Marafiki Wa JF & Regia Kukutana Ijumaa Hii 27-01-2012

Mtsimbe/Max
Natoa wito ikiwezekana hii Auditorium Fees ya TZS 630,000 iwe outsourced kwa members watakaokuwa tayari kuchangia, ili members wengine waje bure. Natoa angalizo tuu kuwaambia members wakifika 100 ndio mchango utakuwa TZS 6,300, mpaka sasa walioconfirm hawafiki 30!, lets asume leo wataconfirm wengine 20!, hivyo watafika 50, kwahiyo contribution itakuwa TZS 12,600 and above!. Nasisitiza suala la mchango hata wa lets say 10,000 zitumwe kwako/max kwa M-PESA/Z-PESA/TIGO-PESA au AIRTEL PESA ili kiwe ndio kipimo cha commitment ya kuhudhuria, inawezekana wengi walisema wangehudhuria kutokana na machungu tuu ya kuondokewa as days go by machungu yanapungua!.
 
Asante sana Mkuu kwa angalizo hilo muhimu. Ni la kuzingatiwa sana.

Wakuu naomba sana tulifanyie kazi na michango yote kwa njia yoyote iwe directed kwa Maxence.

Nadhani waliopo nje ya nch wanaweza kutumia hata Western Union au Pay Pal nk
 
Sanctus,

Ahsante kwa kuendelea kuisimamia hii thread. Jina la WoS sijaliona na wala la Mwita Maranya au Fidel80

Pasco,

Ushauri mzuri.

Kamanda Mkuu Maxence;

Hata mimi sijapata confirmation zao pia.

Au wameshathibitisha kwako?

Kama wamethibitisha niambie niwaaorodheshe.

Hayo ni majina makubwa sana hapa JF.
 
Mkuu, mimi sina makubwa Veggie Pizza inanitosha. Coke: Medium size.

Tafadhali usinisahau.

Wadau wako wa MMU wako wapi? Hebu watafute uje nao Mkuu.
nitakuja nao usjali. ni mida gani kwanza maana kesho siku ya kazi mkuu
 
Wana JF;

Gharama za Ukumbi:
Auditorium Fees ni TZS 630,000. Vinywaji na Bites kwa watakaohitaji vitanunuliwa siku hiyo hiyo kutokana na utakachopenda kuagiza kutoka Steers. Mchango kwa sasa hatujui ni kiasi gani, ila ni vema mchango wako usaidie kurudisha gharama za ukumbi. Mfano kama wakija watu 100, then kila mtu atatoa mchango wa 630,000/100 au TZS 6300. kama idadi itaongezeka amount itapungua na kama idadi itakuwa ndogo amaount itaongezeka.

Mimi na wazo kwenye hii gharama....wakuu kuna ulazima wa kutumia gharama kubwa kiasi hicho kwa ukumbi tu? formal meeting nyingine tunafanyia kwenye bar/uwanja nzuri tu na hakuna gharama yoyote zaidi ya wahudhuriaji kununua vinywaji.....laki 6 NI nyingi ukizingatiwa ni gharama ambazo zinaweza kuepukika.....

Ninasema hivi maana najua kuchanhishana usawa huu itakuwa tunashikana ugomvi na hata mtu akitoa ni kwa manung'uniko.....unaweza kuona huo mchango ni mdogo kwako lakini ni fedha nyingi tu wakuu....
 
Ninasema hivi maana najua kuchanhishana usawa huu itakuwa tunashikana ugomvi na hata mtu akitoa ni kwa manung'uniko.....unaweza kuona huo mchango ni mdogo kwako lakini ni fedha nyingi tu wakuu....
Usijali mkuu wangu, wewe njoo tu. Mwanzo mgumu lakini tukishakaa kwa mara ya kwanza mikutano mingine kwa wale wa Dar itafanyika kwa mtindo utakaopendekezwa hiyo kesho.

Nikupitie wakati wa kwenda?
 
nitakuja nao usjali. ni mida gani kwanza maana kesho siku ya kazi mkuu

Muda kama ulivyoelezwa katika post kuu.

Saa 11 jioni hadi saa 1 usiku: Regia Friends
Saa 1 Usiku hadi saa 3 usiku: JF Friends

Mkuu Maxence kishawaulizia baadhi ya Mcelebrity ambao hawjaconfirm kama WoS, Mwita, Fidel80.

Wako wapi Wakuuu hawa?

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom