Mara yako ya kwanza ilikuwaje?

Kuna moja zilikua zinaitwa 'cosmos',zilikua zinawekwa kwenye ma'bar na social clubs enzi zile!!!!ila hizi zenye vidutu hizi......hamna rangi ataacha ona chalii angu!!lol
 
Back to topic oh!!
Preta kuna zinazoitwa Durex (slim fit), hizo ni poa sana!
Madame B ukijaribu hizi hutatumia zingine!!
 
Last edited by a moderator:
charminglady imagine umeenda pharmacy ukakutana na mama mtu mzima na heshima yake na una shida ya hayo makitu utathubutu kweli utaishia kuzuga eti unatafuta asprin

unajua nilikuwa nazugaje... naangalia kwanza kitu ambacho nahisi hakipo ndo naulizia au naulizia dawa kisha bei afu nasema ntarudi kuchukua lol!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Unajua swala la uvaaji co.d.o.m wadada wengi uwaachia wanaume waahamue! Sasa unavyo sema lady pepeta sito shangaa hata wengine hawajawai kuziona alaf hizi ni tofauti kabisa na za kiume na zina masharti kidogo katika uvaaji wake na ni C.o.d.om ambazo kama wadada wangekuwa wanazitumia zinge wasaidia sana, sema wengi wana ziogopa na hawapendi kuzitumia!

Na wanawake walio wengi wana tembea na c.o.d.om za kiume!
Watu wote humu ni wahuni sana...................
Inakuwaje wanadada wanawajibia kakaz??
Mleta mada ungewaambia dadaz nao watwambie
Ukweli kuhusu yale makitu yaitwayo
L a d y P e p e t a,
walete hapa watujuze...
N i m e m a l i z a.
 
My boss ulikuwa unakwenda kununua ya kike au ya kiume?

unajua nilikuwa nazugaje... naangalia kwanza kitu ambacho nahisi hakipo ndo naulizia au naulizia dawa kisha bei afu nasema ntarudi kuchukua lol!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom