Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa


Kwanza hapo tukishapachukua itabidi kufanya maombi ya kung'oa viti vya enzi vya JOKA na mashujaa wake (majini na mizimu) iliyoweka kambi ili kuifunga Tanzania katika vifungo vya giza.

Itabidi kuvunja maagano yote na matambiko yote yaliyofanyika na kulifanya Taifa kukabidhiwa kwa Lucifer...tutang'oa misingi yote ya uovu ambayo imelifanya taifa liwaneemeshe wezi na waovu na kuwafukarisha wasio wezi na wapenda haki.

Tutafanya maombi yakuwateketeza kwa moto wa Yesu na radi wachawi wote, wasoma nyota na waganga wa kienyeji walioshirikiana na viongozi kutoa kafara kwa shetani ili kulikabidhi taifa hili kwa JOKA lililotupwa kutoka mbinguni.

Tutaikabidhi hii nchi kwa Mungu wa Abraham, Isaka na Yakobo (Israel). Na immediately tutarejesha uhusiano wetu na taifa la Israel maana moja ya laana ya nchi ya Tanzania ni kulikataa taifa la Israel. Kutoka 23:22 inasema nitakuwa adui wa adui zako na mtesi wa hao wakutesao. Taifa lolote linalokuwa na uadui na Israel linalaaniwa na Taifa linalokuwa na urafiki na Israel linabarikiwa, Marekani wanaijua siri hiyo ndio maana wanabarikiwa sana.
 
We jidanganye hivyo hivyo,
wewe unaeifaham CDM JF na kupata taarifa zake JF lazma useme hivyo.
Sikulaumu hapo ndio mwisho wa upeo wako ila CDM inawenyewe!


CDM ni chama cha Watanzania wote.Propaganda zenu za kutugawa ili mtutawale haziwezi fanikiwa kamwe.United we stand divided we fall.never will we be divided.Mimi ni mwana CDM damudamu wala siyo kupitia mitandao ya kijamii kama unavyodhani am proud of my Party.
 

ulijuaje kama ni makamanda wa cdm kama watu watu hawajafahamika? ccm mmeshikwa pabaya mwaka huu mnahaha jinsi ya kutoka eee!
 
R.I.P Mtanzania-jumapili
 
Siasa ni mchezo mchafu, yaani hata mambo ya hatari kama haya ya kuteka na kuua tunayafanyia mzaha!!!!

Iwe ni kweli bado dola haifanyi inavyotakiwa kufanya na iwe ni za kutengeneza bado dola haifanyi inavyotakiwa kufanya.

Kweli kwa Tz lolote linawezekana!
 

Na walio m"Baba wa Taifa" ni akina nani...
 

jf imekuwa kituo cha polisi.......... hata hao polisi wanaozungumziwa kuwa wamepelekewa taarifa ni polisi wa jf
 
Mpenda sifa masalia kutimuliwa na zitto kujulikana anafadhili mtandao wa masalia ndio unaita mgogoro,mgogoro uko CCM bwana
Membe ninamaadui 11 mwaka 2016 nitawamaliza wote
KIkwete-Sitawavumilia wale wanaoharibu chama nitahakikisha wahaingii kwenye NEC
Mangula-Miezi mitatu nitakuwa nimewamaliza wala na watumia rushwa kwenye uchaguzi
Kinana niacheni nisafirishe pembe za ndovu mukisituka nitakuwa nimebadirisha makatibu wakuu wote
Mgeja sitakubali Lembeli awe mwenyekiti shinyanga bora nife
Sophia nitamvua nguo Anne kirango akileta za kuleta
Abdalah Bulembo,nitahakikisha wanajimilikisha majengo ya wazazi nawafunga
Meghji wezi wa mali za CCM watanitambua
Mwakyembe nimepewa sumu na TISS
Mwandosya nimehujumiwa na TISS
sasa kashfa zote hizi munataka kupumulia katika kutengeneza video za kichina nani awaamini ,CCM ni chama mfu tushazika kiwiliwili chote bado kichwa
 
sasa si muweke hiyo mikanda tuone.
 

Mwigulu wewe mtafute Mungu wa kweli na sio yule mnayemfuata baharini, tunafanya maombi usiku na mchana na tayari tumeshajua misingi ya taifa hili iliwekwa na yule joka wa kuzimu. Na ndio maana taifa linakwenda kama liko msukuleni.

Sasa mkiweza tusimamisheni kusiombee ukombozi wa taifa letu ila tutakesha usiku na mchana mpaka viongozi wote wanaopata uongozi toka kwa lusifa wafutike wote na taifa lirudi kwa Yesu, na ndipo tutakapoona utawala wa JUSTICE ukitamalaki. Kaka Mungu anaitaka nchi yake with or without CHADEMA, anakuja kwa kishindo ambacho none will be able to stop it, because this is God's time, nyie fanyeni maombi yenu kwa huyo mungu wenu tuone nani atashinda.
 
ulijuaje kama ni makamanda wa cdm kama watu watu hawajafahamika? ccm mmeshikwa pabaya mwaka huu mnahaha jinsi ya kutoka eee!
hiyo kauli ya ccm mmeshikwa pabaya,sijui hamchomoki ni kauli ya kujipa moyo tu wala haihusiani na hali halisi..
 
yaani maneno unayoongea inaonekana kabisa umeyakariri,maneno ya sisi tuna mungu wao wana shetani..Tangu lini mungu akawa mwanasiasa?.

Yaani vyama vyote duniani leo mungu awe mwanachadema?what is so special about chadema?
 
Kama hawajafahamika
utasemaje sasa ni makada wa chadema ilihali unasema 'video zinaonyesha
watu wengine ambao hawajafahamika' au wewe umewafahamu?

Nyie wanachama wa chadema ni kama sikio la kufa! yani ma ushahidi kibao lakini hamkubali! Chama chenu MAGAIDIIII!
 
Mengi yatajili kuna watakao kata tamaa safari ya ukomboz ni ngumu sana yote hayo yanajili ili safari ya ukombozi ikamilike . Mwisho wa siku aibu kwao ma ccm .
 
watanzania hatutaki ugaidi... tuwapinge na kuwalaani wote wanaofanya matendo ya kigaidi awe mwanasiasa awe awaye, maisha yetu ni muhimu kuliko kitu kingine chochote

Tutolee hapa uendawazimu wako, Hivi ugaidi unaujua ww au unaombea utokee au sio? Hizi akili zenu MACCM ambazo tu kujenga hoja ni shida kwenu ndioz tutakazozitumia 2015 kuwaangamizia, Kila siku mnaimba ugaidi kama upo vile lakin 2015 ndipo tutakapowaonesha kazi mbulula nyie.
 
jf imekuwa kituo cha polisi.......... hata hao polisi wanaozungumziwa kuwa wamepelekewa taarifa ni polisi wa jf
wewe vuta subira ifike hiyo tarehe ya kesi ndo utajua kama ni polisi wa jf au vipi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…