Mapya ya anaedai kubakwa na kapuya...

Mapya ya anaedai kubakwa na kapuya...

ujiandae kusimama kama shahidi kwamaana kapuya mwenyewe anajikanyaga tu na maelezo yake sasa wewe kibaraka sijui umetokea wapi na umelipwa shilingi ngapi ya kutushawishi??
 
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

wewe kapuya atakua anaku kabaaang"!!
 
Kubakwa!!! Kuambukizwa ukimwi!!!
Hivi unajua "huyu binti anaumiaje sahv"!!!??
Shame on you (mtoa post)
 
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wewe una matatizo ya akili,kama bint huyo ni tapeli kapuya aliwezaje kujibishana nae kwa sms? huo ujinga wenu mtafute pa kuupeleka,mnatapatapa kumtetea mtu asiyejiheshimu,tatizo ni ngumu sana kumuona ccm mwenye hekima.
 
Halafu ujue huyu ni mwanafunzi Wa secondary sheria iko pale pale hata angekuwa Na miaka 30
 
Huyu Kapuya anatisha, ndo mwenye serikali hadi leo hajakamatwa CCM kiboko kwa kulindana.
 
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Na wewe inaonesha Kapuya kakubaka hadi akili. You poor thing.
 
attachment.php
#WEWE NI MWANANGU EMBU TULIAGA KATiKA POLEPOLE,UTANIUA MWANANGU LOO!
 
mtoa mada unataka kutuhamisha kwenye mada ushindwe na ulegee viungo vya uzazi. umelipwa sh. ngapi?
 
EEEEhe wameanza kuja huenda huyu ndio yule SHOGA wa mbakaji aliyesemwa yupo Dodoma.
 
Kapuya kakutuma utupoteze, Mwambie tuko imara na tunataka haki itendeke mahakamani.
 
ndiuka umepata issue ya kumtetea zero kapuya ....!
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma mahali huyo mtoto ameambiwa akafungue jalada la kubakwa na kutishiwa maisha na kamanda Kova na ni agizo la mkuu wa kaya jambo hili lishughulikiwe mara moja kwani limemuudhi sana.
 
Wakuu hayo maelezo nimekopi na kupaste toka kwa mdau mmoja bbm...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwanin uwasemee kina mama salma wasiseme wenyewe? wewe ndo unaonekana njaa. km jambo huna uhakika bora ukae kimya..w
 
Back
Top Bottom