Mapya ya anaedai kubakwa na kapuya...

Mapya ya anaedai kubakwa na kapuya...

Nadhani utakuwa unamjua vzr sana sasa tuwekee
picha yake halafu tueleze kwa undani jinsi
alivyomtaperi :-


Mama Salma(WAMA)
Kimei(CRDB)
Shigongo(GLOBAL P)

Mkuu usimjali huyu jamaa,wametumwa kuja kupunguza hasira tuliyonayo,kwanza huyu mtt uzuri tumeambia anasoma hapo magomeni,sasa huyu anasema ni mdada wa 21yrs old na ana mtt,aaaaaah wapi, hii kitu Mungu hatamwacha kapuya anapumua,ni dhambi kubwa sana,
 
Kapuya zako zimefika husafishiki. Kukaa kimya ni strategy nzuri kuliko wewe au wapambe wako kuleta utetezi hapa. Ni ushauri tu!

Nafikiria hiyo mipesa yake na tabia yake hiyo hapo Dodoma si kila mwanamke atakuwa ameoza jamani, mnaopenda kulala Dodoma mkiwa mnaelekea Likizoni makwenu kuweni wangalifu na angalieni hapo Dodoma Kapuya ni mwekezaji mahiri hapo au pona yenu inabaki ni moja tu ambayo ni kutembea na Litmus paper au fanya kama umegafirika taja jina Kapuya kwa sauti ndogo inayosikika halafu utapata majibu toka kwenye uso wa mwenza wako,

images
 
wewe mleta ukapuya wako hapa, kapuya kukupa shi ngapi uje upuyange ukapuya wa kapuya ?
 
Mh.Kapuya nakuona uko kazini,unajisafisha..!kazi njema!ila mpe hi Simbachawene mwambie karibu tena Singida!
 
Loo nimechekaje? Eti huyu wa miaka 21 ni mwingine mbali na yule wa miaka 16 lakini wote wametendwa na kapuya!! Dah kapuya yuko juu na bado ebu tutafutie mwingine wewe mtoa uzi nadhani wako wengi na unamfahamu kapuya vizuri
 
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
nikikukamata NAKUBAKA..
 
  1. Tufanye kweli ana miaka 21, so what? ruksa abakwe ama? mamako ana miaka mingapi?
  2. thibitisha kutapeliwa kwa Mama SALMA, KIMEI na SHIGONGO afu tuambie matapeli wote wa dsm na tz hukumu yao ni kubakwa?
  3. kwani majina hata yakiwa 10 ndio nini? wee mwenye majina mawili umebakwa mara ngapi na KUPUYA? Kama nina zako!
 
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Umepewa vijisenti ujaribu kusafisha upepo? angalia usije kusimamiwa show na wewe!
 
Nadhani utakuwa unamjua vzr sana sasa tuwekee
picha yake halafu tueleze kwa undani jinsi
alivyomtaperi :-


Mama Salma(WAMA)
Kimei(CRDB)
Shigongo(GLOBAL P)
Ashakula mlungula kuja kusafisha mazingira, lakin sidhan kama hilo litawezekana kuosha uchafu kwa kutumia uchafu mwimgine
 

Hahaha, huyo dem mbona ana sura ya kiume? halafu anafanana na ndiuka , cheki mzee kaingiza mkono kwenye papuchi dogo anakenua meno tu, halafu hebu leteni hii picha ya full, maana nina mashaka na huko chinichini!lol
 
Last edited by a moderator:
Uwe na uhakika maana unataja majina ya watu, waache wajitete wenyewe kama walivyoyaanzisha
 
ivi tafsiri ya sheria ya kibaka inasemaje? babu wa miaka70 anaweza kua na mpenzi wa miaka14!!! tena mwanafunzi??? nyie mnaosema walikua wapenzi!! hata aibu hamuoni.mnaandika comfortably yaaan.wanasheria tusaidieni kufafanua io sheria tafadhari
 
Nawewe utakuwa umeshiriki kumbaka huyu binti.


Naona unakazana kupotosha ukweli kwa kuhofia Le profese akifungwa utafuata wewe,

pole kwa kugawana virusi na Le Profese ndio ukome kihere x 2 c ulikuwa kibaraka wake Lumumba nani asiyekujua bora hata ungejificha.

Natumaini utaunganishwa na kesi coz ulikuwa unatumiwa nae kwenda kukusanya vujukuu vije kubakwa.
 
kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama salma kikwete na akatupwa segerea! Tena aliwahi kumtapel kimei wa crdb! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...

Sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
funguka tukuelewe vema. Post yako haina mashiko
 
Back
Top Bottom