Mapya ya anaedai kubakwa na kapuya...

Mapya ya anaedai kubakwa na kapuya...

ndiuka

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Posts
699
Reaction score
826
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Aliyekutuma aanze kufa alafu wewe ufuate. Huu uccm nchi mpaka lini? kama hata mnafika kutetea ujinga/uuaji kama huu. Inawezekana jamaa kaongeza dau nini kutoka buk7 kwenda 8
 
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ana miaka kumi na 16, ana soma turian secondary, cheti cha kuzaliwa anacho, ndugu yako kambaka na kumwambukiza Virusi vya ukimwi..acha ngonjera zako.
 
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Aisee......naona anahujumu wana CCM pekee......lazima mtasema ni CHADEMA huyu mtoto
 
Nadhani utakuwa unamjua vzr sana sasa tuwekee
picha yake halafu tueleze kwa undani jinsi
alivyomtaperi :-

Mama Salma(WAMA)
Kimei(CRDB)
Shigongo(GLOBAL P)
 
Mashambulizi from other side yameanza! ! Tuambie kwann alhaji alitupa line miezi 6 iliyopita, lakini few weeks back mwandishi alimpata kwa same number ingawa ilipokelewa na dereva wake! ! Jamaa anajikanyaga sana, tutajua tu mwisho wa hii film
 
umepewa bei gani na puyaka puyaka.
 
Kapuya asafishiki kwa hili,kapuya miaka 60s anadate na mjukuu wake wa miaka 16? Kesi hapa ni ya ubakaji...
 
samahani umelipwa shilingi ngapi tugawane au ni LUMUMBA TEAM BUKU 7 IMEANZA KAZI ?
 
Najiuliza huyo mtoto amepata wapi huo ujasiri mkubwa hvyo kupambana na system tena ya wauza unga(namkumbuka amina chifupa). . . .mara bungeni. . . .mara kwa kinana wa ccm! Kweli ya tz ya leo sio ya 47!
 
Mmeanza kumsafisha Le plofeseli sio?!

Kwahiyo mtu akiwa tapeli hawezi kubakwa?!

Akiwa na majina saba au hata kumi ndiyo yanayomzuia kubakwa?!

Je akiwa na miaka 21 ndio kubakwa inashindikana pia au?!

Kajipange mkuu uje tena; Nlisahau kukuuliza, na namba iliyokua inajibizana nae kwa sms pia ni feki sio?!
 
Ufunguke yote ya uzushi...mliyo zungumza jana mkiwa kijiweni kwenu....
weka source kama sio kapuya aliyekuagiza kuropoka ovyo bila kufikiri.
 
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mi nilitambua, vibaraka kama wewe utakuja kumtetea, inanisikitisha na sioni tz inaelekea wapi, watu wenye mtindio wa ubongo mpo wengi na sijui tunasaidiana vipi kuondoa tatizo lako, yani umekuja na hoja nyepesi sana kuweza kutuaminisha, hizi habari umezitoa wapi, umelipwa kiasi gani, kwa kifupi kapuya
hasafishiki,
 
Huyu mbakaji hasafishiki wandugu. Hamwezi kudivage attention za watu kwa kuleta theads za kujaribu kumpakazia matope, kama mnalipwa mwambieni ukweli tu kuwa hapa mnamwibia maana hasafishiki kwenye hii saga.
 
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Lakini umekiri kuwa walikuwa wapenzi...!Inatosha kabisa
 
Back
Top Bottom