Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Na ishu za mapenz zinahusika sana
 
Alikukamatia bastola km mwizi au ulikuwa na shida gani hadi akukamatie bastola? Je ulilipoti police je pastola ilikuwa yake au ya mumewe? Au alikukamatia hiyo silaha baada ya mumewe kufa au mumewe akiwa hai?na hiyo bastola ilikuwa ya Langi gani ili na sisi tujue na tujue pa kuanzia hata tukikutana na sisi tujihami ndugu
 
Aiseeeee huwezi kujua wanawake wanataka au hawataki nini sasa hg kamtaja mke wa msuya kama mshiriki wa mauaji na fukuto linasema walianza kugombea Mali na kuna tetesi nyingine sitoiweka hapa
Kwanini hutaki kuweka? Kwani walikuwa wake wenza hao?
 
Polisi wakiamua kufanya kazi hakuna atakayesalimika. Hawakosei
 
Atiii .......yeeewiii ..... Yesu na Maria sisi wanawake baadhi yetu tunataka nn jamani! Tuombe Mungu sana alainishe mioyo yetu ieifikie huku kwa kutishia uhai wa watu kwa sababu ya pesa kwa kweli,tulizaliwa tupu tutakufa tupu yatayowekwa ni madoido tu
 
Nifah naomba uniruhusu kuendelea na threads nyingine!
 
The macabre nature of her killing warrants nothing less than the death penalty to all who directly took part in it.
 
ni mchagga huyo?
 
Mwenye picha duh mambo ya ajabu sana kweli. Nawaza tu siku zote mtu anayekufanyia uovu lazima awe mtu wa karibu sana
 
Mburra! Ndoa za rasha rasha zina kuwa na haya mauza uza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…