Mara yako ya kwanza ilikuwaje?

Mara yako ya kwanza ilikuwaje?

hapo balaa kabisa ukute na shemeji yako watu8 ndo kapigiwa simu aje kukupeleka hospitali hakuna pa kufunga kamba, ile dawa wanazuuza kwenye mabasi wale wa promotion ndo umekaacha home hujakabeba kwenye pochi...lol.

itabidi aninyonye hyo sumu. Sasa sijui itakuwaje?
Hizi ajali nyingine hz,balaa tu shost.
 
Last edited by a moderator:
hahaha sasa nimewaelewa...hapo inabidi tu kutumia jiwe la nyoka huwa lanyonya sumu yote, ila duh hayo maeneo hatari shem Madame B
 
Jiwe la nini wakati mwaenda kupeana utamu?
Shem watu8 sasa jiwe la nini porini.
 
shosti Madame B huyu mme wangu daddy dearest watu8 yeye hapo haelewi kabisa yaani tumemuacha mbaaali watu mwaenda kupeana raha jiwe wapi na wapi, hata hutalikumbuka
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini si za kike? Unajua unacho jaribu kuonesha? Wakati tena za kike unaweza ukavaa masaa mawili kabla ya tendo na ni nzuri kwenu!

my lawyer sijawahi kutumia wala kufikiria kuzitumia... may be kwa kuwa sijawahi kufatilia zilivyo zaid ya kuziona kwenye pakit zake!!!!
 
shosti Madame B huyu mme wangu daddy dearest watu8 yeye hapo haelewi kabisa yaani tumemuacha mbaaali watu mwaenda kupeana raha jiwe wapi na wapi, hata hutalikumbuka

shikamoo mummy.... nimekumiss kweli mamaangu, enhe waja lini kututembelea ama wasunsibiri kijacho aje???
 
Last edited by a moderator:
shikamoo mummy.... nimekumiss kweli mamaangu, enhe waja lini kututembelea ama wasunsibiri kijacho aje???

mwanangu i miss you more!! huwezi amini hapa muda si mrefu babako watu8 alikuwa anauliza naja lini huko nikamwambia nasubiri ujifungue ili nije na kulea mjukuu kidogo na kukupikia uzazi..wajua tena mtoto anatakiwa maziwa ya mama tu kwa miezi sita inasaidia hasa ukuaji wa mtoto na ubongo pia ndo najipanga nitakuja ukiwa karibu na tarehe zenyewe mwanangu charminglady. Ndugu zako sweetlady na Davie S.M hawajambo walikuja kututembelea juzi.
 
Mwambie mie nilikuletea tenge la wax nae atoe hela ya mashono mama ung'are christmas!

Davie S.M ameahidi kuleta suti ya baba, viatu ataleta dada WiseLady!
 
nashukuru mummy kwamba ndugu zangu wako poa... ila kaka yetu wa hiyari Davie S.M kapotea sana na pia dada mkubwa WiseLady ndo kabisaaaaa cjui majukumu yamemzidi???
 
Last edited by a moderator:
shosti Madame B huyu mme wangu daddy dearest watu8 yeye hapo haelewi kabisa yaani tumemuacha mbaaali watu mwaenda kupeana raha jiwe wapi na wapi, hata hutalikumbuka

mie maana yangu nitakuja na jiwe la kutoa sumu in case Shem kang'atwa kwenye kalio ambapo huwezi kufunga kamba...
 
Last edited by a moderator:
Mwambie mie nilikuletea tenge la wax nae atoe hela ya mashono mama ung'are christmas!

Davie S.M ameahidi kuleta suti ya baba, viatu ataleta dada WiseLady!

usijali sis... mie tena... haya mwambie mummy ntamtumia ticket ya fastjet ampelekee Mustafa Hassanalli amshonee nataka mwaka huu awafunike wamama wooote wa Uru Kishumundu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom