tatizo la taahira kuwa karibu na keyboard ndo hiliWewe lazima Ccm wanakupakata
tatizo la taahira kuwa karibu na keyboard ndo hiliWewe lazima Ccm wanakupakata
tatizo la taahira kuwa karibu na keyboard ndo hilinahsi hicho chama kinawapiga m*ti
Slaa amekalia kurudia maneno yale yale kama kasuku, TISS TISS, sasa ngoja waje kugonga mlango wake. Ndio atawatambua ni nani, wao hawatazami uzee wa mtu,ni kichapo kwa kwenda mbele.
Hata mazembekuku ya CCM hataki kabisa hizo propaganda many are very angry na new secretariat wanashangaa zaidi ya kuvuna tembo zetu katibu mkuu wa CCM ,Kinana na Mwenyekiti wake Jakaya Mrisho wameishia political strategies kiasi kwamba mwigulu,Nape Ridhiwani ndio wamekuwa ndio waratibu so most of us we are not curious with this lame allegations speak for your self as well
nakumbuka yule shoga hugo chavez alisema yuko na seasons nyingi sana kama prison break, hii ni season 2, hii wameipeleka polisi sijui kwa staili gani?
nakumbuka yule shoga hugo chavez alisema yuko na seasons nyingi sana kama prison break, hii ni season 2, hii wameipeleka polisi sijui kwa staili gani?
hata wewe ni mjinga kwann umwambie mwenzako mjingamichango yako inaonyesha kweli wewe ni mjinga mzuri sana, nlidhani umeonewa kumbe ni haki yako...
hivi bado upo na yule mume wako au alikuacha..
Wamemlimboka Kibanda ili wapitishe habari zao zisizohaririwa.Video zaidi zakabidhiwa polisi, Mwigulu Nchemba afunguka, asema kulikuwa na vijana sita waliandaliwa kumteka, mmoja akampelekea taarifa ...Amzungumzia Ludovick! Tukio la kukamatwa na kufikishwa mahakamani mkurugenzi wa ulinzi wa CHADEMA Wilfred Lwakatare limezidi kuibua mambo mengine mapya yaliyofichika... Habari za uhakika toka vyombo vya ulinzi na usalama zinaeleza kuwa mbali na video inayomuonyesha Lwakatare akipanga mipango ya kigaidi ya kudhuru watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari, video nyingine zimekabidhiwa huku zikionyesha makada wa chama hicho wakiwa katika vikao vya siri. Video hizo zinawaonyesha watu wengine ambao hawajafahamika wakiwa katika mikakati hiyo ambao wamerekodiwa bila wao kujijua... Source: Mtanzania - Jumapili.
mtahangaika sana maana M4C na sera ya Majimbo imewakamata pabaya!!! Tumikieni wananchi acheni hizi propaganda za miaka ya kale wakati wakoloni walipotaka kuitawala Africa.Video zaidi zakabidhiwa polisi, Mwigulu Nchemba afunguka, asema kulikuwa na vijana sita waliandaliwa kumteka, mmoja akampelekea taarifa ...Amzungumzia Ludovick!
Tukio la kukamatwa na kufikishwa mahakamani mkurugenzi wa ulinzi wa CHADEMA Wilfred Lwakatare limezidi kuibua mambo mengine mapya yaliyofichika...
Habari za uhakika toka vyombo vya ulinzi na usalama zinaeleza kuwa mbali na video inayomuonyesha Lwakatare akipanga mipango ya kigaidi ya kudhuru watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari, video nyingine zimekabidhiwa huku zikionyesha makada wa chama hicho wakiwa katika vikao vya siri.
Video hizo zinawaonyesha watu wengine ambao hawajafahamika wakiwa katika mikakati hiyo ambao wamerekodiwa bila wao kujijua...
Source: Mtanzania - Jumapili.
Unamzungumzia Mungu gani?, Huyo Mungu wako bila shaka atakuwa anawachukia sana watanzania. yaani anawaacha wezi wa KAGODA, DEEPGREEN, MEREMETA, EPA, WEZI wa meno ya Tembo, WANGO'OA MENO na KUCHA, wezi wa TWIGA wetu wazimawazima, yeye anawahukumu akina Dr Slaa na Mbowe wanaopigia kelele huo ufisadi na kuwaacha mnaoutetea? Huyo Mungu wako ni wa dini ipi?
Nyie wanachama wa chadema ni kama sikio la kufa! yani ma ushahidi kibao lakini hamkubali! Chama chenu MAGAIDIIII!
mwigulu una id nyingi sana ivi akili yako ni nzuri kweli.....sillyChama cha magaidi wabaya sana kwenye hili taifa
Video zaidi zakabidhiwa polisi, Mwigulu Nchemba afunguka, asema kulikuwa na vijana sita waliandaliwa kumteka, mmoja akampelekea taarifa ...Amzungumzia Ludovick!