Aliyekutuma aanze kufa alafu wewe ufuate. Huu uccm nchi mpaka lini? kama hata mnafika kutetea ujinga/uuaji kama huu. Inawezekana jamaa kaongeza dau kutoka buk7 kwenda 8
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mmh sijui dada ako angekuwa kabakwa na kuunganishwa gridi ya taifa sijui ungeongea utumbo huu? vipi na hiyo namba ya simu ya huyo mumeo anayotumia kutuma sms za vitisho nayo ni uzushi?
Umeshaziona picha za Lema?
Lema siyo habri ya mjini kwa sasa. KAPU yaaa ndo yenyewe
ana miaka kumi na 16, ana soma turian secondary, cheti cha kuzaliwa anacho, ndugu yako kambaka na kumwambukiza Virusi vya ukimwi..acha ngonjera zako.
Mnakula hata hivi vitoto vidogo ..... Vya kiume.
Mbaya sana.View attachment 121942
Mmeanza kumsafisha Le plofeseli sio?!
Kwahiyo mtu akiwa tapeli hawezi kubakwa?!
Akiwa na majina saba au hata kumi ndiyo yanayomzuia kubakwa?!
Je akiwa na miaka 21 ndio kubakwa inashindikana pia au?!
Kajipange mkuu uje tena; Nlisahau kukuuliza, na namba iliyokua inajibizana nae kwa sms pia ni feki sio?![/QUO
Hawa wanaleta siasa hata kwenye utu wa mtu, kubaka nikubaka tu.... Kapuya anatofauti gani na babu seya .... kwanini yeye yuko uraiani na mwenzake ananyea debe
wewe mleta ukapuya wako hapa, kapuya kukupa shi ngapi uje upuyange ukapuya wa kapuya ?
Unaandika kama upo toil..t vile,, hivi una mtoto wewe kweli?????????
hata paka ana watoto! Kwani ukiwa nao hata kumi ndio nini?