Marafiki Wa JF & Regia Kukutana Ijumaa Hii 27-01-2012

Mie nitashiriki hapahapa JF ila ningependa kuchangia ukumbi vilevile japokuwa sipo. Maana chochote kitakachoongelewa hapo mie najua kitajenga. Swali kwa Maxence Melo na wadau wengine.....Hivi wana JF walioko Kagera tunakutana lini? AU wale wa kanda ya ziwa tufanye mpango wa walau kukutana Mwanza. Niliuliza hii kitu lakini ikakosa intiatives
 
Hivi haya unayoyasema ni kweli!!?? unawezaje kuwa online na laptop na usiwe na access na skype? halafu unaposema uko mbali, mbali ni wapi?



Umenifanya mpaka nikaona aibu matola.... Dah! ngoja niulize taratibu za kujiunga na mimi nishiriki. Nilikua nina maana nipo mbali na Dar.

@ Mtsimbe.... Mkuu Mtsimbe please count me in.... Via skype of coz.
 
sorry,nmejitahd ili kesho niwe dar nimeshindwa kutokana na majukumu,niko trip moro kikazi but nmeondoka bila PC,navyoona kurudi dar mpaka j2 naamini kutakua na muendelezo kwani kuna mengi ya kuzungumza ktk kumuenzi mh. Regia na kuendeleza mazuri aliyokua anayapigania

Mkuu pamoja sana.

Kila la heri na safari njema.
 
Asante PA pamoja na kuwa uko mbali hebu jaribu kutumia ule usafiri wa ungo uone kama teknolojia hiyo inafanya kazi vizuri inaweza kusaidia kupunguza gharama za kupanda ndege...:eyebrows:



Nitakuepo via Skype PA, Kama kakako anaweza tuma helicopter... I won't mind....lol:biggrin:
 
MS na RZ1 natamani mngekuwapo,kwani nikiona sura zenu tu nitawatambua.

Mkuu Josephine, tumekusoma Mkuu, tumekusikia Firstlady wa Ukweli . . .

Bila ya shaka vijana wamekusikia.

Yule kijana wetu sijampata, simu inaita tu kwa hiyo nilimtumia SMS.

Usisahau kuja na wadau wa kutosha.

Respect sana Mkuu.
 
Kuna mtu kwenye list atakuwepo na sitaki kukutana nae ana kwa ana....lazima nimuanzishie vagi...nitajoin kwa skype tu

Yo Yo Mkuu,

Amani itawale Kamanda. Kwa nini msishindane kwa hoja tu?

Any way njoo tu, kutakuwa na ulinzi wa kutosha, tena madhubuti.

Si unajua inabidi kujihami pia?
 
Umenifanya mpaka nikaona aibu matola.... Dah! ngoja niulize taratibu za kujiunga na mimi nishiriki. Nilikua nina maana nipo mbali na Dar.

@ Mtsimbe.... Mkuu Mtsimbe please count me in.... Via skype of coz.
Na unipm skype username yako nikuadd kabisaaaaa. via video phone!! teh teh teh teh!! au utasema laptop yako haina web cam?
 
Back
Top Bottom