Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Linchi lililochafuka kama Tanzania haliwezi kuendelea bila ya kupigana vita kam miaka kumi hivi,baada ya hapo watu watakuwa na adabu ya kuogopa mali ya Umma.

Hawa wanasiasa wetu wote ni wachumia tumbo,si wa chama tawala wala wa upinzani,hivi sasa ukitaka kuneemeka ingia kwenye siasa tu,siasa ndio biashara kubwa inayolipa hapa nchini.

Haya yanayoendelea ni maandalizi mazuri ya vita,kazi nzuri endeleeni na mapicha yenu ya Rambo sisi tunajipanga kwa vit huku mtaani.

kwahiyo unatangaza uasi? je mnajiandaa na nani na wapi? nani anawafadhili? kama haya maswali ni magumu kuyajibu nakuomba mara moja ufute kauli yako! vinginevyo haya maneno yako yana madhara, unaweza ukawa unatania akajitokeza mtu wa kuyatekeleza uliyoyasema unafikiri watanzania hawatakuhusisha na hilo?
 
Kwahiyo video ndo maendeleo tunayotaka watz siyo?na tusijadili tena kuhusu fm4 failureness,maji n.k si ndiyo?
 
kichekesho cha karne! Dola kubwa la roma lilianza kuanguka hivi hivi..hata wakati wa yesu wale askari walipewa rushwa waseme kuwa wafuasi wa yesu waliuiba mwili wake kwa kuwa eti walikuwa wamelewa pombe! Askari wa kirumi dola lilosambaaa duniani wakati huo, sembuse ni polisi wa tanzania, na akina ludoviki? Subirini muone dalili za dola linaloanguka, haitasalia hata fito moja kwenye dola la ccm

nakupongeza humesema kweli halita salia jiwe juhu ya jiwe,
 
ikulu ni mahala patakatifu haiwezi kukaliwa na magaidi...mtaishia kuichora chini

hivi wewe unajua màana ya neno takatifu au unalopoka tu.. Mahala patakatifu angeingia huyu mzinzi,mshirikina,mwizi,mnafiki...ikulu si mahala patakatifu tena bali ni mahala wanapokutana wahuni kupanga dili za kutekeleza mauwaji,kung'oa watu meno na kucha,kupiga picha na wabwia uga...
 
Chadema mpo juu achaneni na magamba tunawangojea bungeni mwezi ujao wanataka kuwatisha muogope ili msiwabane hao magamba sisi wanyonge tegemeo letu ni chadema.
 
mtu mkubwa hatishiwi nyau, CDM imeweakamata pabaya mtabadilisha milio mwisho wa siku mtatulia,mtashtuka CDM ikiwa iko ikuru,:A S 39:
 
nyie mtanzania na bashe wenu, malizaneni na membe kwanza ndio mje kwa chadema au ndio staili ya kutwanga kotekote? Vp kibanda anaendeleaje? Kuweni makini sana.

waambie mkuu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,wanafikiri,,,,,,,wataidhoofisha,,,,,,cdm,,,,,,watz,,,,,,,wa,,,leo,,,sio,,,1995,,,,karata zao,,,,,,,,,,azichangikiki,,,,,,,,,,,tena,,,,,,,,,nguvukazi,,,,,,,,,,,,wale,,,,,walio,,waita,,,taifa,,kesho,,,sasa,,,wanataka,,,,nchi,,,,,,yao,,,,
 
hivi wewe unajua màana ya neno takatifu au unalopoka tu.. Mahala patakatifu angeingia huyu mzinzi,mshirikina,mwizi,mnafiki...ikulu si mahala patakatifu tena bali ni mahala wanapokutana wahuni kupanga dili za kutekeleza mauwaji,kung'oa watu meno na kucha,kupiga picha na wabwia uga...

JF kuna vichwa vizuri vinavyoweza kutoa majibu muafaka kulingana na aina ya mtu anayekurupuka kutetea wezi!!!
 
Hivi vituko vya video nchini vitaleta hatari nchini naomba viona mbali wavikatae mchezo huu utaenda hadi mikanda ya uhaini itaonyeshwa tunaomba sie tusio na vyama mtu achie nchi yetu bado ni salama mauaji ya yesu kuteswa msalabani yalisababishwa na,wazushi walio kuwa wakienda kwa pilato na kusema tulimusikia huyu akisema hiivi na hivi walijitahidi kumutungia maneno hadi akasulubiwa hao tunao wasikia akina mwi--glu wataleta machafuko nchini narudia tuachiane Tz salama hukukutafutana kwenye mavideo kutazusha uhaini atakamwa kiongozi mkubwa wa chama nchi itawaka moto kule mbeya mwanza Arusha nk naogopa hekima zimeenda wapi juzi tu mwalimu katutoka tuwaachie wanausalama na police wafanyekazi siyo nye wenye vyama munafanya kazi zao Mzahamzaha utatumbua usaha waacheniii watanzania wamezowea Amani mara machafuko ya dini loo tunaenda wapi wanyonge hatuna,pakwenda

Uchekechea unawasumbua wale
 
Fungua wavuti.com nenda habari ndio urudi hapa kubishana

Hakuna haja ya kuhangaika na wavuti yenye habari feki. Wavuti inayobeba habari feki nayo ni feki. Tusubiri polisi watamkamata nani awamu hii! Hakuna haja ya kukuna vichwa, mahakama zipo nazo zitaweka mambo bayana.
 
Chadema na watanzania wake ,ccm na wizi wao.
Evrythn z created na jiandae sikia meng bot chadema hasa baada ya kuanzishwa na kukua kwa m4c jiandae ona meng ila peoplez power!!

HAAAAAAAAA,,,,M4C,,,,IMEWASHIKA,,,,,,,PABAYA,,,,,,,,HAAAAAAAAAAA:msela::msela::msela::msela::msela: ,,,,,,,,,,
 
kwaiyo Yesu aliuwawa kwa sababu ya wapuuzi wachache!!!
na sio kwa mapenzi ya kuwapenda wanaadamu??
 
wewe ni mjinga sana, pigana na ukuta kama una hamu ya kupigwa...watanzania wapo makini sana na ugaidi wenu

hivi siku 90 ulizowapa mafisadi wenu bado hazijaisha? Vipi mabillion yetu huko uswiss? Vipi watekaji wa dr ulimboka na kibanda? Au ndiyo mnapotezea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom