Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Mwigulu michembe anatakiwa ajue kwamba hapambani na chadema bali anapambana na umma,anajichimbia kaburi lake kisiasa

Umma gani? Wengine tupo curious kujua ukweli na undani wa haya mambo. Speak for you!
 
Hivi vituko vya video nchini vitaleta hatari nchini naomba viona mbali wavikatae mchezo huu utaenda hadi mikanda ya uhaini itaonyeshwa tunaomba sie tusio na vyama mtu achie nchi yetu bado ni salama mauaji ya yesu kuteswa msalabani yalisababishwa na,wazushi walio kuwa wakienda kwa pilato na kusema tulimusikia huyu akisema hiivi na hivi walijitahidi kumutungia maneno hadi akasulubiwa hao tunao wasikia akina mwi--glu wataleta machafuko nchini narudia tuachiane Tz salama hukukutafutana kwenye mavideo kutazusha uhaini atakamwa kiongozi mkubwa wa chama nchi itawaka moto kule mbeya mwanza Arusha nk naogopa hekima zimeenda wapi juzi tu mwalimu katutoka tuwaachie wanausalama na police wafanyekazi siyo nye wenye vyama munafanya kazi zao Mzahamzaha utatumbua usaha waacheniii watanzania wamezowea Amani mara machafuko ya dini loo tunaenda wapi wanyonge hatuna,pakwenda
Umeandika point bro. Hivi kwanza dhamira ya mwigulu nchemba ni ipi? Mi ni mtu mzima na ni mwanachama wa ccm ila sijaona umuhimu wa haya mambo pia mbona hatujadili matatizo ya msingi ya wananchi mnakazi ya kuleta upuzi tu. Chama hakina mvuto tena kwa wananchi mnakazi ya siasa maji taka. Mzee kinana na wazee wengne waelewesheni hao watoto tujenge chama kwanza si kuangalia masuala ya ajab.C.c mwigulu nchemba, shelui na utaifa kwanza
 
Umma gani? Wengine tupo curious kujua ukweli na undani wa haya mambo. Speak for you!

Shetani anajua kujigeuza malaika unaweza kumwabudu. Watanzania wamedanganywa kwa muda na watu waliojivika ukombozi lakini chini ya kapeti wakipanga namna ya kuwaua baadhi yao. Mungu ameamua kuweka wazi ndio maana hili limekuja kila mtanzania atawajua wakombozi wa tindikali, nondo, sumu, dawa za usingizi na risasi
 
Chadema mtajuta suala la Rwakatare lazima liwaumbue.
 
Sina wasiwasi na hisia pia knowledge yangu katika mambo haya hasa engineer anapokuwa Mwigulu.....refer to scandal ya SMS za vitisho pale Bungeni.
 
Umma gani? Wengine tupo curious kujua ukweli na undani wa haya mambo. Speak for you!
Hata mazembekuku ya CCM hataki kabisa hizo propaganda many are very angry na new secretariat wanashangaa zaidi ya kuvuna tembo zetu katibu mkuu wa CCM ,Kinana na Mwenyekiti wake Jakaya Mrisho wameishia political strategies kiasi kwamba mwigulu,Nape Ridhiwani ndio wamekuwa ndio waratibu so most of us we are not curious with this lame allegations speak for your self as well
 
yote hayo ni tisa, kumi ni hili la kupanga kuteka raia....chadema mnapaswa kulieleza taifa kwann mnajiingiza kwenye uharamia? Kwann mnafanya mambo ya kinyama halafu mnasingizia wasiohusika? Kumbukeni ikulu ni mahala patakatifu haiwezi kukaliwa na wauwaji

pumbavu taifa ni cc wananchi tunaoshuhudia ujambazi wa ccm kwa cdm, na chadema haiwezi kufa kwa video ya yutube, nyankundo
 
its very easy to be popular in Tanzania, Huyu Mwigulu ni nani? Katokea wapi? Kwa hakika CCM wametufikisha pabaya tunakaa tunajadili watu ambao hata hawana umuhimu wowote katika Taifa hili. Wanaokota tu watu
 
Shetani anajua kujigeuza malaika unaweza kumwabudu. Watanzania wamedanganywa kwa muda na watu waliojivika ukombozi lakini chini ya kapeti wakipanga namna ya kuwaua baadhi yao. Mungu ameamua kuweka wazi ndio maana hili limekuja kila mtanzania atawajua wakombozi wa tindikali, nondo, sumu, dawa za usingizi na risasi

Hakuna kosa baya mnalolifanya ndani ya sisiemu - nyinyi wanasiasa wapya ndani ya sisiemu!!!... MMEPANDIKIZA UDINI SISI WAKRISTO TUCHUKIANE NA NDUGU ZETU WAISLAMU!!!... Mmepandikiza UKABILA NDANI YAtaifa hili ili muendelee kutawala!!!... Mmepandikiza ukanda ili nyie muonekane ni watu wazuri!!!.... Propaganda hizi zinaendelea kuligawa mtaifa!!!! Mtajivunia nini katka hili?!!!
 
Shetani anajua kujigeuza malaika unaweza kumwabudu. Watanzania wamedanganywa kwa muda na watu waliojivika ukombozi lakini chini ya kapeti wakipanga namna ya kuwaua baadhi yao. Mungu ameamua kuweka wazi ndio maana hili limekuja kila mtanzania atawajua wakombozi wa tindikali, nondo, sumu, dawa za usingizi na risasi

Bad feelings? Unaweza kwenda kwa mchungaji getrude lwakatare ukatoa ushuhuda.
 
Mwigulu alipewa taarifa kuwa wameandaliwa vijana 6 ili wamuteke.yeye akakaa kimya bila kutoa taarifa kwenye vyombo vya dola ili mutego uwekwe ikiwezekana vijana hao wakamatwe ana kwa ana wakati wanajaribu kumuteka.kitu alicho kifanya ni kuwarekodi watekaji kwa siri wao bila kujijuwa.wakati vijana hao wanapanga mipango yote hiyo na kuikamilisha na baada ya kuikamilisa wakaendelea kukaa nayo tu bila kuifanyia kazi wakati huo Mwigulu alikuwa amejificha wapi ambako hao watekaji walishindwa kumuona na kuweza kumuteka au ni Mwigulu mwingine? ambae sifa zake hazijulikani?.
 
Shetani anajua kujigeuza malaika unaweza kumwabudu. Watanzania wamedanganywa kwa muda na watu waliojivika ukombozi lakini chini ya kapeti wakipanga namna ya kuwaua baadhi yao. Mungu ameamua kuweka wazi ndio maana hili limekuja kila mtanzania atawajua wakombozi wa tindikali, nondo, sumu, dawa za usingizi na risasi
Mwenyekiti wako Jakaya au Katibu wako Mkuu KInana watakapopata ufahamu kidogo nadhani watakapokuwa hawako kwenye magamu ya kuuza nchi hii kwa wachina utatembea na viatu vilivyochanika manake umechafua chama chako kwa kiasi kilichopitiliza,una roho mbaya sana kisiasa hufai hata kidogo mbaya zaidi hata ulikozaliwa umefanya wana CCM wenzio pia wawe na mchcheto wakifikiria namna unavyoendesha siasa
MACCM mengi tu kwenye vijiwe mbalimbali wanakulaani kuliko unavyofahamu
MACCM wanaamini labda unapeleka matunguri kwa wakubwa kwa sababu unachafua siha ya chama ambacho wengi wamekitumikia kwa muda mrefu na uaminifu
MACCM wenzio wanajiuliza insingetokea chini ya mbingu mwneyekiti, Nyerere,Mwinyi,Mkapa kuwa na naibu katibu mkuu kama wewe ambaye jamii ya kitanzania imekukataa katakata
wewe umeyapanga haya na Nape na Ridhiwani ukisaidiana na Zitto rejea pale Star TV mulipokuwa munatangaza kanda yenu na mulivyokuwa munashabihiana katika mazungumzo
MACCM yanajiuliza ulisoma wapi unashindwa kupanga mpango wowote ule wanaamini umepoteza damu za watu wengi wewe ,
Kuna MACCM yapo njiani kumwadabisha mwenyekiti wako na katibu wako mkuu kwa njisi wameruhusu siha ya chama kuchafuliwa kabla kuisha mwaka huu mwigulu utalisoma jiji MACCM menzio yatakubutua kwenye hiyo nafasi
 
Mwigulu alipewa taarifa kuwa wameandaliwa vijana 6 ili wamuteke.yeye akakaa kimya bila kutoa taarifa kwenye vyombo vya dola ili mutego uwekwe ikiwezekana vijana hao wakamatwe ana kwa ana wakati wanajaribu kumuteka.kitu alicho kifanya ni kuwarekodi watekaji kwa siri wao bila kujijuwa.wakati vijana hao wanapanga mipango yote hiyo na kuikamilisha na baada ya kuikamilisa wakaendelea kukaa nayo tu bila kuifanyia kazi wakati huo Mwigulu alikuwa amejificha wapi ambako hao watekaji walishindwa kumuona na kuweza kumuteka au ni Mwigulu mwingine? ambae sifa zake hazijulikani?.
Hana nyimbo huyo wamepanic kaongoza Igunga , na mbinu kobao mahakama ikamtia adabu,Arumeru wananchi wakamtia adabu,Iramba ndago polisi anakiri mwigulu alisababisha mwana CCM mwenziwe afe,
Memo na SMS alizotangaza bungeni zimejulikana yeye na ridhiwani wanamashine ya kutuma sms kwa kutumia namba za watu huyu ni mafia,anafanya umafia akisahau yeye bado mdogo ana mke na watoto watakao taka kuishi bila kutemewa mate kumwagiwa michanga yeye akiwa lupanfo siku inakuja mtenda naye hutendewa tupo kabla hatujafa tutaona mwisho wa huyu kijana kisiasa ni mwongo wa kutupwa
 
Mwigulu...teh..teh...mengine...nilikwisha sema anazo nyingi tu..na ataweka sokoni...akizani atapata wateja..la hasha..CCM...kwaheri.
 
TAMBUA HAYA:
  1. Tazama CD ya ustaadhi ilunga ujue alisema uweke nini mahali penye neno gaidi...
  2. Hawa woote si watetezi wa CCM wala si wana CCM - ni MITUME WA DINI!!!!
  3. Vita yao mtandaoni si kwa ajili ya maslahi ya TAIFA bali ni maslahi ya DINI;
  4. Hakuna mtu atakaye kuwa mtetezi wa CCM baada ya 2o15 - hasa LOWASA, MAGUFULI, SITTA au MWAKYEMBE akiwa mgombea URAIS!! HILI likitokea hoja ya CCM = Catholic Church Movement yatafufuliwa!!!!!
  5. Ukiikosoa serikali wao wanajua unakosoa kwa sababu mtu wao aliyekuwa maarufu kama "CHAGUO LA MUNGU" sasa haaminiki kutokana na maasi dhidi ya watu wasiona hatia kuongezeka tena yamebaki kuwa yasiyo na ufumbuzi!!!
  6. Ukihoji mateso ya kibanda, ulimboka na mauaji ya mwangosi na wengine huruka kimanga na kuleta UDINI!!!
  7. Ukihoji uadilifu wa serikali katika kushughulikia suala la ILUNGA ukilinganisha na lwakatare hupigania udini kwa kulinda "mtu wao"..

Kwa hiyo kwa sasa CCM chama cha Waislamu na CDM chama cha Wakristo,na 2015 CCM akigombea Mkristo Waislamu watahamia CUF tena na Wakristo Wahamia CCM tena.

Acha wajinga mubomoe hii nchi iliyojichokea ili tuje kuijenga nchi iliyo IMARA baada ya vita vya muda mrefu,mmegeuza siasa kuwa ndio biashara yenu wajinga wakubwa nyie.Lazima tuivunje hii biashara ya siasa na siasa iwe kwa ajili ya kuwatumikia wananchi sio kuchumia matumbo yenu na familia zenu,CCM na CDM wote wachumia matumbo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom