noel osward
Member
- Nov 14, 2013
- 8
- 1
Wandugu n vigumu kuhukumu bila kuthibitisha....ukijiuliza kikamilifu unapata maswali mengi kuhusu inshu ya mzee kapuya,
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

yote yanawezekana kama ulivyoainisha hapo , lakini ametumia weakness ya muheshimiwa kumuadhibu hadi sasa naanza kuamini kapuya yupo salama ila tu anapambana na vita ambavyo hajui aanzie wapi , hatimaye jamii itaamini ni kweli kumbe wamemtega kwa uzembe wake , na kwa hili wataenda wengi kwani hayuko peke yake asilimia 50 ya waheshimiwa wana tabia chafu sanaMmeanza kumsafisha Le plofeseli sio?!
Kwahiyo mtu akiwa tapeli hawezi kubakwa?!
Akiwa na majina saba au hata kumi ndiyo yanayomzuia kubakwa?!
Je akiwa na miaka 21 ndio kubakwa inashindikana pia au?!
Kajipange mkuu uje tena; Nlisahau kukuuliza, na namba iliyokua inajibizana nae kwa sms pia ni feki sio?!
Hii picha nilikuwa sijaingalia vizuri,hivi kumbe ina makubwa hivi???Huyu mzee ni balaa aisee.
Aliyekutuma aanze kufa alafu wewe ufuate. Huu uccm nchi mpaka lini? kama hata mnafika kutetea ujinga/uuaji kama huu. Inawezekana jamaa kaongeza dau nini kutoka buk7 kwenda 8
Umeshaziona picha za Lema?