Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

JF inatakiwa iheshimiwe vinginevyo itapoteza maana ya uwepo wake. JF imegeuka chombo cha kupikia majungu badala ya kujadili hoja za maana. Kuna watu kwa ajili ya kuzunguka humu JF kujibu hoja hata kama ni kwa njia ya kipuuzi ili mradi wajibu tu. Kuna watu kama kina ZeMarcopolo, Ritz na utaifakwanza wao kazi yao ni kupinga hoja yoyote inayoipa serikali changamoto. Wako tayari hata kujidhalilisha kwa majibu ya ovyo ili mradi wamfurahishe aliyewatuma. Watu hawa ni hatari kwa ustawi wa taifa letu. Wapo wengine wanaanzisha thread zisizokuwa na mashiko ili mradi waonekane nao ni member wa JF. Kwa mfano kuna aliyeanzisha thread humu akidai eti wachaga ndio wanaongoza kwa mapenzi ya jinsia moja hivyo alitaka wana jf wajadili hoja. Wengine wanaanzisha thread za kukashifu dini zingine. This is too much.

Practice what you preach.

Unachokipinga ndicho unachokitenda kwenye post yako hii hii...
 
sawa ila mkuu kumbuka hii nchi tumekuta watu wameipigania na wengi walipoteza roho zao na wameifikisha hapa tulipo.. kumbuka rwanda waliuana kwa chuki za kikabila, israel na palestina hadi leo wanauana kwa chuki za kidini....tuulinde umoja na mshikamano wa tanzania...wanansiasa wataondoka na vyama vyao tanzania itabaki.......tupinge kwa nguvu zote yale yanayoharibu udugu baina yetu

Raisi wa tano tukiungana hivi hutaona mtu yeyote akitetea dini yake bali tutajenga umoja wa taifa letu!!!!!!... Tukishabikia mambo mengine wakati ya msingi tunayaacha hatutendi HAKI!!!...

Mimi ni mkristo tangu nikiwa mdogo, nina ndugu, jamaa na marafiki wengi waislamu.. Ninawaheshimu na kuzingatia miiko yote ya imani yao!!!!...
ILA NI KWELI KABISA SIWEZI KUNYAMAZA KIMYA wakati watu wanataka tushabikie CD za mwigulu Nchemba huku tukijua wazi MAPADRI wawili mamepigwa risasi kwa kitu ambacho wakristo tunaamini kinatokana na mafundisho ya shehe ILUNGA!!!!...

Wewe jaribu kuchunguza humu anayeshabikia CCM pia anamtetea ILUNGA kwa nini tusitie shaka kuwa chama hiki kina lake jambo dhidi ya viongozi wetu?!!!!
 
SHEHE ILUNGA!!! aliyetoa hukumu wakristo wauawe anaitakia mema nchi?!!!!...

"Akiuwawa Shekhe na nyinyi ueni Askofu"Ukiogopa kauli hii ima wewendio unaua Mashekhe au unaamrisha kuuwawa Mashekhe au unashabikia Kuuwawa Mashekhe.

"Akiuwawa Shekhe na nyinyi ueni Askofu=Hasipouwawa Shekhe hatauwawa Askofu"

Msingi wa kauli hii ni tabia ya Maaskofu kuwapongeza Polisi pindi wanapouwawa Waislamu,tumeshuhudia hili 1998 na 2001.Baada ya kauli ya Ustadhi Ilunga sidhani kama kuan Askofu atakayeipongeza polisi kwa kuuwa Waislamu.
 
Fafanua tafadhali. Ni kipi nilichokipinga na kukitenda kwenye post hii?

Umemuelezea zemarcopolo kipropaganda. Zemarcopolo siku zote ni mtu wa hoja.

Kama una evidence kuwa zemarcopolo ametumwa na mtu weka hapa.

Kama una evidence kuwa zemarcopolo ametetea kosa la serikali weka hapa.

Kama una evidence kuwa zemarcopolo ameacha mnyonge aonewe bila kumtetea weka hapa.

Kama una evidence kuwa zemarcopolo amekiuka katiba ya Jamhuri weka hapa.
 
Raisi wa tano tukiungana hivi hutaona mtu yeyote akitetea dini yake bali tutajenga umoja wa taifa letu!!!!!!... Tukishabikia mambo mengine wakati ya msingi tunayaacha hatutendi HAKI!!!...

Mimi ni mkristo tangu nikiwa mdogo, nina ndugu, jamaa na marafiki wengi waislamu.. Ninawaheshimu na kuzingatia miiko yote ya imani yao!!!!...
ILA NI KWELI KABISA SIWEZI KUNYAMAZA KIMYA wakati watu wanataka tushabikie CD za mwigulu Nchemba huku tukijua wazi MAPADRI wawili mamepigwa risasi kwa kitu ambacho wakristo tunaamini kinatokana na mafundisho ya shehe ILUNGA!!!!...

Wewe jaribu kuchunguza humu anayeshabikia CCM pia anamtetea ILUNGA kwa nini tusitie shaka kuwa chama hiki kina lake jambo dhidi ya viongozi wetu?!!!!

Na wanaompinga Ilunga wote wanashabkia CDM.

Kwa hiyo udini udini tu,kazi kweli kweli
 
CHADEMA hawawezi kunasuka. Mbinu zao zimeota mbawa.

Siasa za kutesa/kuua watu kwa mtaji wa kura zimefika mwisho.

Siku za mwizi ni arobaini. CHADEMA kupewa kura kwa propaganda za kijasusi zimefika mwisho.

Pongezi za dhati ziwafikie wale raia wema waliotuonyesha maovu ya CHADEMA.
 
"Akiuwawa Shekhe na nyinyi ueni Askofu"Ukiogopa kauli hii ima wewendio unaua Mashekhe au unaamrisha kuuwawa Mashekhe au unashabikia Kuuwawa Mashekhe.

"Akiuwawa Shekhe na nyinyi ueni Askofu=Hasipouwawa Shekhe hatauwawa Askofu"

Msingi wa kauli hii ni tabia ya Maaskofu kuwapongeza Polisi pindi wanapouwawa Waislamu,tumeshuhudia hili 1998 na 2001.Baada ya kauli ya Ustadhi Ilunga sidhani kama kuan Askofu atakayeipongeza polisi kwa kuuwa Waislamu.

Meseji nzito sana hii!!! na wewe ni sehemu ya MAGAIDI hao?!!!
 
CHADEMA hawawezi kunasuka. Mbinu zao zimeota mbawa.

Siasa za kutesa/kuua watu kwa mtaji wa kura zimefika mwisho.

Siku za mwizi ni arobaini. CHADEMA kupewa kura kwa propaganda za kijasusi zimefika mwisho.

Pongezi za dhati ziwafikie wale raia wema waliotuonyesha maovu ya CHADEMA.

SHEHE ILUNGA!!! aliyetoa hukumu wakristo wauawe ATAKAMATWA LINI?
 
SHEHE ILUNGA!!! aliyetoa hukumu wakristo wauawe ATAKAMATWA LINI?
I'm sorry. Sifahamu umri wako. Ninakuwa kama ninapoteza muda wangu kukujibu swali lako kwa sababu swali kama hili hata mtoto wa darasa la nne angejua sehemu ya kulielekeza na kikubwa zaidi angejua ni nini anachokiongea.

Hekima na busara inatuasa kuwa, hata kwa waliobarikiwa fikra finyu, kuna kitu tunaweza kujifunza. Labda hekima yako ndogo pia inaweza ikanisaidia kujua mantiki ya swali lako.

Kwa mtazamo wako, umeniuliza swali hili nikiwa kama nani, na unataka nikupe jibu kama nani?.
 
Tanzania maskini laiti ungelijua mambo ambayo yatakupata hakika ungeinua sauti yako na kusema hapana!! lakini mambo hayo yamefichika kwako! CCM wakiongozwa na Mwigulu na kwa kutumia vibaya jeshi la polisi, idara ya usalama wa taifa na mahakama wanajaribu kupandikiza chuki miongoni mwa watanzania kwa malengo ya kisiasa laiti wangetathmini matokeo yake wasingejaribu kabisa wanachofanya sasa!!chadema sio mbowe, slaa, zitto au lwakatare ni taasisi yenye mamilioni ya wafuasi,.chadema tupuuze hizi mbinu za kutudhhofisha tuendelee na mikakati ya chaguzi ndogo na chaguzi za serikali za mitaa 2014 na serikali 2015,.M4C isisimame iendelee na hasa kipindi hiki ishike kasa zaidi,..
 
Kweli CCM vichaa, sijui walimchaguaje huyu Mwigulu kuwa kiongozi!

ama kweli Chadema wana Mungu kwani kawachanganya CCM kwa kupitia Nchemba wanaropoka hovyo.....alianza na madai kuwa Mnyika kamtumia ujumbe wa kutaka muuwa ambao baadae ulijulikana ni Feki, amekuja na CD ya lwakatale bado haijadhibitika anakurupuka kuwa anayo ingine inawaonyesha Makada wanapanga kumuua....maybe ni hapa Tanzani coz ni mccm ndo mahakama itaendelea even to pay attention of this idiot.....why hm ndo first to come across each evil of Chadema?...ingawaje si mwana Chadema bt I think use this channce kumshikishene huyu idiot adabu na if possible anzieni na base ya tuhuma alizompa Mnyika then hizi......
 
Walivyo na papara kama zingekuweko ungekuta sasa hivi zipo youtube na mtu kasha jigamba kwenye mikutano ya hadhara.

Wameona santuri ya Lwakatare inaanza kuchuja wameamua kuja na mbinu mpya jinsi ya kuipandisha chart.
 
Kwa yale tuliyoyaona kwenye video, Lazima tutumie presumption ya Wafaransa isemayo Lwakatare and CHADEMA is GULTY until proven innocent.

Ni hatari katika taifa kuwa na viongozi wa kisiasa wanaoendesha siasa za KIJASUSI kupata kura za huruma. Mtindo huu ni zaidi ya wizi wa kura bali pia ni psychological torture inayokuwa inflicted na viongozi wa CHADEMA kwa innocent citizen.

Hawa ndiyo viongozi ambao wanategemea hizi kura za kijasusi ili wapewe nchi DUBIOUSLY. GOD FORBID.
 
Yaani mpaka kikwete atoke madarakani yatatokea mengi...sasa nime elewa kwanini kilaza wassira na kilaza mwigulu mchemba wame kuwa wakisema chadema itakufa mwaka huu, kumbe ni kwa sababu ya hizo video zao feki.ninacho sema ni kwamba ccm itake isitake nguvu ya umma itawatoa madarakani.ni lazima system yote ya ccm itoke tuweze kuwa na changes.so ccm waendelee na ngonjera zao ila wananchi tumesema sasa basi!
 
Ukizikiliza na kufuatilia hoja na mikakati ya mtu "hamnazo" ----- waweza geuka -- kuwa "hamnazo" mwenyewe.Alianza na hoja ya sms za vitisho lkn mwisho wa siku alionekana "hamnazo"---- mwenyewe.Alikuja na masuala ya chadema wamemuua mwana ccm huko ndago mwisho wa siku kaonekana "hamnazo" mwenyewe.Alipeleka sera za matusi kwa wananchi wa arumeru,ktk sanduku la kura wakamdhihirishia alivyo ----"hamnazo"-.Alienda na siasa za vitisho igunga, mahakama ikamthibitishia jinsi alivyo -----"hamnazo"Leo analeta ubwege mwingine ili aendelee kuuthibitishia uma namna jinsi alivyo mbwege mkubwa.Mwigulu acha siasa za kishamba, jamii ya sasa sisi ni waelewa.Na kama chama kinakutegemea ili kukikomboa kwa style hii basi yu mkini si ajabu wooooote maccm mtaja geuka kuwa mabwege mbele ya uma.Sisi wananchi tunaona,tunaelewa na tunatafakuri kwa kina na kisha tunatoa maamuzi ya kujua kipi ni kweli na kipi ni cha uzushi.Usijidanganye na siasa za enzi ya zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama. It iz now out classed.fikra na mipango yako kwa vyama vingine ni za kitoto japo ni hatari kwa ustawi wa taifa hili changa.Kwa style hii ulipaswa kuwa haini namba moja.u are a man behind the scenes!!!!Certainly, God shall pay you jewels for your evil deeds and the objective truth gonna remain intact for ever.....U are more than a curse!!!!!!!!
 
Km hawajulikani hawa ni wa CxCM!Na kwa nn jamaa asijumuishwe kwenye hii kesi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom