Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Hapana sijakurupuka mkuu,hebu rudia tena kuisoma habari yake kama utamwelewa! Au mkuu labda sijaona vizur,anaposema video zinawaonyesha makada wa chama....halafu huko mbele anasema ambao hawajajulikana...sasa alijuaje ni makada wa chama ilihali 'hawajajulikana'?soma hapo anaposema na watu wengine sita...

tatizo la watu wavivu kushughulisha bongo zao ndio hili...kama hujaelewa kwann usiende hata wavuti au website ya gazeti husika upate taarifa kamili. Unaishia kumshambulia mtu anayekupa habari mkuu?
 
Hizi habari ni za kupikwa tu na zinalenga kumuokoa Bashe kutoka rungu la mamlaka (za serikali) kutochukuliwa hatua kwa yaliyotokea wiki chache zilizopita kuhusu gazeti la Mtanzania la media house yake. Wiki iliyopita gazeti hilo hilo liliandika stori yenye kichwa cha habari "Urais wa Damu" na mhariri aliitwa kujieleza kule idara ya Maelezo.

Sasa kujikosha ili gazeti lisifungiwe ndiyo gazeti hilo klinakuja na habari za anti-Chadema. Anayefanya kazi hiyo ni yule Charles Mullinda aliyekuwa Tanzania Daima anayesifika kama bingwa wa Brown envelope'. Ataandika chochote -- mradi ukimpa bahasha aandike mama yake anataka kupindua serikali ataandika tu.

Very loose character sijawahi kuona. Hizi habari alizipata kwa akina Shonza waliotembelea pale New habari juzi. Kinachoshangaza ni kwa nini hawa akina Shonza hawakumpa habari hizo wakati bado wamo Chadema, walingoja hadi wafukuzwe kwanza.
 
Fungua wavuti.com nenda habari ndio urudi hapa kubishana
 
Mtesi wa ulimboka aliandikwa na mwanahalisi lkn mpaka leo hajakamatwa,je kwanini Mwigulu hakukabidhi lile gazeti polisi
 
Hizi habari ni za kupikwa tu na zinalenga kumuokoa Bashe kutoka rungu la mamlaka (za serikali) kutochukuliwa hatua kwa yaliyotokea wiki chache zilizopita kuhusu gazeti la Mtanzania la media house yake. Wiki iliyopita gazeti hilo hilo liliandika stori yenye kichwa cha habari "Urais wa Damu" na mhariri aliitwa kujieleza kule idara ya Maelezo.

Sasa kujikosha ili gazeti lisifungiwe ndiyo gazeti hilo klinakuja na habari za anti-Chadema. Anayefanya kazi hiyo ni yule Charles Mullinda aliyekuwa Tanzania Daima anayesifika kama bingwa wa Brown envelope'. Ataandika chochote -- mradi ukimpa bahasha aandike mama yake anataka kupindua serikali ataandika tu.

Very loose character sijawahi kuona. Hizi habari alizipata kwa akina Shonza waliotembelea pale New habari juzi. Kinachoshangaza ni kwa nini hawa akina Shonza hawakumpa habari hizo wakati bado wamo Chadema, walingoja hadi wafukuzwe kwanza.

ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia? Fanyia kazi habari kuhusu video za makada kupanga utekaji kwanza
 
kila jambo lina mwanzo na mwisho wake,hata haya nayo yatakuwa na mwisho wake.cha msingi sisi watanzania tunahitaji amani.mambo yenu ya siasa yasiingilie uhuru na maisha ya watanzania.
 
Slaa amekalia kurudia maneno yale yale kama kasuku, TISS TISS, sasa ngoja waje kugonga mlango wake. Ndio atawatambua ni nani, wao hawatazami uzee wa mtu,ni kichapo kwa kwenda mbele.
 
Naona magamba yanahangaika sana hiyo haitawasaidia kukihujumu CHADEMA.
 
Makamanda hawajulikani kivipi wakati aliyewarekodi yupo na kuzipeleka polisi au mkanda umeokotwa,ngoja tusubiri..
 
Poleni sana chadema,,tatizo lenu nyie baadhi yenu mnajifanya wajanja sana tena wenye akili kushinda hata wenye dola na chama dola la nchi hii,,lazima mfanye siasa zenu polepolena kwa umakini mkubwa sana..vingineiavyo hamtafika 2015,,naona mmetekenywa kidogo tu na watoto wa mjini sasa hivi mnaanza kunywea na kuwa wapole..Nina uhakika kabla ya kufika mwaka 2015 tutashuhudia mambo mengi na makubwa ambayo kila mwanacdm atbaki mdomo wazi kwa kutoamini kile kitakachotokea..Tusubiri,,time will tell
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
Makamanda hawajulikani kivipi wakati aliyewarekodi yupo na kuzipeleka polisi au mkanda umeokotwa,ngoja tusubiri..

polisi wawahishe uchunguzi then tuamue tumechoka ni hizi ishu za ugaidi na uonevu kwa wanahabri.
 
Hivi vituko vya video nchini vitaleta hatari nchini naomba viona mbali wavikatae mchezo huu utaenda hadi mikanda ya uhaini itaonyeshwa tunaomba sie tusio na vyama mtu achie nchi yetu bado ni salama mauaji ya yesu kuteswa msalabani yalisababishwa na,wazushi walio kuwa wakienda kwa pilato na kusema tulimusikia huyu akisema hiivi na hivi walijitahidi kumutungia maneno hadi akasulubiwa hao tunao wasikia akina mwi--glu wataleta machafuko nchini narudia tuachiane Tz salama hukukutafutana kwenye mavideo kutazusha uhaini atakamwa kiongozi mkubwa wa chama nchi itawaka moto kule mbeya mwanza Arusha nk naogopa hekima zimeenda wapi juzi tu mwalimu katutoka tuwaachie wanausalama na police wafanyekazi siyo nye wenye vyama munafanya kazi zao Mzahamzaha utatumbua usaha waacheniii watanzania wamezowea Amani mara machafuko ya dini loo tunaenda wapi wanyonge hatuna,pakwenda
 
poleni sana chadema,,tatizo lenu nyie baadhi yenu mnajifanya wajanja sana tena wenye akili kushinda hata wenye dola na chama dola la nchi hii,,lazima mfanye siasa zenu polepolena kwa umakini mkubwa sana..vingineiavyo hamtafika 2015,,naona mmetekenywa kidogo tu na watoto wa mjini sasa hivi mnaanza kunywea na kuwa wapole..nina uhakika kabla ya kufika mwaka 2015 tutashuhudia mambo mengi na makubwa ambayo kila mwanacdm atbaki mdomo wazi kwa kutoamini kile kitakachotokea..tusubiri,,time will tell

cdm ilianza na mungu na itamaliza na mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom