Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Jamani someni vizuri, Mwandishi kaandika hivi video hizo mpya, zinawaonyesha makada wa Chadema na watu wengine ambao hawajafahamika....sasa kosa liko wapi? aliyepost kapoteza maana na kanukuu vibaya mimi nimelisoma hilo gazeti
 
Mwigulu anajitaftia sifa za kishamba ambazo hazitamsaidia zaidi ya kuosha upumbavu wake

NI MPUUZI KWELI HUYU KIMEO, jimbo lake hamna maji umaskini umekithiri yeye anachumia tumboni! panapo majaaliwa 2015 ndo atanyoosha maelezo. Chilolo atamfanya hamna
 
Lwakatare ana elimu gani?

Kazi gani inampa chakula kila siku?

Inawezekana sana huo ndio mradi wake tangu zamani
 
Shetani anajua kujigeuza malaika unaweza kumwabudu. Watanzania wamedanganywa kwa muda na watu waliojivika ukombozi lakini chini ya kapeti wakipanga namna ya kuwaua baadhi yao. Mungu ameamua kuweka wazi ndio maana hili limekuja kila mtanzania atawajua wakombozi wa tindikali, nondo, sumu, dawa za usingizi na risasi
We bwana mdogo acha kukurupuka kwani generali Kombe, Stan Katabaro, Mzee Kolimba na wengine waliawa na CDM! Acha kukurupuka, hakuna muuaji kama maccm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom