Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Baada ya 2015 si CDM wala CCM itakayotawala nchi hii,atakye shinda vit ndio atakuwa mtawala mpya.

Endeleeni kucheza mapicha ya Rambo,walevu tunawaangalia wajinga munavyojibaragua kugombea kututawala.
 
kiukweli nimeamini kuna tofauti kubwa sana kati ya vijana wa ccm na chadema ktk siasa wanazofanya,
nimekua nikifatilia kwa ukaribu sana mienendo ya kisiasa kwa upande wa vijana na baado ni dhahiri kua asilimia kubwa ya vijana wenzangu waliopo chadema hawana 1.uwezo wa kujenga hoja
2 kutetea hoja wanazozijenga na
3 kubomoa hoja zile zisizo na masilahi kwao,
wengi wao wakiwa wametekwa kifkra naviongozi wa chama na wanawatumia bila ya wao kujijua, lakini pamoja na hayo nakiri wazi kuna vijana waliopo chadema uwezo wao wa kung'amua jambo ni mkubwa lakini wanashindwa kung'amua kutokana na mustakabali wa chama chao
 
Mwigulu Mchemba ni one of the key players... and the more he gets engaged the worse it gets for him, kuna wakati tuliona video za training kule iramba, tukaona murder zinatrail kila alipofika, then tukaanza kusikia tortures etc, and it is very difficult kumtenganisha yeye na all these troubles

he just doesnt know what he is doing, kuna siku atajutia sana hizi kitu

time will tell
 
  • Thanks
Reactions: BAK
tusiwe wepesi kuhukumu bila kutoa nafasi kwa pande zote kujieleza, ni bora kuwaachia wahalifu 10 wenye hatia kuliko kumhukumu mmoja asiye na hatia. haya mambo ni mazito si vema kuyaangalia kwa akili ya ushabiki.
 
Phuuuu! kabidhini video zote, mchonge ya ulimboka, mwangosi, kubenea, kibanda, n.k. lakini mwisho wa siku mtaumbuka. Jiulizeni ilikuwaje kwa kina machano huko Zenj licha ya kukaa Lupango miaka. Jibu siyo video au propaganda chafu bali suluhu ya matatizo kwa watz
 
Vijana wote wa CCM na CDM mnatumiwa tu,kama hujitambui katika siasa ujue unapoteza muda,bora tu utafute kazi ufanye.

Mwanasiasa akisha kutumia na akaona hana maslahi nawe tena au umekuwa tishio kwa maslahi yake anatafuta mbinu za kukumaliza,kamuulizeni Julius Malena kule Afrika ya Kusini
 
Upumbavu tu wa maCCM sasa tutaweza vip kuamin if hiyo video ni ya makada wa CHADEMA? kwan huwez kukodi wahun na kuwavalisha nguo za CDM alafu ukadanganya kuwa hao ni makada wa CHADEMA?.
 
wewe bashe na gazeti lako la mtanzania malizaneni kwanza na membe chadema baadaye, hamuwezi kutwanga kotekote huku membe huku chadema. huo ni ushauri wangu tu!
 
kiukweli nimeamini kuna tofauti kubwa sana kati ya vijana wa ccm na chadema ktk siasa wanazofanya,
nimekua nikifatilia kwa ukaribu sana mienendo ya kisiasa kwa upande wa vijana na baado ni dhahiri kua asilimia kubwa ya vijana wenzangu waliopo chadema hawana 1.uwezo wa kujenga hoja
2 kutetea hoja wanazozijenga na
3 kubomoa hoja zile zisizo na masilahi kwao,
wengi wao wakiwa wametekwa kifkra naviongozi wa chama na wanawatumia bila ya wao kujijua, lakini pamoja na hayo nakiri wazi kuna vijana waliopo chadema uwezo wao wa kung'amua jambo ni mkubwa lakini wanashindwa kung'amua kutokana na mustakabali wa chama chao

Mbona wewe na muanzishaji wa huu uzi mmejiunga JF siku moja (1st February 2013). Je, hii ni coincidence au kuna uhusiano?
 
mnaiogopa CDM ? Mnatumia kodi za wananchi vibaya ili kurekodi movie za kijinga.! Hilo ndo anguko lenu. Wakati umefika sasa.
 
Mwigulu alipata habari za watu wanamipango ya kumteka, kwanini asingetoa taarifa Police? Huyu Mwigulu ndiye aliyepigiwa simu za vitisho na wabunge wa CDM na alizibaini namba zao, mbona hao wabunge hawajashitakiwa? Mwigulu ni suspect # 1, kama Police watafanya kazi zao kitaalaam

Polisi: Mwigulu Nchemba alikodisha wahuni waliofanya vurugu zilizosababisha mauaji Ndago - Singida


Mashahidi wanne ambao ni polisi, wametoa ushahidi katika mahakama ya mkoa wa Singida juzi, katika kesi inayowakabili vijana 9, watatu wakazi wa Dar.

Askari hao wametoa ushahidi mahakamani kuwa vijana hao wa Mwigulu ndio walifanya vurugu zilizopelekea mtu mmoja kufa. Imedaiwa kuwa Mwigulu alimtumia Joseph Mlewa kuwaleta wahuni hao kwa gari aina ya Canter ya Michael (Maiko) California.

Habari hizi zinazidi kumporomosha hasa jimboni Iramba.

Japokuwa Polisi wa Tanzania wameamua kulinda waovu na wauaji kama alivyofanya Mwigulu, lakini ni vyema mwigulu mwenyewe atambue kuwa damu ya mwananchi wa Kijiji cha Ndago aliyoshiriki kuimwaga na kutoa uhai wake pasi na hatia yoyote itaendelea kumtafuta daima.
 
Huu ni upambafffff!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Mpumbavu ni mtu anayeweza moyoni mwake Mungu hayupo na hivyo kufanya kila analoona yeye ni jema bila woga kwa muumba wake ambaye ni Mungu. Pambafffffffffffffff!!!!!!!!!!!!!!!. Kwa herini
 
Hii video ya utekaji imeichafua Chadema sana chama kimepata pigo sana.
 
Namwonea huruma Mwigulu Nchemba, wakati yuko busy kutengeneza uzushi baada ya chama chake kushindwa kujenga nchi, Dr Kitila Mkumbo yuko jimboni anajijenga, mtanambia kama Mwigulu Nchemba atarudi mjengoni! Hizi ni picha za Kihindi tu!
 
Last edited by a moderator:
kwani hawa wakina mwigulu mbona wanatoa single nyingine kabla ya single ya kwanza kkuuzika. part 1 haijauzika wanarekodi nyingine. Promotor wao feki.
 
nyie mtanzania na bashe wenu, malizaneni na membe kwanza ndio mje kwa chadema au ndio staili ya kutwanga kotekote? vp kibanda anaendeleaje? kuweni makini sana.
 
Poleni sana chadema,,tatizo lenu nyie baadhi yenu mnajifanya wajanja sana tena wenye akili kushinda hata wenye dola na chama dola la nchi hii,,lazima mfanye siasa zenu polepolena kwa umakini mkubwa sana..vingineiavyo hamtafika 2015,,naona mmetekenywa kidogo tu na watoto wa mjini sasa hivi mnaanza kunywea na kuwa wapole..Nina uhakika kabla ya kufika mwaka 2015 tutashuhudia mambo mengi na makubwa ambayo kila mwanacdm atbaki mdomo wazi kwa kutoamini kile kitakachotokea..Tusubiri,,time will tell[/Q

Hata waliopigania uhuru wa nchi mbali mbali dunia,Tanzania ikiwemo,walikabiliana na mambo mengi ya hatari kutoka kwa wakoloni.Sasa cha ajabu kwako nini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom