Mara yako ya kwanza kufanya mapenzi ilikuwaje?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Ngoja mje kutuletea visa vyenu....

Miaka kadhaa iliyopita kipindi nakua kua, zawadi hii ilitokea ghafla bin vuu kwa upande wangu, lakini issue ilikuwa planned na marafiki zangu pamoja na yule binti for long time! Nachokumbuka mmoja kati ya marafiki zangu aliwahi kunambia "somebody anakupenda! Sio mara yake ya kwanza kunambia kitu kama hiki, atakuwa anamaanisha anachokisema" Cha ajabu kila nilipokutana na yule mwanadada hakuonesha sign yoyote ile ya kama kuna kitu kinaendelea kati yetu hivyo nilihisi wenzangu wananipanga! hivyo sikulitia maanani!

Wakati mimi napotezea hilo jambo, wenzangu walilisimamia kidedea! Walikuwa wakijitungia maneno yangu na kuyapeleka kwa mwanadada, kisha kumuomba mrejesho wa majibu ili wajue ni kipi watakachoongea nae next time! Wameenda nae kwa mtindo huo mpaka walipokuja kumwambia kuwa "M anataka kuchakata hiyo mbususu", binti alikubari bila kinyongo!

Ndipo siku moja rafiki zangu waliniita na kunipa story nzima! na kunambia jioni ya leo binti anataka kuzungumza na wewe! Wale marafiki walinambia kuwa nikazie issue ya mbususu! Hapo ndipo nilipoamini ule msemo wa wadada wazuri siku zote huvutiwa na wanaume wasio na muda nao! Usiku ule maongezi yalikuwa mazuri tu japo nilitetemeka sana!

Siku ya uchakataji mbususu ilifika, kutokana na uoga niliokuwa nao, jasho jingi lililokuwa likinibubujika ongezea mitetemo ya mwili na midomo, mapigo ya moyo kwenda kasi na akili kuaha, nilijikita namvua nguo mwanadada wa watu kijeshi mithili ya mtoto anayegoma kuoga maji ya baridi usiku! hadi mpasuo wa sketi yake niliuongezea! Sikuwa na mengine tena zaidi ya kutimiza kile kilichomleta ingawa hata dushe lilichukua muda kufahamu wapi lingetakiwa kuingia! Mwanadada yule alikuwa kafumba macho tu lakini kicheko chake cha mbali nilikishuhudia! Nilihangaika kama vile fundi simu kapoteza nati! Dakika moja ni nyingi nilishangaa nishamwaga!

Duh! Hapo uoga ukawa unakata sasa! Hapo ndipo nikaukumbuka ule msemo wa kimoja tu chali! Istoshe huyo binti aliwahi kumtangazia flani kuwa shoo zake mbovu! Kuepusha aibu, nikaanza kumromance huku mashine ikiwa haitaki kusikia chochote kuhusu mbususu, ikavuta na shuka kabisaaaa! Ndugu msomaji, ile siku nilikuwa natia huruma kama mtu aliyepigwa shoti ya umeme wa sola! Kilichoniokoa ni alarm ya simu, hata sikujua aliyeitegesha ni nani na muda gani! Nikavunga kama nimepokea simu ya dharura!

Nikavunga kuhailisha mechi!

Nasubiri visa japo kwa ufupi!
 
"nilijikita namvua nguo mwanadada wa watu kijeshi mithili ya mtoto anayegoma kuoga maji ya baridi usiku!"
IMG_20220203_171100.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho uli safisha jina au ndo wewe nnae kusikia hadi leo mtaani ume tangaziwa jogoo hawiki
 
Binafsi nilianzaga na Romance,

hadi siku naambiwa na Manzi kua anataka sex, mazingira niliona sio mazuri nikaamua kugoma..
so niliachwa na huyo manzi before sex.. kuna legend alinizidi kete.. na Manzi alikua ananizidi Umri.

So toka hapo nilipopata mwingine, sikua na hofu sana kikubwa niliamua kumaliza kazi iliyonishinda hapo awali, kwa bidada mwingine.
 
Shukrani za kipekee zimuendee yule.dada msabato mjaluo mweusi mwenye tako kubwa.
Nakumbuka nlikua nshajipanga kisaikolojia like a week before. Kwakweli sikulaza damu.
Atieno!
 
Ngoja mje kutuletea visa vyenu....

Miaka kadhaa iliyopita kipindi nakua kua, zawadi hii ilitokea ghafla bin vuu kwa upande wangu, lakini issue ilikuwa planned na marafiki zangu pamoja na yule binti for long time! Nachokumbuka mmoja kati ya marafiki zangu aliwahi kunambia "somebody anakupenda! Sio mara yake ya kwanza kunambia kitu kama hiki, atakuwa anamaanisha anachokisema" Cha ajabu kila nilipokutana na yule mwanadada hakuonesha sign yoyote ile ya kama kuna kitu kinaendelea kati yetu hivyo nilihisi wenzangu wananipanga! hivyo sikulitia maanani!

Wakati mimi napotezea hilo jambo, wenzangu walilisimamia kidedea! Walikuwa wakijitungia maneno yangu na kuyapeleka kwa mwanadada, kisha kumuomba mrejesho wa majibu ili wajue ni kipi watakachoongea nae next time! Wameenda nae kwa mtindo huo mpaka walipokuja kumwambia kuwa "M anataka kuchakata hiyo mbususu", binti alikubari bila kinyongo!

Ndipo siku moja rafiki zangu waliniita na kunipa story nzima! na kunambia jioni ya leo binti anataka kuzungumza na wewe! Wale marafiki walinambia kuwa nikazie issue ya mbususu! Hapo ndipo nilipoamini ule msemo wa wadada wazuri siku zote huvutiwa na wanaume wasio na muda nao! Usiku ule maongezi yalikuwa mazuri tu japo nilitetemeka sana!

Siku ya uchakataji mbususu ilifika, kutokana na uoga niliokuwa nao, jasho jingi lililokuwa likinibubujika ongezea mitetemo ya mwili na midomo, mapigo ya moyo kwenda kasi na akili kuaha, nilijikita namvua nguo mwanadada wa watu kijeshi mithili ya mtoto anayegoma kuoga maji ya baridi usiku! hadi mpasuo wa sketi yake niliuongezea! Sikuwa na mengine tena zaidi ya kutimiza kile kilichomleta ingawa hata dushe lilichukua muda kufahamu wapi lingetakiwa kuingia! Mwanadada yule alikuwa kafumba macho tu lakini kicheko chake cha mbali nilikishuhudia! Nilihangaika kama vile fundi simu kapoteza nati! Dakika moja ni nyingi nilishangaa nishamwaga!

Duh! Hapo uoga ukawa unakata sasa! Hapo ndipo nikaukumbuka ule msemo wa kimoja tu chali! Istoshe huyo binti aliwahi kumtangazia flani kuwa shoo zake mbovu! Kuepusha aibu, nikaanza kumromance huku mashine ikiwa haitaki kusikia chochote kuhusu mbususu, ikavuta na shuka kabisaaaa! Ndugu msomaji, ile siku nilikuwa natia huruma kama mtu aliyepigwa shoti ya umeme wa sola! Kilichoniokoa ni alarm ya simu, hata sikujua aliyeitegesha ni nani na muda gani! Nikavunga kama nimepokea simu ya dharura!

Nikavunga kuhailisha mechi!

Nasubiri visa japo kwa ufupi!

Nilikuwa na hofu sana nilikuwa na jambajamba
 
Back
Top Bottom