Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Kupiga na kuuwaUtovu wa nidhamu.
Sijui miaka mitatu mizima walikua wanfafundishwa kitu gani
Mzee hujui kule tunafunzwa ubabe,kudharau raia na polisi wote pia kulima kwa sana.Utovu wa nidhamu.
Sijui miaka mitatu mizima walikua wanfafundishwa kitu gani
Kupambana na aduiUtovu wa nidhamu.
Sijui miaka mitatu mizima walikua wanfafundishwa kitu gani
Huu ni kweliMzee hujui kule tunafunzwa ubabe,kudharau raia na polisi wote pia kulima kwa sana.
Ndiohuu upuuzi ndiyo wanafundishwa huko kwenye makambi?
wamefunzwa kupambana na adui kwa kutumia nguvu bila akili.Kupambana na adui
Watu wasingeshinda vitawamefunzwa kupambana na adui kwa kutumia nguvu bila akili.
Ulidosolewa vilivyo?😂Hiyo yote inatokana na mfumo wa mafunzo huko makambini, ndo maana hao watu wanakua hivyo. Sitasahau JKT kwa mujibu wa sheria, khaaaah.