Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Hicho chanzo chenyewe kishakuwa bias na hivyo kimepoteza umaana wa kuitwa chombo huru cha habari,
kipumzike kwa amani

Haya ndio sampuli ya magazeti wanakoajiliwa waandishi mamluki kama wakina Manyerere!! Huwa wanaibuka kwa kazi maalum na baada ya uchaguzi wanapewa safari moja ya kwenda Cuba na baada ya hapo wanatoswa wakingojea uchaguzi mwingine; hawa vilaza hawana intergrity na wala hawajitambui kuwa wanatumiwa at the detriment yao wenyewe na uzao wao.
 
propaganda zenu zisizo na mashiko hazituvunji moyo masomi.
CCM imepindua maendeleo na kuleta umaskini na sasa inajishughulisha na CHADEMA.
MWISHO WENU UMEFIKA.
 
tukio la kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa lwakatare limeibua mapya ndani ya chama hicho yaliyojificha mbali na video ya lwakatare inayomuonesha akipanga mipango ya kuteka na kuzuru watu pia imebainika kuwa kuna video zingine ambazo zimewasilishwa kwenye vyombo vya uchunguzi zikionesha viongozi wa chadema wakipanga mipango zaidi ya mauaji kwa baazi ya watu muhim wakiwemo wanahabari na watu wengineo wanajf hawa wanasiasa wanatupeleka wapi?

Unapelekwa we na nani? Kama kupelekwa ni wewe mwenyewe kama huna macho shauri yako, kama umekula vya watu kaa mkao upelekwe nyumba za kulala wageni. Nyamaaaafu.
 
yaani maneno unayoongea inaonekana kabisa umeyakariri,maneno ya sisi tuna mungu wao wana shetani..Tangu lini mungu akawa mwanasiasa?.

Yaani vyama vyote duniani leo mungu awe mwanachadema?what is so special about chadema?

God is taking this country like a roaring lion, again, with or without CHADEMA. The Kings of this country have traded with the serpent since independence. Through blood sacrifices they have given this country over to the serpent that old serpent called satan, the evidence is clear for every one to see, the country has completely lost the plot.

I am telling you and please mark my words, leaders who practice witchcraft and trade with the devil have already been identified and they are going to be bound and thrown into the endless pit and the country will be left free to begin a brand new life with JUSTICE and RIGHTEOUSNESS as the pillars of its leadership. And that has got nothing to do with CHADEMA, it has something to do with GOD of Israel.
 
That leader you worship and you think is going to be god ...ooh sorry i mean presdent of this national,didnt he betray God and left God job to be a politician?.

Didnt he even stole somebody's wife?.
Is that the way your so callee god want to follow as an example?
 
God is taking this country like a roaring lion, again, with or without CHADEMA. The Kings of this country have traded with the serpent since independence. Through blood sacrifices they have given this country over to the serpent that old serpent called satan, the evidence is clear for every one to see, the country has completely lost the plot.

I am telling you and please mark my words, leaders who practice witchcraft and trade with the devil have already been identified and they are going to be bound and thrown into the endless pit and the country will be left free to begin a brand new life with JUSTICE and RIGHTEOUSNESS as the pillars of its leadership. And that has got nothing to do with CHADEMA, it has something to do with GOD of Israel.
i hear a lot of chest thumping...tell your god this country is fully engaged and he should look somewhere else...
 
Shetani anajua kujigeuza malaika unaweza kumwabudu. Watanzania wamedanganywa kwa muda na watu waliojivika ukombozi lakini chini ya kapeti wakipanga namna ya kuwaua baadhi yao. Mungu ameamua kuweka wazi ndio maana hili limekuja kila mtanzania atawajua wakombozi wa tindikali, nondo, sumu, dawa za usingizi na risasi

Unamzungumzia Mungu gani?, Huyo Mungu wako bila shaka atakuwa anawachukia sana watanzania. yaani anawaacha wezi wa KAGODA, DEEPGREEN, MEREMETA, EPA, WEZI wa meno ya Tembo, WANGO'OA MENO na KUCHA, wezi wa TWIGA wetu wazimawazima, yeye anawahukumu akina Dr Slaa na Mbowe wanaopigia kelele huo ufisadi na kuwaacha mnaoutetea? Huyo Mungu wako ni wa dini ipi?
 
Hivi ni gazeti la mtanzania tunajadili hapa FOOLISH
we a the great thinkers
Wanataka kutusahaulisha gorofa lililo dondoka!!!!!!
 
Duniani kote tunajua magaidi ni akina nani. Vitendo vinavyofanyika sasa hivi vya kung'oa watu meno na vinavyofanywa na mtu mwenye jina la kwanza Ramadhani vinaashiria kuwa kuna ugaidi unaendelea nchini.

Si unajua jinsi majina ya namna hiyo yanavyoshtukiwa na wamarekani, sasa sisi viongozi wetu wote top brass majina yao ni hayo hayo, najua marekani wanawaangalia watu hawa kwa makini sana.

mwenye hilo jina anatafuta mke kama bado hujaolewa
 
kitu kizuri kukumbuka ni kwamba sisi kama binadamu huwa hatuchezi mbali na matendo yetu

Ditopile alikua bingwa wa mifano ya wanawake na upigaji - alikua mpigaji
Yule jamaa yetu aliyekamatwa kwa kumuua Fr. Mushi ameonekana kwenye youtube akisisitiza kuanzisha vikundi vya uharamia - imethibitika anafanya kwa vitendo
Mwigulu tangu aje kwenye public domain amekua mtu wa kwanza kuhusisha mengi na mateso, mauaji, kukodisha watu na utekaji - imethibitika kwani alianza kumtuhumu Kitila kukodisha kundi, ikawa tofauti kumbe ni yeye, alihusika Igunga, amehusika Iramba, alihusika arusha, sasa ana video kabisa

Mwigulu hawezi kupona kwenye hili asilani, this is beyond CCM, it has God all over it hasa kwa sababu ya roho za watu zinazotoka bila sababu

hakuna utani wala propaganda kwenye roho za watu

Mwigulu this time unalo
 
mkuu kumbuka ndani ya chadema hivi sasa kina mgogoro wa ndani kwa hiyo siri zake kuvuja ni jambo linalotegemewa sana. Pili fahamu hili ni suala la ujasusi kujua mbinu ovu za adui yako dhidi yako ni muhimu sana...mwigulu anafanya sahihi kuumbua mipango dhalimu ya adui yake

kumbe mwigulu ana maadui cdm. kwa hiyo ana motive kumbe kufanya kisasi. Mheshimiwa sina swali ingine.
 
hakunaga mwanasiasa wa mwisho kama Lameck (mwaigulu nchemba) ktk siasa za Tanzania
 
Duniani kote tunajua magaidi ni akina nani. Vitendo vinavyofanyika sasa hivi vya kung'oa watu meno na vinavyofanywa na mtu mwenye jina la kwanza Ramadhani vinaashiria kuwa kuna ugaidi unaendelea nchini.

Si unajua jinsi majina ya namna hiyo yanavyoshtukiwa na wamarekani, sasa sisi viongozi wetu wote top brass majina yao ni hayo hayo, najua marekani wanawaangalia watu hawa kwa makini sana.

hili jina la huyo uliyemtaja anatafuta mke wa kuoa kama bado hujaolewa tukuunganishe naye
 
mtoa mada amekurupuka tunamuomba afanye utafiti kwanza kabla hajaingia katika jukwaa hili la siasa
 
Nguvukazi, nafikiri hunifahamu nami sikufahamu hivyo si busara kunitusi kwa kuniita mjinga, labda nikuulize unaijua kazi ninayo ifanya? je ni kweli nashinda mtandaoni kama inavyoshinda comment yako humu mtandaoni? acha matusi behave basi hata kidogo! me nakushauri ufute kauli yako maana watu kama ninyi ndio mnaoipaka matope CDM kwa kauli zenu za hasira za kupindukia bila kutumia weledi badilika ndugu yangu tusitukanane.

we ni mjinga ndo maana huelewi kuitwa mjinga si tusi, narudia tena wewe ni mjinga mzuri tu
 
nakumbuka yule shoga hugo chavez alisema yuko na seasons nyingi sana kama prison break, hii ni season 2, hii wameipeleka polisi sijui kwa staili gani?
 
Shetani anajua kujigeuza malaika unaweza kumwabudu. Watanzania wamedanganywa kwa muda na watu waliojivika ukombozi lakini chini ya kapeti wakipanga namna ya kuwaua baadhi yao. Mungu ameamua kuweka wazi ndio maana hili limekuja kila mtanzania atawajua wakombozi wa tindikali, nondo, sumu, dawa za usingizi na risasi

imeandikwa usilitaje bure jina la mungu wako, naona unatafuta laana kinguvu unajua toka moyoni mwako jinsi ulivyo nyuma ya mauaji ya watu wengi walio kinyume na ufisadi na CCM. Roho za watu huwa hazipotei bure tengeneza video fanya kila hila mbele za Mungu unafanya rat race, utaadhibiwa na kila mtu atajua, CHADEMA is smarter and no pussy like you can stop us from taking over.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom