughuli ya kumuenzi dada yetu Regia....

sema ningeuliza kwa waleeee wa viti virefu....itakuwa ijumaa..right? sasa mnaonaje mkitoka pale tutafute pahala tupige kijani
Acknowledge receipt of conformation, i will be with u. kwa sababu pale British council ni karibu na Billicanas, basi mimi natoa offer kwa ajili ya wadada watano ambao watakuwa interested kuondoa stress baada ya hicho kikao.
 
I wish you all the best marafiki...

Just dont forget familia ya Regia hasa Pacha wake

Mkuu kwa taarifa tu Pacha wake atahudhuria na alikuwa anafanya mawasiliano na wazazi ili nao waje.

Pia baadhi ya marafiki zake katika Chama ambao watapata nafasi watafika (Baadhi wako katika Kampeni)
 
kweeeri kabsaa lakini ni bora nisionane nae ili kufanikisha shughuli ya kumuenzi dada yetu Regia....

sema ningeuliza kwa waleeee wa viti virefu....itakuwa ijumaa..right? sasa mnaonaje mkitoka pale tutafute pahala tupige kijani

YoYo huishi vituko!! I like the way you express your mind, uko so direct! no meanders.... as in most of us.... Nategemea tutapata updates mkiwa huko.
 
Mkuu Yoyo asante sana kwa wazo zuri lenye changamoto.

Vigezo vilivyotumika kupata ukumbi ni hivi:
  1. Iwe sehemu ambayo wana JF wengi wanaweza kufika kirahisi
  2. Mahali penye usalama wa magari
  3. Mahali ambapo ni central na kuna uwezekano wa wengi kutokea hapo
  4. mahali ambapo ukumbi una hadhi ya kati ambapo hata watu muhimu wakiamua kufika wanaweza
  5. Mahali ambapo pana facilities kama Projectors nk
  6. Mahali ambapo watu wanaweza kununua vinywaji au chakula kwa haraka
  7. Mahali ambapo bei yake ni nafuu ukilinganisha na ubora wa ukumbi
  8. nk
Kuhusu kuchanga, kutoa ni moyo Mkuu na hakuna mtu atakushika shati. JF siku zote inaendeshwa kwa michango ya hiari na hakuna mtu amewahi kufungiwa kwa kukosa kutoa mchango, same kwenye hili.

Tukumbuke kuwa hili ni suala na marafiki na kila mtu hana budi kujipima na kufanya anachoweza bila kutegemea chochote.

Hata hivyo kama una venue mbadala ambayo ina meet vigezo hivyo tutashukuru tukishauriana kwa siku zijazo. Ila thread hii haijawekwa leo hapa. na pia mpaka hapa tulipofikia at the background watu wamefanya kazi kubwa sana ya kutafiti na kufikia maauzi.

Tusaidie ili kusiwe na ugomvi wala manung'uniko wala hatutarajii yawepo.

Respect sana Mkuu Yo Yo

Mkuu kama utakuwa umemuelewa vizuri Yo Yo ni kuwa wajasiriamali wamekuwa wengi sasa hivi, watu wanatafuna mpaka michango ya rambirambi.
Rejea na thread ya The Boss huu mwezi wa Janualy ni mgumu sana jamani chonde chonde!!
 
ahahaaa kumbe huwa unapiga chabo kule mmu mkuu? au nizae na wewe? tutaongea kesho basi weka na ilo kwenye agenda

Mama yangu weeee, wewe mwana weee, kidogo ni-faint . . .

Kwanza huwa sipigi chabo, si title ya thread inajiuza . . au siyo, so nilisoma title.

Pili mimi ni kibabu haswa, na nadhani ni kama baba yako . . .

Tatu: Niko na mamaaa hapa, kisha kusoma na kesho atkuwepo kama FBI

Halafu: Wadau wa MMU acheni fujo bana. lol
 
1. Ukumbi tayari tumeishaulipia ila Sanctus dah jamaa wameniweka kweli as if labda tulikuwa tunafanya transfer ya hela kwenda Uingereza....:lol:....

2. Nimeongea pia na pacha wa Regia.....(Remija)...initially tulikuwa tumemuomba aje either na baba au mama lakini bahati nzuri ame-confirm kuwa atakuja na wazazi wote wawili kwahiyo itakuwa ni muda muafaka na mzuri wa kuweza kubadilishana nao mawazo..

Kama kutakuwa na jambo lolote lile nitaendelea kuwafahamisha otherwise everything is going on as planned...
 
The Finest poleni na shughuli yoote toka ilianza.... I believe you are well and good. Me proud of you guys....
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom