mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,810
afu nimesahau kuchukua namba yako aisee 😅
afu nimesahau kuchukua namba yako aisee 😅
Alafu wewe 🤨🙄
😂😂😂apana! Ngoja kwanza mwenye nyumba atoe vitu nje ndo niombe
Utapopoa watoto wenzio au sio🤣🤣🤣👋damu inachemka bro.... walahi nikimaliza chuo lazima nitapopoa mwanaJF....😂 hii ni ahadi najiwekea na nyie Half american na Johnnie Walker ni mashahidi wangu...😂
Na suala la kuuliza hizo contacts daily nani mwenzangu. Unalimudu vipi?Me nina majina 95 tu...
Huwa sina kawaida ya kuomba namba,ukiniomba wewe nakupa ila ukinichek sisave mpaka unipe mchongo au nione unafaida na me
si unipe namba na wewe 😂Utapopoa watoto wenzio au sio🤣🤣🤣👋
😂komaWewe jaman jamani wewe tema maye chin usije geuka chura hap
Kumbe ni chalii ya apo fyadewatu wa arusha tunaonekana wabaya ila tuko peace sana 😅
Yes kaka yangu wa damu kabisa 😍
Ukute we mwenyewe hapo ndio kenge 🤣Mi lain ya haina namba naunga tu bando nafanya shughuli zangu mtandaoni sjawahi pigia mtu......kifup sina ishu na kenge yeyote
Mjomba wa republic kbs sema ndo hvo anaona wajomba wanavotoa shuhuda za kula utelezi wa humu anahisi ni kitu kirahis 🤣🤣asipokua makini atarudi kununua mumama wa shiva😂koma
Kumbe ni chalii ya apo fyade
Mwambie huyo Johnnie Walker mlevi mlevi.Yes kaka yangu wa damu kabisa 😍
Somo la Kibunda umelielewa Kaka zakodah kaka kuna mashangazi humu natamani sana.....
Mambo yake tumuachie mwenyewe asipende sana mbususu zitamfelisha maishaMjomba wa republic kbs sema ndo hvo anaona wajomba wanavotoa shuhuda za kula utelezi wa humu anahisi ni kitu kirahis 🤣🤣asipokua makini atarudi kununua mumama wa shiva
💰💰💰🤣👋si unipe namba na wewe 😂
achana na huyo dogo Johnnie Walker ubongo umeyeyuka kazi kuitemea mate dyudyu yakeMwambie huyo Johnnie Walker mlevi mlevi.
pesa ipo.... I love you jamani😫💰💰💰🤣👋
Nilifutaga namba za mtu. La haulaaa siku isiyo na jina nina shida… yuko ofisi flani ya umma.. watu tunaingia sana.Mkuu,
Sio vizuri Kuna siku unaweza muhitaji mtu..
Pombe zinamuharibu huyo dogo, kavamia mji kwa pupa ndio shida😅Mwambie huyo Johnnie Walker mlevi mlevi.
Mshaurini asije akapotea huyu mtoto wa 2006Pombe zinamuharibu huyo dogo, kavamia mji kwa pupa ndio shida😅