Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Kiongozi.
Utahudhuria kwa Skype au utafika BC?
dah! basi mkuu mie nilikuwa nafikiria kutoa kamchango kidogo nkahisi ntaaibika nisije kabisa kumbe kamchango kangu kanatosha? ntakuja mkuu, nilijuwa watu wanaanza kuchangia kuanzia kilo 1 aisee.
I will be on the road unfortunately; ningeshiriki via skype
...nitashiriki physically all the way from nkasi...napanda basi kesho.
hongera sana superman kwa wazo zuri kabisa...!
Nitafika British Council kama ilivyoainishwa hapo juu. Skype bado sijaweza kufungua mkuu; hili teke linalotujia kidogo ni tabu katika eneo hilo.
Naomba kushiriki kwa njia ya Skype.
Nipe utaratibu.
OTIS The Illuminati.
mkuu unajibu kaa jesus? poa, ntakuwepo inshalah.Mkuu wangu, mtaji mkubwa wa JF si pesa, ni mawazo yaliyokwenda shule, ndo maana mimi na wewe na yule tunapata faraja kuongelea mambo mbalimbali.
Tutafarijika sana kusikia mawazo yako ya kujenda, so karibu sana Mkuu.
mkuu unajibu kaa jesus? poa, ntakuwepo inshalah.
Ngoja niangalie muda wangu kama utaniruhusu takuja ikishindikana takuwepo kwa njia ya Skype.
..........nitakuwepo kwa skype IM, tuombeane uzima.
Mkuu, iko hivi:
Download free software kutoka Free Skype internet calls and cheap calls to phones online - Skype kisha jisajili. It is free.
Then add ID ifuatayo katika contacts zako: jamiiforums
Ukifanikiwa tayari utakuwa uko connected.
Tayari sasa hivi kuna wadau zaidi ya 40 wakiwa katika skype live chat: 24X7
TuwaalLike vinega waje watuburudishe
I already have skype ID.
let me add it
thanx
OTIS The Illuminati.