[/COLOR]
Kwa hiyo 2015 CCM akigombea mkristo wakristo wote muterudi CCM?Kwa hiyo hamuipingi CCM bali munampinga Raisi Muislamu anayeongoza CCM?
Asanteni kwa kutufumbua macho
Nayo ni tafsiri nzuri tu!!!.. Mimi utafiti wangu humu mtandaoni nimeona wewe na wenzako mko kidini zaidi kuliko ki CCM!!!...