Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Mtarukaruka sana lakini mahakamani lazima muende hata kama sio leo basi kesho
..kisilili ninini? Au unamaanishsa kisiriri? Kama ni hivyo mm sio msemaji wa vyombo vya dola. Mm nilijaribu tu kukufahamisha utendaji wa kazi wa idara za usalama tena sio za tz tu huo nimfumo wa idara zote za usalama za nchi zote.. lakini hujakatazwa kwenda kwa RPC KOVO AU RCO DSM AU RC DSM kufuatilia jambo hili la huyu binti itakuwa vizuri ukimchukuwa huyu binti ukaendae huko na zaidi ya hao nilio kutajia. Kuliko kuendelea ku post coment zako kwenye mitandao tu hamsaidii lolote lile.
..Tatizo gani ninalo ongeza? Na unataka niamini nini kama sitoviamini vyombo vya usalama vya nchi yangu?Wewe ndo unaongeza tatizo kwa kuendelea kuamini kwamba tunavyombo vya usalama vya umma.
..Tatizo gani ninalo ongeza? Na unataka niamini nini kama sitoviamini vyombo vya usalama vya nchi yangu?
Hoja hapa ndugu zangu ni kwamba inawezekana kweli huyu binti ni tapeli kutokana na matukio ya huko nyuma kama kuwatapeli Dk Kimei na bosi wa Global, lakini swali ni kwamba wamefanya biashara gani na huyu binti?
Kuna habari kwamba matapeli fulani wa Magomeni na Kinondoni humtumia huyu mtoto katika mitego ya fumanizi za kupanga. Kama uko makini na unajiheshimu huwezi kuingia kwenye mtego wake. Fungeni zipu zenu kwanza!