My boss ulikuwa unakwenda kununua ya kike au ya kiume?
orenji skwashi je....utajing'ata.....
rought rider ni nzuri kwa upande flani, lakini ni ngumu... Kama kula pipi na maganda hvrough rider ni nzuri sana, wala haziwashi, zinaongeza hamu kwa upande wa mwanamke. Try it, but dont try at home.
Hahahahaha! Wazinzi wakubwa nyie!
Aisee,nakumbuka nilikuwa kidato cha kwanza miaka ile.Sikununua kwasababu kwani walikuja peer educators shuleni,walikuwa wanagawa then mimi nikadaka mbili.Duuuuu! Yesu na Maria...simsahau yule binti kwa kweli.She was very coward but as you know, a man is genious to achieve sexual need.Aliponizoea hakukuwa na shida...mpaka sasa nikienda kwa pharmacy sina aibu ila nafurahia kuziagiza nikikuta mdada ndo anaziuza.
Wapi sasa Guest au uchochoroni?
shosti mbavu zangu jamani.....hadi nimecheka kwa sauti, huko uchochoroni mara anatokezea snake!! lol...
Afu anakung'ata takkoni,sijui utafunga kamba wapi shosti.
Hahahahahahahahahaha
hapo lazima ufunge kwenye naniliuuuuuuu ili sumu isiende!
Afu anakung'ata takkoni,sijui utafunga kamba wapi shosti.
hapo balaa kabisa ukute na shemeji yako watu8 ndo kapigiwa simu aje kukupeleka hospitali hakuna pa kufunga kamba, ile dawa wanazuuza kwenye mabasi wale wa promotion ndo umekaacha home hujakabeba kwenye pochi...lol.