Mwigulu alipata habari za watu wanamipango ya kumteka, kwanini asingetoa taarifa Police? Huyu Mwigulu ndiye aliyepigiwa simu za vitisho na wabunge wa CDM na alizibaini namba zao, mbona hao wabunge hawajashitakiwa? Mwigulu ni suspect # 1, kama Police watafanya kazi zao kitaalaam
Madaraka yoote ya usalama amekabidhiwa yeye!!!.. "Vikao vya vyama vyote anahudhuria!!!"... Yeye ni mganga wa CHAMA na maongezi ya watanzania woote yeye anayasikia!!!...
CHEZEA MWIGULU!!!... Hata hojiwa maana yuko juu ya sheria!!!