Marafiki Wa JF & Regia Kukutana Ijumaa Hii 27-01-2012

Wana JF;
Ukumbi:
Tayari tumeshafanya Confirmation ya Ukumbi British Council kuanzia saa 11 Jioni hadi Saa 3 Usiku.

Muda:
Saa 11.00 - 1.00 Jioni - "Marafiki Wa Regia" Meeting.

Agenda: "Regia alisimamia nini na Nini Kifanyike Baada ya Regia Kututoka"

Saa 1.00 - Saa 3 Usiku - "Marafiki wa JF Meeting". NB: Hii haihusishi JF kama uongozi bali ni wale watakaopenda kukutana na kuongelea mambo mbalimbali mfano: JE SACCOSS, anything about JF Forum as members na mawazo yoyote ambayo kama kuna umuhimu yanaweza kufikishwa kwa uongozi wa JF..

ID ya Skype kama utapenda kui-add ni: jamiiforums
Mkuu Sanctus, tafadhali sana pata muda, kusanya yale ambayo wengi wamechangia kwenye ule mkutani, tuwekee hapa, maana ile streaming kidogo naona wengi walikuwa wanalalamika kuwa network haikuwa nzuri, na skype pia ilikuwa si nzuri, maana hata nilipokuwa naongea ulisema kuwa net inakata kata, sasa ili kuweka vitu vieleweke ni bora tukawekewa hapa.
 
Jamani mwenye up-dtes zozote kuhusu maazimio ya kundi lililokutana British Council jijini Dar es Salaam na jinsi gani mpango mzim ulivyo katika 'KUMUENZI KIPENZI CHETU MHE REGIA; YALE ALIOKUA AKIYAAMINI NA KUSIMAMIA KATIKA JAMII YETU HII YA TANZANIA' atujuze kidogo hapa ubaoni.

Je mkakati mzima umekaaeje katika hili?

Mkuu Sanctus, tafadhali sana pata muda, kusanya yale ambayo wengi wamechangia kwenye ule mkutani, tuwekee hapa, maana ile streaming kidogo naona wengi walikuwa wanalalamika kuwa network haikuwa nzuri, na skype pia ilikuwa si nzuri, maana hata nilipokuwa naongea ulisema kuwa net inakata kata, sasa ili kuweka vitu vieleweke ni bora tukawekewa hapa.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom