Mara yako ya kwanza ilikuwaje?

Mara yako ya kwanza ilikuwaje?

hizo sio nzuri kama bareback au zile erotica.....au unasemea zile zenye vipelepele......?

Kwani shem we wapenda zipi ?
Za plain au za upeleupele ?
Kama utaona noma kuniwekea hapa , zunguka nyuma kwa
"Prime Minister"
 
Nipo mummy, nimejaa tele dia! Afya ina mgogoro kidogo, nahisi mvua iliyonyesha jana imenletea upepo wenye magonjwa!



Nilikuwa sijui mke mwenza marejesho, itabidi muandae na Filipo topic inayojitegemea ili nijifunze vizuri lol.

Hofu ondoa mke mwenza!! Kwanza pole kwa kuugua!!!
Hakikisha umekunywa maji ya kutosha,ule vizuri na upate masaa yanayostahili kupumzika!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani shem we wapenda zipi ?
Za plain au za upeleupele ?
Kama utaona noma kuniwekea hapa , zunguka nyuma kwa
"Prime Minister"

wala usikonde shem.....mi plain ndo mzuka....halafu iwe na menthol.....if u knw wara am seing.....
 
Last edited by a moderator:
usijali sis... mie tena... haya mwambie mummy ntamtumia ticket ya fastjet ampelekee Mustafa Hassanalli amshonee nataka mwaka huu awafunike wamama wooote wa Uru Kishumundu!!!!!

kilililililili....aiaiaiaiaiaiai.... vigelegele vya kiuru! wanangu mabinti zangu charminglady, sweetlady na WiseLady naona mwataka nitokelezeee... na kaka yenu Davie S.M atampendezesha baba yenu watu8. Kweli mungu ni mwema!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom