Mara yako ya kwanza kwenda mjini ilikuwaje.

Mara ya kwanza kufika Daslam....niliona kama niko New York city hasa maeneo ya posta....aise sio kwa yale maghorofa ukikatiza huku ghorofa kule ghorofa....aisee ilibidi nimwambie mwenyeji wangu aniachie mkono nitoe ushamba wangu....nilipomuona yule haskari nilitaka kwenda kumuamkia bro,akanikataza akasema huyu ni haskari wa zamani sasa hivi ameganda.
 
Habari wadau.
Siku yako ya kwanza kufika mjini ilikuwaje ,weka comment tuone jinsi kila mtu alikuwa anapaonaje hapo mjini kwake alipofika.
nakumbuka ndo naingia dasilamu kwa mara ya kwanza mwaka 2001.... Aisee licha yakushangaa mji nilikutana na muhuni pale ubungo!!! Yani nishafika nilipokuwa natakiwa kufika sasa nikaona ninyooshe miguu nikakutana na mteja anasimu kali akaniambia elfu50 duuh me nina elfu 15 ikabidi nimpe simu yangu ya nokia jeneza na elfu 15 aloo alafu akaniambia usifungue hapa iyo bahasha siunaona mamwera mbele simu za dili izo... Na kwa ujinga wangu sikufungua daaah nafika mbele nicheki nakuta sabuni mbuni yani nimepigwa simu na hela juu nimeachwa na line niliichukia sana dasilamu walahi
 
nakumbuka ndo naingia dasilamu kwa mara ya kwanza mwaka 2001.... Aisee licha yakushangaa mji nilikutana na muhuni pale ubungo!!! Ya i nishafika nikipokuwa natakiwa kufika sasa nikaona ninyooshe miguu nikakutana na mteja anasimu kali akaniambia elfu50 duuh me nina elfu 15 ikabidi nimpe simu yangu ya nokia jeneza na elfu 15 aloo alafu akaniambia usifungue hapa iyo bahasha siunaona mamwera mbele simu za dili izo... Na kwa ujinga wangu sikufungua daaah nafika mbele nicheki nakuta sabuni mbuni yani nimepigwa simu na hela juu nimeachwa na line niliichukia sana dasilamu walahi
Uliachwa ubungo kwenye mataa
 
Mara ya kwanza kufika Daslam....niliona kama niko New York city hasa maeneo ya posta....aise sio kwa yale maghorofa ukikatiza huku ghorofa kule ghorofa....aisee ilibidi nimwambie mwenyeji wangu aniachie mkono nitoe ushamba wangu....nilipomuona yule haskari nilitaka kwenda kumuamkia bro,akanikataza akasema huyu ni haskari wa zamani sasa hivi ameganda.

Nlikuwa natembea through movement by culvature
 
nakumbuka ndo naingia dasilamu kwa mara ya kwanza mwaka 2001.... Aisee licha yakushangaa mji nilikutana na muhuni pale ubungo!!! Ya i nishafika nikipokuwa natakiwa kufika sasa nikaona ninyooshe miguu nikakutana na mteja anasimu kali akaniambia elfu50 duuh me nina elfu 15 ikabidi nimpe simu yangu ya nokia jeneza na elfu 15 aloo alafu akaniambia usifungue hapa iyo bahasha siunaona mamwera mbele simu za dili izo... Na kwa ujinga wangu sikufungua daaah nafika mbele nicheki nakuta sabuni mbuni yani nimepigwa simu na hela juu nimeachwa na line niliichukia sana dasilamu walahi
Walikusaidia kukata kamba mguuni mkuu
 
Nilipitilizwa stand, nashangaa kwenye gali nipo na konda na dreva tu.nikawambia vip mbona sielewi, wakadai sorry shuka panda hio daladala itakurudisha stand
 
Mara yangu ya kwanz Dar nlienda kununua gari sas nkafika pale nkaingia zangu show room nkachagua sas nikasema gari litalal Apo apo yule jamaa akakubali kila k2 kumbe night akasuka mipango washushe injin nzima fasta yan sas kumb na mm sio fala siku ile ata sikuondoka nlilala kwa mlinzi pale getini sabb tulikua tunafahamian.

Kwaiy usik wakaanza Kaz nawaona tu pale sasa ikaja canter fulan ili wabebe ile injini alaf waweke yao mbov ni Kaz iliyofanyika fasta San ndug huwez amin sas m nlichofanya nkamfinya dereva wa canter fasta Apo mafunzo yang maalum yalinisaidia Sana nkampa kichapo nkamfungia chin ya siti ya gar lake jamaa walipomaliz wakatoa ishara niondoe gari kumbe sio dereva mwenyw mi nkatoa gari pale mbak polisi nakumbuka kun dog nlimchukua akanielekez ad kituoni.

Kwaiy nikawasimulia polisi kila kitu wakamtoa yule dereva chini ya siti akapelekwa ospitali kesho yake ukawekwa mtego kwel kwenda kuchukua gari Askari wakalicheki sikuamini iliwekwa injin imefungwa ad na mipira ya manati Dadek nakumbuka nililipwa Ela yangu na faida ya mil 6 ili nisichafue jina la kampuni yao.
 
Duuh!hao washenzi sana aseh!wanaweza hata kukuua hao kima!
 
Back
Top Bottom