Marafiki Wa JF & Regia Kukutana Ijumaa Hii 27-01-2012

Mkuu, mimi sina makubwa Veggie Pizza inanitosha. Coke: Medium size.

Tafadhali usinisahau.

Wadau wako wa MMU wako wapi? Hebu watafute uje nao Mkuu.
watanifata tu usjali. si unamuona rejao hapo anaomba kuwa observer eti? kijana huyu ?
 
Joka kuu,Mchambuzi,Jasusi,Kiranga,The Romantic,Asprin,Invisible,Mr NSSF mbona kimya? Ina maana hamchungulii hii thread? Nyie ni moja wa Icons wa JF Semeni neno bana!
 
naamini hili bandiko halijawafikia watu wengi ambao wangeweza shiriki kwa namna yoyote ile ....... lihamishiwe MMU na jukwaa la SIASA

Feisi Buku, nakupa Ruksa kuiamisha MMU kama unaona inafaa, i Mead copy and paste lakini iite labda "MMU tukutane Friday BC" then ilink na hii kama nilivyofanya hapa juu.

Ila naamini so wote wenye interest ya kuonana.
 
Mimi nitachangia kupitia akaunti ya Max pale NBC kadri ya uwezo utakavyoniruhusu. Njooni na maazimio mazuri kutoka kikao hiki. Maazimio yawe ya kudumu na endelevu pia. Jadilini na kupitia nyanja zote muhimu kwa maendeleo ya watu wetu na nchi yetu. Msisahau pia kwamba wako watu waliokuwa wakisaidiwa na Regia kila mwezi. Tuanze nao hao mwezi huu.
 
AshaDii akiconfirm kuna wengi wataconfirm pia! Hasa Muuza Sura! Nimeona wale wa Lizzy wanavyomiminika kila siku kama angekuwepo physically pale BC JF yote ingetia timu!
 
watanifata tu usjali. si unamuona rejao hapo anaomba kuwa observer eti? kijana huyu ?

Nimekusoma Mkuu na kukuorodhesha.

Umemsoma Smile?

Ila itabidi philosophy yako ya: If you can't convince them, confuse them Uachane nayo kwa muda ukija Mkuu.
Kwa hilo usihofu mkuu.. ndio maana nimeomba kuwa observer.
Alipo Smile na mimi siwezi kukosekana... Count on me mkuu!
 
Mimi nitachangia kupitia akaunti ya Max pale NBC kadri ya uwezo utakavyoniruhusu. Njooni na maazimio mazuri kutoka kikao hiki. Maazimio yawe ya kudumu na endelevu pia. Jadilini na kupitia nyanja zote muhimu kwa maendeleo ya watu wetu na nchi yetu. Msisahau pia kwamba wako watu waliokuwa wakisaidiwa na Regia kila mwezi. Tuanze nao hao mwezi huu.

Mkuu WildCard umesomeka vema sana na tunashukuru sana.

Wale wadau wanaoendelea na mjadala kule Skype kuna mambo Mengzi sana ya kimsingi wameongea kuhusu Regia. Bila Shaka yatawakilishwa. Mojarwapo ni Hillo ambalo umelisema.

Bila shaka wengi watajitokeza. Utapenda kushiriki namna gani Mkuu?
 
Mkuu, iko hivi:

Download free software kutoka Free Skype internet calls and cheap calls to phones online - Skype kisha jisajili. It is free.

Then add ID ifuatayo katika contacts zako: jamiiforums

Ukifanikiwa tayari utakuwa uko connected.

Tayari sasa hivi kuna wadau zaidi ya 40 wakiwa katika skype live chat: 24X7

Mkuu Sanctus,

Asante kwa maelezo hayo hapo juu. Nitajumuika nanyi kwa njia ya skype hiyo kesho.

Ubarikiwe sana katika kuendeleza njia ya kumuenzi Dada Regia.
 
sorry,nmejitahd ili kesho niwe dar nimeshindwa kutokana na majukumu,niko trip moro kikazi but nmeondoka bila PC,navyoona kurudi dar mpaka j2 naamini kutakua na muendelezo kwani kuna mengi ya kuzungumza ktk kumuenzi mh. Regia na kuendeleza mazuri aliyokua anayapigania
 
Bora hata haupo Dar maana ungekutana nae usingefanya lililokupeleka ila ungeishia na yako! Hukawii kubadili mada/agenda na kutuchanganyia habari.



.

Dah! Mkuu mbona kama kimekuuma? au mtarajiwa mwenyewe ndiye FF?
Soma vizuri, hii thread haina mada zaidi ya kuwakutanisha marafiki wa Regia Jf. Personally Regia was my friend nje ya jf.
 
Back
Top Bottom