Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ni hatari kilo kumi, saivi hata nikimkuta kwenye thread akichangia...na mimi nikitia neno kidogo tu kwenye hiyo hiyo thread anakula kubwa simuoni tena hehehe ee
 
Umenichekesha sana ndugu, na umenikumbusha mbali sana
 
Umenichekesha sana ndugu, na umenikumbusha mbali sana
Yaani niliyokutana nayo hum jf sitasahau, kuna mabinti wanajua kutega humu we acha tu. Siunajua tena marijali tulivyo, kuna koment zngine ukisoma lazima kitu kiende Angola. Sasa ukifukuzia utakayokutanayo inabaki kuwa siri yako hehehe eee
 
Ni hatari kilo kumi, saivi hata nikimkuta kwenye thread akichangia...na mimi nikitia neno kidogo tu kwenye hiyo hiyo thread anakula kubwa simuoni tena hehehe ee
Hahahhh
 
Yaani niliyokutana nayo hum jf sitasahau, kuna mabinti wanajua kutega humu we acha tu. Siunajua tena marijali tulivyo, kuna koment zngine ukisoma lazima kitu kiende Angola. Sasa ukifukuzia utakayokutanayo inabaki kuwa siri yako hehehe eee
Mmezid uhuniiii acha yawakute
 
Nyie hamna maana tujuane kwa avatar tu kisa cha kuja kuanikwa uku sina chura [emoji28][emoji28]
Itabaki siri yetu... ila ukiona mawasiliano yamepungua baada ya kuonana jua hii series hazija bamba[emoji1]
 
Mmezid uhuniiii acha yawakute
Sio uhuni, unakuta binti analalamika kwenye koment anahamu ya paipu au ana shida na mtoto tu. Hapo unadhani marijali watafanya nn? Mfate pm sasa, ndo utaona varangati lake hehehe eee
 
Kumbe mimi ni mtu mwenye bahati sana...........!
 
Mimi nimeona picha zako si haba upo njema. Ila nyama kidoogo punguza
Mh nyama Na bia siachiii mpaka naingia kaburini by the way sitak hata kupendwa[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…